Thursday 27 February 2014

Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA

Mathalani, huyo JM ni wale viongozi ambao wapo hapo walipo lakini hawajawahi kupigiwa kura popote pale duniani, huwa "wanapita bila kupingwa"

Sasa sijui kama katika urais pia wanataraji kucheza michezo
au vipi?

Binafsi, mtu wa namna ya Makamba sifikirii hata akizeeka aweza kuwa kiongozi Mkuu wa nchi yangu.

Labda bado anayo old fashioned paranoia ya kudhani ukipitishwa CCM basi ni ticket ya kuwa rais.

Magiri.
Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.

On Feb 24, 2014 3:43 PM, "Kilasara Fratern" <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
Besides, in the positions he has been into, ... he is not a performer!

2014-02-24 15:41 GMT+03:00 Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com>:
Ulafi wa madaraka, ,,, and to say the least, he is too junior for the post.

2014-02-24 12:39 GMT+03:00 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>:

Hi all. Twaweza kuwa na Kiongozi Kijana au Mzee au mtu wa Makam. Lakini ni mhimu kiongozi awe na "chembechembe' fulani za uongozi.

Aoneshe kuwa anaweza kuwaongoza wengine kutimiza wajibu wao. Awe na uwezo kufanya maanuzi ya busara na kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni zilizopo.

Na haya yadhihirike ktk kila nafasi ya uongozi mtu anayopewa kuanzia Ukiranja shuleni hadi Uwaziri. Obama ktk Marekani kwa mfano, alionesha haya.

January anaweza kuwa anafaa au asifae baada ya kuangalia mwenendo wake wa kiongozi tangu shule ya msingi hadi nafasi yake ya sasa. Kwa bahati mbaya mi bado sijafanya hivyo na sina sababu ya kufanya hivyo sasa.

On 22 Feb 2014 19:55, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com> wrote:

Hiyo adhabu ya miezi 12 ni ipi?

On Feb 22, 2014 3:20 PM, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ndugu zangu ,

Huyu kijana mwenzetu ameonyesha nia ya Kuutaka urais wa Tanzania , kuthibitisha hilo amehojiwa na kamati kuu ya CCM na akapewa adhabu ya miezi 12 .

Je kuna lolote la kujadili kuhusu Mhe January Makamba ? Au tumwache tu kwa sababu hatumjui na hatutaki kumjua zaidi ?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

0 comments:

Post a Comment