Lesian una uhakika hayo aliyasema Dr Slaa? Acheni propaganda za kutengenezewa ndugu.
'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Kifupi Slaa hafai kuongoza nchi jamani hata chama chenyewe kinamfia......Hata busara au hekima hana, majibu yake alomjibu jamaa ni ya kitoto na yasio na logic, wanansiasa hawapaswi kuchukiana hv, yaani kwa kua ana shida nao basi hata akipata tatizo wanamuombea aishie kabisa
>--------------------------------------------
>On Thu, 6/5/14, 'marcuskabwella@yahoo.com' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Majibu ya Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, June 5, 2014, 12:29 AM
>
> Hivi watu walitakaje kuhusu kuugua
> na kufariki kwa mama wa Zito? Ameanza kuugua na kulazwa
> hospital mbalimbali tena zenye gharama kubwa, ni kweli
> CHADEMA haikushiriki katika mlolongo wote huo?
> Tatizo letu wanadamu huwa hatujali wagonjwa
> badala yake kutafuta ufahari misibani au ukienda kumuona
> mgonjwa lazima uambatane na vyombo vya habari?
> Mbowe na Slaa nao ni binadamu wakati wa msiba
> huenda nao walikuwa na udhuru uliowafanya washindwe kwenda!
>
> Au ni wafuasi wa mvaa skafu?
> Nawasilisha!
> Marcus
> Sent
> from Yahoo Mail on Android
>
>
>
>
>
>
>
>
> From:
>
> 'Eberi Manya' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
>
>
>
> To:
>
>
> <wanabidii@googlegroups.com>;
>
>
>
> Subject:
>
> Re: [wanabidii] Majibu ya Dr.
> Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto
>
>
>
> Sent:
>
> Thu, Jun 5, 2014 4:11:16 AM
>
>
>
>
>
> Naona huijui siasa ndugu, waachie
> wenyewe, badala ya kuendelea kulaumu...
>
>
> 'ELISA MUHINGO' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> >Pamoja na ndugu
> 'mabadiliko' kulenga kumchafulia Dr. Slaa mm
> imenisaidia kujua kuwa kumbe viongozi wa CHADEMA kuna kitu
> walifanya kwa mgonjwa. Ikumbukwe kuna wkt niliandika humu
> kuwa hawa viongozi wamtembelee mgonjwa huyu wkt wakimsulubu
> Zitto kuhusu fedha za tanapa. Pia kwa jibu la Dr. Slaa mambo
> ya magonjwa au vifo kwao sio jambo la vyombo vya habari.
> Kura zingetosha 2010 tungeona katiba mpya ya wa Tz bila
> mizengwe, Tungeona bei ya vifaa vya ujenzi ikishuka,
> Tungeona elimu bora bila malipo, etc. Lakini tusingemuona
> kwenye vilio. Mwana mabadiliko ulitaka tujue hivyo?
> Asante.
> >
> >----------
> >Sent from my
> Nokia
> Phone
> >
> >------Original message------
> >From: MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>
> >To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >Date: Wednesday, June 4, 2014 12:53:36 PM
> GMT-0700
> >Subject: [wanabidii] Majibu ya
> Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama
> Zitto
> >
> >Majibu ya Dr.
> Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto
> >
> >Wadau,
> >
> >Katika ufuatiliaji
> zaidi nimegundua kwambakuna mwanachama wa CHADEMA ambaye
> >aliguswa na kisa cha viongozi wakuu wa
> chamakususia mazishi ya Shida Salum
> >aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA.
> Mwanachamahuyo baada ya kuumizwa
> >na
> kitendo hicho cha viongozi wake, alimwandikia smsifuatayo
> Dr. Slaa.
> >
> >Nimeihariri ili kuondoa vifupisho
> vya maneno alivyovitumia ili kila mmoja
> >aelewe:
> >"Kweli baba
> wewe na Mbowe mmeshindwa kabisa kushiriki mazishi ya mjumbe
> wa
> >kamati kuu!! Ninyi hamna kabisa utu
> hata chembe? Sababu za kisiasa
> >zimewafanya muwe na mioyo migumu kiasi
> hicho? Utadhani nyinyi hamtakaa mfe
> >milele?
> >
> >Mmeshangaza ulimwengu, ubinadamu kwenu siyo
> kitu kwa ajili yasiasa? Hivi
> >wewe
> utakuwa mwanasiasa milele? Kweli hamna hata hata hofu ya
> Munguhata
> >kidogo, hata wewe ambaye
> ulikuwa mtumishi wa Mungu kweli baba? Hata kamani
> >ubabe, wa kwenu haujawahi kutokea.
> >
> >Hata kama Zitto hayuko
> CDM mchango wakekatika kujenga chama mmeusahau
> >kabisa? Mmelipa kisasi kwa kususa hata
> maiti! Kwa ajili ya siasa tu! Duh!
> >Hongereni, fanyeni siasa milele. Watu wenye
> hekimawamepata somo toka kwenu.
> >Mungu
> awabariki sana".
> >
> >Mwisho wa kunukuu.
> >
> >Sasa soma majibu ya mtu
> anayeitwa Dr.Willibrod Slaa ambaye kama kura
> >zingetosha mwaka 2010, eti leo angekuwa
> rais wa Jamhuri ya Muungano wa
> >Tanzania. Sms yake imetoka kwenye namba
> yake ya 0783967519 na ili-deliver
> >kwenye simu ya huyo kijana saa 18:40:27
> jana Jumanne tar 2/6/2014. Nainukuu
> >sms
> hiyo bila kuhariri chochote:
> >
> >"Acha ushabiki usiokuhusu. Makamu
> Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, mhe. Issa
> >Mohamed alifiwa na mama yake mzazi siku 7
> zilizopita. Nani alihudhuria,
> >mbona
> hata wewe hukuhudhuria! Wala hukuandika sms kama hii, kumbe
> Utu wako
> >unapimwa kwa fulani tu!
> Upuuzi. Chadema haifanyi siasa ya misiba. Utu
> >unapimwa uliyomfanyia mgonjwa siyo kwenye
> mitandao na magazeti. Fanya
> >utafiti
> kabla ya kujifanya mjuaji. Dr Slaa"
> >
> >Mwisho wa kunukuu.
> Huyo ndiye rais wa UKAWA.
> >
> >Mohamedi Mtoi | Facebook
> ><https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CCEQFjAA&url=https%3A%2F%2Fwww.facebook.com%2Fmouddymtoi&ei=GXmPU8TsLafg4QTmvID4DQ&usg=AFQjCNGzi1WvNc69vPsECRWLWh_y4ZIyWQ&bvm=bv.68235269,d.bGE>
> >
> >--
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
> Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone
> posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >---
> >You received this
> message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> >To
> unsubscribe from this group and stop receiving emails from
> it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >--
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
> Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone
> posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >---
> >You
> received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> >To unsubscribe from this group and stop
> receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
> Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment