Thursday, 26 June 2014

Re: [wanabidii] Re: mwenye data za vurugu za uchaguzi

Nadhani swali la kwanza lafaa lijibiwe kama 'finding' baada ya kufanya analysis ya data. 1. Unaweza kuuliza mtu akujibu kama amewahi kushuhudia vurugu; 2. Wapi aiishuhudia ikitokea; 3. Iliwahusisha watu gani n.k.

Ukipata majibu ya maswali haya, then wewe utajumuisha update wengi wameripoti wapi. Kwa mujibu wa data zako salsa utasema ni wapi panaonekana kuwa vinara kwa vurugu
Note: hapa ni kwa juu juu mtu maana hujauliza intensity, ama frequency, ama vigezo vingine.

Asante.
Tibu.

Sent from Yahoo Mail on Android

From: Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Re: mwenye data za vurugu za uchaguzi
Sent: Wed, Jun 25, 2014 7:04:30 PM

Emma mbona umekuwa mkali hivi.Japo jibu lako ni kweli ni mahali pa kupata data zote.Lakini akienda jeshi la polisi hatapata data kamili kwani vurugu nyingi zilianzishwa na Polisi wenyewe wakitetea mrengo chama kimoja mmoja.Kwani kama wangetenda haki ndipo ungejua kuwa ni nani hasa wana vurugu .Labda kwa kukusaidia.Vurugu hutokea pale mahali ambapo watu wanataka haki etendeke na haitendeki inawapasa walazimishe na wakilazimisha ndipo vurugu hutokea.Kwani kama kuna amani hakuna vurugu.Hata mume na mke kama kuna amani huoni vurugu lakini kama mmoja hatendewi haki anaanza kutafuta kwa lazima na hapo ndipo vurugu hutokea.sasa inategemea unataka data za vurugu za kisiasa au zote kwani kuna za nyumbani,sokoni,kwenye bar,Kwenye daladala,vyuoni n.k Mahali haki haitendeki kuwa wazi.zingine vurugu huamuliwa majumbani zingine kwa wachungaji na masheh na zimngine polisi n.k be specific.

2014-06-23 11:27 GMT+03:00 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>:
Nenda makao makuu ya jeshi la polisi posta au wizara ya mambo ya ndani .

On Sunday, June 22, 2014 5:57:52 PM UTC+3, maduhu ruben wrote:
habari wanabidi
ni matumaini yangu kua mtakua salama huko mliko na kazi kubwa ya kuijenga tanzania yetu kua mahari pazuri pakufaa sisi na kizazi kijacho.
dhumuni la kuandika hapa ninaomba msaada wenu kwa haya machache ntakayoyaeleza ili kunisaidia katika utafiti wangu.
naomba mnisaidi majibu ya maswali haya ntakayouliza hapa.

1. Ni maeneo yapi ya tanzania ambayo ni vinara kwa vurugu za uchaguzi?

2. Kwa kuamini kua vijana ndio waadhirika wakubwa wa vurugu za uchaguzi. inaweza kukisiwa ni vijana wangapi wamepoteza maisha katika vurugu hizi?

3. Nini kinaweza kua suluhisho la tatizo hili?

4. Je unadhan makundi ya ulinzi ya vyama vya siasa yanachangia katika tatizo hili?

ntashukuru zaidi kwa majibu yanayoambatana na takwimu/data (authority)

NINAOMBA MAJIBU KWA YEYOTE HII NI KATIKA UTAFITI WANGU NIMEONA HAPA PIA NI MAHARI PAZURI KWA WATU WELEDI NA WENYE MAPENZI MEMA NA NCHI YETU TANZANIA.

TOFAUTI NA HAPA UNAWEZA NITUMIA MAJIBU MOJA KWA MOJA KATIKA  BARUA PEPE YNGU  mrma...@gmail.com

ASANTE.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment