Friday 28 February 2014

RE: [wanabidii] Airtel Tanzania - HUDUMA MBAYA SANA

Airtel customer care yao ni mbaya sana hasa pale makao makuu Morocco. Kuna dda huyo anakauli mbaya sana kwa wateja. Maringo kibao utafikiri kampuni ni yake. Dada huyo mwembamba mrefu kiasi mweusi naomba ikiwezekana aondolewe customer care apelekwe sehemu ambayo hakutani na watu.
 
> From: juma.abdallah@huawei.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: RE: [wanabidii] Airtel Tanzania - HUDUMA MBAYA SANA
> Date: Fri, 28 Feb 2014 07:25:56 +0000
>
> Vodacom wananichosha kitu kimoja,Ukinunua airtime kwa MPESA,halafu tumia hiyo airtime kununua bundle la internet wanakukata hela halafu msg inakuja huna salio la kutosha kununua kifurushi ukiangalia salio hela hamna wamekata.
> AirTel na Tigo wao uibiwe simu uende ofisi zao kurudisha line uone hao Customer care yao utatamani uwapige watu wamerundikana Caustomer care full maringo mpaka unajiuliza hivi hawa nani anaye wasupervise?
> Niliipoteza simu moja line Aritel moja Tigo at the same time.
> Nilipata experience mbaya ya Customer care Airtel na Tigo.Tigo wale wadada pale branch yao ya Ocean Road walileta mbwembwe wakanizungusha mpaka bahati nzuri kuna mtu nilimkuta namjua akanisaidi kurudisha line yangu.
> Airtel foleni na mbwembwe zao mpaka leo sijarudisha line.
> Poor Customer care!!
>
>
> -----Original Message-----
> From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of hosea.ndaki@gmail.com
> Sent: Thursday, February 27, 2014 5:55 PM
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Airtel Tanzania - HUDUMA MBAYA SANA
>
> Kim, wala hajatumwa na mtu hata voda mwaka jana walipandisha viwango labda ni ongezeko la kodi mkuu.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, February 27, 2014 5:38:11 AM GMT-0800
> Subject: RE: [wanabidii] Airtel Tanzania - HUDUMA MBAYA SANA
>
> Ruzika,
> Airtel sells 40 minutes 2000 for a limited within a week, not 3000, au umetumwa na voda, even those voda have their prob's, when you roam with MTN in Uganda, they charge your airtine account even if simu umepigiwa wewe!!
> While Airtel and Tigo it is free to pick a call!
> No one us better, neither perfect or good enough, you better have both of them for coz someone's weakness ia others strength.
> Dont give those voda guys enough airtime and promo. By the way i appriciate their e-banking business and hate all others.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> wanabidii+ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment