Wednesday 26 February 2014

[wanabidii] Re: SERIKALI HAINA DINI - WACHUNGAJI WANAFANYA NINI BUNGENI ?

Hivi ni kweli kabisa wewe Yona huelewi kwanini hao viongozi wa dini mbalimbali (siyo wachungaji tuu) wapo kwenye bunge hili la katiba?

Kwa maelezo yote ambayo tume imekuwa ikitoa tangu mchakato huu uanze kweli hujaelewa? Tume ilipotangaza kuwa inakaribisha taasisi hizi kupelekea mapendekezo ya majina kwa ajili ya kuchaguliwa kuwa wabunge wa bunge la katiba mbona hukuuliza? Au ulifikiri hayo majina wanapeleka ya nini?

Angalia usituletee shida zaidi kwenye taifa letu kwa posts zako.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment