Wednesday 26 February 2014

Re: [wanabidii] SERIKALI HAINA DINI - WACHUNGAJI WANAFANYA NINI BUNGENI ?

Ndugu Yona..kuliko kuendelea kujadili issues ambazo wewe una majibu yake si kupoteza tu muda?haya mwezetu tujuze basi..kwa uwepo wa viongozi wa dini mbalimbali bungeni umegundua serikali ina dini gani?ngupula

ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

Yona unataka nini kuleta hoja hii? Bila shaka si kujifurahisha.
Lakini serikali kutokuwa na dini haina maana watu wake hawana dini. Kila Bunge linapoanza asubuhi humuomba Mungu atangulie kazi za siku hiyo. Sababu waliomo humo mmoja mmoja wanamuamini Mungu.
Tunaposema serikali haina dini tuajilinganisha na nchi zinazoongozwa na dini. Saudi arabia kiongozi lazima awe Muislamu.
Uingereza lazima awe Mkristo tena Anglican. Tuna maana hiyo. Viongozi wa dini kuendesha sala na dua wakati rais anaapa haimaanishi serikali imeslimu na kubatizwa. ni dalili ya kutambua uwepo wa wanadini basi.

On Wednesday, February 26, 2014 6:06 PM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ndugu zangu ,

Viongozi kadhaa wamekuwa wakijitapa kwamba serikali yetu haina dini na kwamba wananchi wake ndio wenye dini .

Lakini kwenye suala la kuandaaji wa katiba mpya haswa kipindi hiki cha bunge la katiba tunaona baadhi ya wajumbe ni viongozi wa dini  mbalimbali kama wachungaji tena na nguo zao rasmi ndani ya bunge na wawakilishi wa dini nyingine .

Kama serikali haina dini na kama serikali haitaki kujiingiza kwenye masuala ya dini kwanini imeruhusu viongozi wa dini kuwa wajumbe wa bunge la katiba linaloendelea ? hili suala mimi sielewi .

Tujue tu baadhi ya mazehebu ya kipentekoste yameshalalamika kuhusu kutokuwakilishwa kwenye bunge hili , hatujui huko mbeleni hali itakuwaje kama malalamiko yameshaanza kuwa hivi .

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment