wkt nyie Tanzania wakina dada sasa ni fashion kuacha maziwa nje na nguo za ndani kuonekana sii ishu......wenzetu wanapambana na hata sheria ya gay washapitisha, tanzania kila kitu ni siasa wasubiriwe wanasiasa wahubiri ndio ianze kuonekana ni ishu.
Hua sielewi sisi tukoje, hata hivyo japo haitazuia uzizni but itasaidia kidogo , wemust think a nd help us speak aloud3
snenaria 1.....siku moja nikapanda gari toka ubungo kwenda temeke mida ya mchana, karibu na mlangoa amekaa mzee mmoja hv of around 50s ila ni mlemavu mguu mmoja anatembelea figo tukiwa tunasafir zetu tulipofika exteno akapanda kijana mmoja mwembamba of around 20s or even less kavaa juu tshirt na kijeans kilichobana sana lakini kijeans kenyewe kako chini kabisa ya makalio, chini kabisaa, hafu sasa kakomaa kushikilia chuma so chupi nayo iko katikati ya makali hafu amekaa pemben ya mzee mlemavu.....mara babu akaanza kijana huna wazazi......kijana - aaah babu vipi, acha unoko.......
babu mlemavu.....hivi hii Tanzania inaenda wapi, nguo gani huyu katuvalia sasa laana hii ktk gari jamani,
Watu/abiria teh teh eee. Babu_- konda naomba ashuke huyu kijana , hawezi kudhalisha hivi, hii ni laana, nitailipa nauli yake ashuke,.....Kijana- babu eeh aah vipi weee acha nishai banaa, usinizingue ujueee
babu- nimesema shuka, huku akishika gongo lake amtwange
Abiria- mzee tunaomba mwache, hawa washaharibika,babu katuliwa na kijana kanwea tuliiiiiiii hADI ALIPOFIKA BABU VETERINARI KASHUKA NA KUANGALIA NA KUTIKISA KICHWA KWA MASIKITIKO SAN
umejifunza nini

On Wednesday, February 19, 2014 9:25 AM, mobini sarya <mobinsons@yahoo.com> wrote:
----- Forwarded Message -----
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha zenye watu uchi.
Wanawake pia wamezuiwa kabisa kuvalia sketi fupi sana au 'Mini Skirt' kama zinavyojulikana au blausi ambazo zinaonyesha kifua chao hadharani na kusababisha hisia za kingono .
Sheria hiyo inasema kuwa nguo kama hizo zitakubalika tu ikiwa zinatumika kwa ajili ya mafunzo au wakati wa michezo na hafla za kitamaduni.
Akihutubia waandishi wa habari, mjini Kapmala, waziri wa maadili na utawala bora, Reverend Simon Lokodo alisema kuwa Rais Museveni alipitisha sheria hiyo tarehe 6 mwezi huu, miezi mwili bada ya bunge kuipitisha.
Kwa mujibu wa sheria hiyo kamati dhidi ya vitendo hivyo itabuniwa ili iweze kutekeleza sheria hiyo kwa kuhakikisha kuwa picha, au video zenye watu uchi zinanaswa na kuharibiwa.
Kamati hiyo, itajumuisha watu kutoka katika sekta mbali mbali ikiwemo ya habari na utumbuizaji.
Sheria hiyo inasema kuwa mtu yeyote atakayepatikana akijihusisha na vitendo cya watu kuwa uchi, kuvalia nusu uchi , kuona sinema za watu wakiwa uchi au kuchapisha picha za watu walio uchi kwa lengo la kuleta hisia tofauti utachukuliwa hatua kali za kisheria.
Waziri alisema kuwa serikali haitaki watu kuvalia nguo zisizo na heshima na kuzua hisia zisizofaa miongoni mwa watu.
Watakaopatikana wakivunja sheria na kuvalia visivyo watafungwa hadi miak 10 na wale watakaopatiokana na hatia ya kuhusisha watoto katika biashara ya ngono watafungwa hadi miaka 15.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment