Thursday 27 February 2014

Re: [wanabidii] Re: Kwa nini Mwalimu Nyerere ali-veto kumkataa Lowasa?

Lakini, kumbuka, mfanyabiashara akimsaidia anayetaka uongozi, wanatarajia akiukwaa uongozi, wanufaike kwa takrima ya aksante, kuwa fulani na fulani wanaingi kwenye vitabu vya huyo kiongozi mtarajiwa, na hatimaye yeye kama kiongozi, njia pekee anachoweza kurudisha fadhila kwao ni kuwasamehe kodi kwa asilimia fulani au yote kabisa. Hili limefanyika, na ndilo lililoifikisha nchi hapa ilipo. Kwa 'strategy' hii, anayoitumia huyu rafiki yetu, akiukwaa, tumekwisha, maana marafiki/ au wachangiaji wote waliotoa kumsapoti, wanatarajia kunufaika pindi akiingia madarakani, na wakati huo, nchi hii itachunwa kwa kwenda mbele, kwa maana wafanyabiashara 'they are indeed very strategic. They never give for nothing. They will always expect something in return. So, their support to the incumbent, we can bet, it is not for free. And, if the incumbent ever finds his way to the leadership of this country, Tanzania is going to be striped naked! Who does'nt know, how many business people benefited cheaply in clearing cargo free at the port either by knowing or using his name? What will happen, if at all he became the 'father of the nation' in charge all of its wealth??? God for bid this, and let me speak no more!

Nakedness is all I can dream of this county!

On Thu, Feb 27, 2014 at 9:14 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Hizi nyama za monduli zimewakoroga watu vichwa!!! Hawasikii la mwazini wala la mnadi mswala.
Lowassa alianza kuwekeza kwa watu toka kipindi ile serikali za mitaa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment