Saturday, 7 June 2014

Re: [wanabidii] Dawa za kuongeza ukubwa wa Makalio zilivyomfanya dada yetu huyu

Hatari tupu
Kina dada wanaojiita wa kisasa kila kitu wao halali yao bila kuangalia side effects, kope, matako bandia, kucha na hata na kupiga maziwa jeki kuna yana side effects nyingi sana
Ungana na toleo la jarida la ISHARA lijalo mwezi huu uone


On Friday, June 6, 2014 5:24 PM, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:


Ewe dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au labda haujatumia ila unafikiria kutumia siku moja,angalia hapa alafu utapata jibu utumie au ubaki na maumbile yako ya halisi.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment