Sunday 2 February 2014

[wanabidii] CD mpya Bongo Tambarare ya FFU-Ughaibuni yatua nchini Ethopia !

CD mpya "Bongo Tambarare" ya Ngoma Africa Band aka FFU ndani ya Ethopia ! 


Addis Ababa,Ethopia,
Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU aka Anunnaki Alien Kamanda Ras Makunja amewasili nchini Ethopia kwa ziara ya siku tatu ya kikazi,kwa ajili ya kuiporomoti CD mpya "Bongo Tambarare" ,baada  ya wadau wa muziki nchini humo kuomba CD hiyo iweze kupigwa katika vituo vya redio nchini humo.wadau wa Ethopia wamevutiwa sana na mdundo uliomo ndani ya CD ya "Bongo Tambarare" yenye nyimbo tatu ambayo inasikika at www.ngoma-africa.com ,habari za uhakika zimetonya kuwa bendi hiyo pia itaenda nchini urusi kwa mwaliko
maalumu katika maonyesho michezo ya olympiki ya msimu wa baridi mjini
Sochi. Kuwepo kwa hali ya baridi kali na barafu nyingi huko ulaya ! bado
kunaleta maswali mengi juu ya ziara ya wakali hao wa muziki wa dansi FFU !
kama watasafiri na kupiga mzigo ? kama kawaida yao.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment