Sunday 24 March 2013

[wanabidii] SING'ANG'ANII KUINGIA MABADILIKO

Ndugu Chambi,Salaam
Nimekuwa nje kwa shughuli maalumu sana kwa taifa langu na usatawi wa baadaye wa Taifa langu na sie mimi peke yangu kama wewe ufanyavyo maana kwa mtazamo tu,we umesoma kibinafsi...Shughuli hii ya kuchangia kwenye mijadala ya mabadiliko naanza kuona kama yenye harufu ya KUPOTEZA MUDA maana matunda yake naona hayatakuja kwa aina hii ya mijadala katika KULINDANA-GROUPTHINK!

DOUBTFUL  APPRECIATION
Kusema ukweli,umenifanya nione sasa umuhimu wa taaluma yako pale ambapo umeitumia(ndilo tunataka na wasomi ndilo wanahitaji)kutoa facts kwenye source husika na siyo kujazana opinions za watu oh...eti Ludo alikuwa hivi,oh..ni kijana mwaminifu kwa Chama,oh..alianza harakati lini...hapana.Umetuwekea facts na mwenendo wake tangu mwanzo.Ila sijui lengo lako ni nini maana hauwezi kuleta alivyoandika Ludo halafu you do not cooment kwa nini umezituma....Chambi wewe ni hatari kabisa maana hata hizo Post zinaonyesha usivyo makini.Je,kwa nini umezikusanya pamoja na zile za Mjengwa?Unataka kutuambia nini?Ki ukweli you are not serious with what you are doing rather instigating hate between the two.Yo said uliogopa kucoment kwenye post ya Ludo,ila kwa sasa una post maandiko yake...mmhh usomi huu wa Historia ya Harvard ni hatari.Au ndivyo wanatoa maksi kwa kucopy na Kupaste????Mh au unawasaidia kuongeza Divide and rule maana wao ndiyo waasisi.Na historia unayosoma ni ya kwao ya kuonyesha kuwa siye ndiyo wakutupwa tusijue mambo.Tunayajua natutaendelea kuajua tu.
Ludovick Joseph,mie sikumfahamu ila kutokana na Post zake nilizozikuta,hasa katika mambo ya dini niliona yuko well informed na huo ni ukweli ambao siwezi kuupinga maana alikuwa anafanya kama wewe ulivyotuwekea hizo hapo juu.Alitoa facts(Historical facts za source zenyewe)
Katika mijadala,siyo lazima kuchangia.Niliona sana hoja zake,ila sikupenda kuingia kwenye mijadala ya siasa maana siasa ni haki yangu kama mwananchi(Politics),na hivyo kwa vyovyote vile aliyoyasema yoote na waliochangia sikuona la kuongeza maana siwezi kuyaprove.

Ndugu Chambi,kuna mtu amechangia akiuliza kuwa..Je,Chambi umekuwa msemaji wa Deo Kibambizi?Usihofu kusema NDIYO maana wewe tu ndiye nawasiliana nawe na hii ni bahati kweli.

UJUMBE KWA BROTHER KATU
Brother Katu,wala usihofu kunitaja jina langu humu maana ni haki ya kila mmoja kufahamiana na kuelezana ukweli.
Katu,najua kuwa una rungu la kuja mie ni nani.Hata mie napenda kabisa kufahamika na wote humu ila kuna shida ya GROUPTHING PROBLEM.Humu ndani ya jukwaa watu tunahurumiana sana na kuheshimiana sana ndiyo maana hatuwezi kuwa na mafanikio.Humu ndani lazima kuwemo na CRITICAL RULERS au kwa lugha ya kitaalamu..DEVIL ADVOCATES.Hawa wanasaidia kutokuwepo KULINDANA.Kama kuna jambo kwa ajili ya maslahi ya jamii kwa nini kulindana eti watakuona mbaya?Leila,nadhani Ludo mmefahamiana humu ndani ya jukwaa kwa jinsi maelezo yako uwe tu na subira na acha sheria ichukue mkondo wake.Wangapi wanafungwa bila hatia?Atapata mbele ya safari na kama ana hatia basi atashughulikiwa kulingana na sheria husika.
Serikalini watu tunalalamika sana,oh,...mbona hachuki maamuzi mzito,oh..ana upendeleo..mara ohh anawaogopa viongozi wake...Haya yote ni kwa sababu ya kuzoeana na kufanya kazi kwa kulindana.Katika utendaji tukitenda kwa klindana basi maendeleo hakuna.
Kundi hili,lina kila aina ya GroupThink..if one thinks and says contrary to what the Mods to not want,is a snicker au ndiyo hao Chambi anawataja mfano wa Swift...!Sasa Chambi,kama wewe si Swift pia,mambo ya Kanisa unayafuatilia ya nini ambayo si imani yako?Always,the one who lives in a muddy house is the one who knows the light letting holes....!
This group can not act as an organization because we still have no established rules that can limit our thinking.This group just needs guideline not to Post offensive language,but at times provocation is needed to stir up the minds of the people to think freely and avoid GroupThink.

I am really disappointed with this group to fear any post that is contrary to what they think.Oh My....!!!
Keep it up!Like CROSS BREEDING, this group needs to be cross bred for better hybrid conversation and better resolution.


KUHUSU MSAMAHA WAKO CHAMBI:
Suala hilo bado ni mapema sana kunyamaza.Mie sina madhara ya kimwili kwako hata kidogo.Ila wewe una madhara kwenye jamii ya kesho ;ya kimwili,kijamii,kiuchumi,kisiasa,kImani na pia kimamtazamo.Nimeelezea kuwa CD,DVD na mihadhara yote ya dini imesitishwa kwa amri ya serikali.Na wameomba msamaha kwa dhati na wewe fanya.Na kati ya vitu vilivyotajwa vilihusika na uchochezi wa kidini,au kwa sauti, au kwa picha, au kwa maandishi na hata kwa ishara.Na uchochezi wako unaangua humu ndani kati ya hayo.

KIUKWELI BILA KUKUFICHA,kama WHISTLE BLOWER...Kesho napuliza kipenga maana umeacha KUOMBA RADHI kama walivyofanya wengine nyumbani Tanzania.Mie kazi yangu itakuwa kutoa mwelekeo wa maandishi yako,na KAMA ULIVYOFANYA KWA LUDO..(Great job to upoload all the indifferent posts describing Ludo),basi watalaamu na hata mie mambo haya ya Kuperuzi haya mamitandao ndiyo yananipa uhai.Hivyo,nitaanzia Post zako zooote kuzipakua wakiomba ushahidi au watajipakulia wenyewe na NINA UHAKIKA kwa Post zile zina kila aina ya UCHOCHEZI maana zina harasisha kudharau imani za wengine.

Kama nilivyosema,ni kuwa sitachukua post yenye Critical analysis bali nitachukua tu zile ambapo una post na watu wakichambua unaendelea kuchochea bila kuweka wazi jibu ni lipi na unaongeza chuki tu.Fanya Critical analysis halafu tuone wapi umeonyesha usomi wako badala ya kutumia za wale wa CNN wanaliohararisha kuwa Wafiriranaji(japo neno baya) ila ndiyo hivyo.Wao wamekalia tu Kanisa Katoliki kupitia CNN,yahoo na tu vikundi ovu vya wanaopingwa na Waumini na Kanisa lao Katoliki.Hawana la kusema basi wanaishia kulichafua Kanisa Katoliki kwa kila njia.

Marekani walishindwa kupitia Jumuiya za Kikanisa wakaanzisha Kanisa la Ubatizo(Baptist ili kujiondoa na kuwa na wao cha kuanzisha maana kila kitu wanataka wao ndio waanzishe:Ili kuonekana tofauti na Ulaya-Football waakanzisha,kwa kutumia mikono ili kuwa na tofauti na Football/soccer la ulaya)-Kwa vikanisa hivyo wakazifadhili kuanzisha huduma kwa sie makabwera hadi akina Kibwetere.Ila Katoliki hawajachukua hadi sasa kwa lengo la kukiuka yafuatayo-UTU,HAKI NA UHAI.Waliokubali wanaona na kuelezea madhara.Ikagundurika janja yao.Wakaona divide and rule hiyo imeshindwa,sasa wakaingia Ulawiti,Mungu anajua yote watu wamegundua janja yao,sasa wameingia Vatican sehemu ya kutunzia hela nako nadhani watashindwa.Ila tu,hata Yesu aliuuzwa kwa Pesa inawezekana wakafaulu kupitia pesa hiyo hiyo.Najua haiwezi kuwa kama kwa Saddam kwamba atawatandika mabomu hayo huko.Mie naendelea kuona kinafuata nini.Ila nitaendelea kuwa faithful kwa Kanisa na imani yake ya jumla na si ya mtu mmoj mmoja.Labda YESU TU!!
Kila jema.
Nawasilisha;Salamu kwa Katulanda na LLK!!!!
Kibambizi

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment