Wednesday, 19 February 2014

Re: [wanabidii] Taarifa ya "onyo kali" kwa viongozi 6 waliohojiwa na Kamati ya CCM

definition zingine vichekesho........onyo ktk vyombo ni kawaida na ccm kweli imekua chama chenye busara maana hapa vyama vyetu vya siku hawa jamaa wangeshavuliwa uanachama , nimependa hii busara ya ccm.........hata hivyo onyo kali haijatoa adhabu ya mtu kutowania Urais jamani, kilichofanyika ni kustop rough hizi mapemaa za kampeni ilhali mambo baado.....taarifa ya mnauye iko waazi na straight forward.......ikifika muda wa kutangaza tutaona na hapo ndio pazuri.



On Wednesday, February 19, 2014 4:42 AM, CHACHA MAIRI <mairi.info@gmail.com> wrote:
Jibu la Lowassa lilikuwa sahihi! Kuitwa kwao na kuhojiwa kisha kupewa
adhabu bila kuvuliwa wadhifa ama kufukuzwa ni kuimarisha Chama chao!
@Mgonge!

On 19/02/2014, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Mbona taarifa hii inapishana na Lowassa aliyesema walikuwa wanapanga namna
> ya kuimarisha chama. Sakata hili sijui litaisha namna gani. Yetu macho na
> maskio tu
>
>
> 2014-02-19 9:42 GMT+03:00 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:
>
>> *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*
>>
>> Kati ya tarehe 13/02/2014  na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa
>> vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani
>> ya
>> Chama.
>>
>> Vikao hivyo ni pamoja na Kamati Ndogo ya Udhibiti tarehe 13-14/02/2014,
>> Tume ya Udhibiti na Nidhamu 18/02/2014 na Kamati Kuu tarehe 18/02/2013.
>>
>> Waliohojiwa katika mfululizo wa vikao hivi ni wafuatao:-
>>
>>
>>    1. Ndg. Frederick Sumaye
>>    2. Ndugu Edward Lowasa
>>    3. Ndugu Bernard Membe
>>    4. Ndugu Stephen Wassira
>>    5. Ndugu January Makamba
>>    6. Ndugu William Ngeleja
>>
>>
>> Baada ya kuwahoji ilithibitika kuwa baadhi ya tuhuma dhidi yao ni za
>> kweli
>> na hivyo
>> kupendekeza adhabu.  Mapendekezo hayo yalipelekwa kwenye Tume ya Udhibiti
>> na Nidhamu na hatimaye Kamati Kuu ya CCM ambayo ilitoa adhabu kwa
>> wahusika.
>>
>> Kwa ujumla waliohojiwa wamethibitika kuwa na makosa yafuatayo:-
>>
>>
>>    1. Walithibitika kuanza kampeni za kutafuta kuteuliwa kugombea Urais
>>    kabla ya wakati kinyume na Kanuni za Uongozi na Maadili za CCM Toleo
>> la
>>    Februari 2010, Ibara 6(7)(i).
>>    2. Wamethibitika kufanya vitendo vinavyokiuka maadili ndani ya Chama
>>    na baadhi yao kufanya vitendo vinavyokiuka maadili ndani ya jamii.
>> Kosa
>>    hili nalo ni kwa mujibu wa Kanuni za Uongozi na Maadili za CCM Toleo
>> la
>>    Februari 2010, Ibara kadhaa za kanuni hizo.
>>
>>
>>
>> Kamati Kuu baada ya kuthibitisha makosa hayo imewapa watu wote sita
>> waliohojiwa adhabu ya *ONYO KALI* na kuwataka wajiepushe na vitendo
>> vinavyokiuka maadili na iwapo wataendelea na vitendo hivyo Chama
>> kitawachukulia hatua kali zaidi.
>>
>> Tafsiri ya adhabu ya* ONYO KALI *kwa mujibu wa Kanuni za Uongozi na
>> Maadili za CCM Toleo la Februari 2010, Ibara ya 8(ii) (b) ni:-
>>
>> "Mwanachama aliyepewa adhabu ya *ONYO KALI* atakuwa katika hali ya
>> kuchunguzwa kwa muda usiopungua miezi 12, ili kumsaidia katika jitihada
>> zake za kujirekebisha."
>>
>> Kamati Kuu imeitaka pia Kamati Ndogo ya Udhibiti kuwachunguza na kuchukua
>> hatua kwa wote waliohusika kwa namna moja au nyingine (mawakala na
>> wapambe)
>> kufanyika kwa vitendo hivyo vilivyovunja Kanuni za Chama.
>>
>> Aidha, Kamati Kuu imewaonya vikali Viongozi na Watendaji wa Chama na
>> kuwataka kujiepusha kujihusisha na matendo ya wanawania Urais yanayovunja
>> na kukiuka maadili ya Chama, wametakiwa kuzingatia Kanuni na taratibu za
>> Chama.
>>
>> Imetolewa na:-
>>
>> Nape Moses Nnauye,
>> *KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,*
>> *ITIKADI NA UENEZI,*
>> *18/02/2014*
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>


--
-------------------------------------------------------------------
sending by:
CHACHA MAIRI SARYA
P. O. Box 189,
Mugumu,
Serengeti,
Mara,
TANZANIA, EA.
Mobile:
+255 774 630 630
+255 757 631 631
+255 787 632 632
Tel/Fax:+255 (0) 732 98 55 68
alternative email address: mairi.office@gmail.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment