Tuesday 12 March 2013

[wanabidii] Jinsi ya kuongeza mapato kwenye biashara yako

Legacy Impresion Company, ni kampuni iliyosajiliwa kisheria, inapatikana eneo la Kijitonyama.Dar es salaam na inafanya shughuli za "Printing, Graphic Design, Webtech na Stationeries". Kampuni inawaletea bidhaa mpya kwa upande wa "Graphic design" bidhaa hiyo inaitwa "Branding". Branding ni kifurushi chenye kazi zilizodizainiwa vizuri kwa ajili ya kampuni/Ngo/ofisi yako, kifurushi hicho kitakusaidia kama mfanyabiashara kuwa na muonekano usiobadilika ikiwa ni nguzo mojawapo za kukua na kuongeza soko la biashara yako pia kitakusaidia kuongeza wateja nje na ndani ya nchi. Branding imegawanyika katika vifurshi aina tatu tofauti hii itategemea na unahitaji aina ipi kwa muda huu nazo ni " Basic" Promotion" " Premium" kwa maelezo zaidi kuhusiana na aina pamoja na kifurushi kwa ujumla angalia kipeperushi kilichoambatanishwa au piga namba zilizipo kwenye kifurushi hicho, bei zetu ni nafuu na zinakidhi toa oda yako sasa.

Kutokana na umuhimu wa muda sasa tunafanya kazi,tunatoa huduma kupitia mtandao (online) kama utahitaji kufanya kazi na sisi mtandaoni tafadhali wasiliana nasi sasa hauhitaji kutoka ofisini ili kazi yako iwe nzuri

Pia kampuni inafanya kazi Printing aina zote kubwa na ndogo ,tunauza vifaa vya steshenari na tutakufikishia hadi mlangoni kwa wale wenye oda kubwa.

Katika ulimwengu wa ushindani usiangalie tu kutengeneza ilimradi tengeneza ilhali ukiangalia ubora,uwezo na hata nguvu ya ushawishi kwa wateja wako tumia " Legacy Impresion Company" kwa mafanikio ya ofisi yako.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment