Wednesday 26 February 2014

RE: [wanabidii] chungulia nijuze

Hilo banagaluu liko maeneo gani au mkoa gani?

 


From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of lesian mollel
Sent: 26 February 2014 18:28
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] chungulia nijuze

 

wapendwa salaam

Naendelea kuboresha huduma zetu zileeeeee...properties sale nk

sasa tunapatika ktk blog....www.nijuzetz.blog.......utapata properties kibao na za bei nafuuu, bado tunafeed kwa sasa ziko chache lakinia kuanzia j3 naomba mvisit mtakuta vitu vya ukweli na vya maana.......kila kona ya jiji kuna property, ukiiiona usikawie apply haraka, huna shida ya kuanza kujeenga wakati nyumba za ukweli za bei nafuu zipo

Jamani kuina banagaluu moja ukiliona kama ikulu, inauzwa nna ina vyumba 5 jumba la kisasa sana bei mi 100 tu jamaa amekabwa sana na madeni...mwenye kuweza amtangulizie mi 50 then after 6 month atammalizia kidogo kidogo

kama unataka picha tembelea nijuze au oda kwa whatsaap nikurushie

karibuni pia office yetu pale sinza mori jirani na  maeda for more

0652 314181 mollel

0 comments:

Post a Comment