Hii ilitoka upande wa pili siku kama tatu zilizopita
Jana kwenye kundi la chadema ni msingi kulikuwa na mjadala wa tetesi ambazo leo zimekuwa kweli.
TETESI ya jana ilikuwa hivi.
Madiwani wa shinyanga bwana Sebastian peter maarufu kwa jina la Obama wa kata ya Ngokolo na Zacharia Mfuko kata ya Maseleko wako safarini kwenda Nzega kukutana na Stiven Masekelo mbunge wa Shinyanga mjini ili wakachukue fungu walilo ahidiwa baada ya makubaliano kati ya Masele na Kinana ili madiwani hao wajiuzuru.
Taarifa hizo zimenaswa na redbrigade wa shinyanga ambao wamekuwa wanafuatilia nyendo za madiwani hao.
LEO SI TETESI TENA.
Wale Madiwani wa Shinyanga Mjini Sebastian Peter Obama wa Ngokolo na Zacharia Mfuko wa Masekelo wameshahamia Ccm kw a dau la Tshs mil 20 kila mtu.
Wameshaongea na vyombo vya habari na kesho Kinana atakuwa Shy kuwapokea rasmi.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
-----Original Message-----
From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 25 Feb 2014 18:35:29
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Madiwani wawili wa CHADEMA Shinyanga wajiuzulu
em, hebu mwambieni huyo MABADILIKO CHADEMA arudi darasani akajifunze Kiswahili. ------------------------------ On Tue, Feb 25, 2014 07:34 PST Emmanuel Muganda wrote: >Waende tu na waende salama. Hamna sababu za kutokwa povu. >em > >Sent from my iPhone > >> On Feb 25, 2014, at 9:59 AM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote: >> >> Katika hali ya kuonyesha Uhai wa Chadema kuelekea 2015 ni kukatisha tamaa na kumpa hofu ya anaekiuguza chama hicho japo sio busara kumkataza mgonjwa anaekalibia kufa kunywa dawa na kumpa moyo atapona tuu japo moyoni unajua lazima afe Madiwani wawili wa chadema wameamua kujiuzulu Madiwani hao wanaojulikana kwa jina la >> >> 1.) ZACHARIA MFUKO Wa kata ya MASEKELO na >> >> 2.) SEBASTIANI PETER Wa kata ya NGOKORO >> >> Sababu walizozitoa madiwani hao ni kushoshwa na uongozi kandamizi wa Freeman Mbowe na jopo lake huku wakiumizwa na siasa za chama zao za kutaka umaarufu kuliko kuwatumikia watanzania akiongea
kwa jaziba SEBASTIANI PETER Wa kata ya NGOKORO "alisema Chadema inapoteza mvuto kwa watanzania hasa baada ya kutumia chopa tatu na milion mia tisa za chama hicho huku kikiambulia kata tatu tuu " lakini mpaka sasa hakuna kikao kilichoeleza na kufanya tathimini kwa nini chama kimepoteza kiasi hicho. >> -- >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >> >> Disclaimer: >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >> --- >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. > >-- >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >--- >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment