Sunday 3 March 2013

Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, March 3, 2013 7:48:48 AM GMT+0000
Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Nadhani hukumuelewa Nyerere wewe. Nyerere alipinga udini lakini hakuwa
mjinga wa kushindwa kujua kuwa nchi haiwezi kutawaliwa na watu wa dini moja
eti kwa kisingizio kuwa wao ndio the most qualified......

Tusivichukulie vitu kwenye face value. Kuna ubaya gani wa kupokezana
madaraka?

Ngoja nirudi zangu Itete mimi nikanywe zangu Dongela.....naona
mnanichanganya tu!

2013/3/3 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

> Mbunge K,
> Hili la zamu za dini nadhani mmelianzisha ninyi wenyewe huko CCM baada ya
> Nyerere kufariki. Nimemsikia mwenyewe kwenye
> video akisema kuwa Tanzania hatuchagui mtu kwa dini yake sasa imeanza
> lini? Natumaini mtabaki nalo huko huko CCM lisiigwe
> na vyama vingine na haswa lisiingizwe kwenye katiba.
> em
>
> 2013/3/2 <hkigwangalla@gmail.com>
>
> Ngupula,
>>
>> Hili la zamu kwa dini zetu limekuwa kama katiba isiyoaandikwa, lipo!
>> Utake usitake, iwe sawa ama si sawa, lipo tu!
>>
>> Hilo la pili la asilimia 90, wewe semea moyo wako tu! Tukiwa Dodoma
>> kwenye mkutano mkuu, wajumbe walionesha kwa kiasi kikubwa kuwa na mapenzi
>> na Membe kwa sababu kila mtu alitamani kupiga naye picha kiasi cha
>> kutupotezea hata muda wa kutafuta kura za NEC alizokuwa anaomba!
>>
>> Re,
>> HK.
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Sat, 2 Mar 2013 03:15:17
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>
>>
>> Bwana HK,hata kama ni kweli jambo hilo la zamu za uongozi kati ya
>> wakristo na waislam ni kama linajengeka vichwani mwa watanzania,lakini
>> hatuwezi kumkataa au kumkubali mtu kwa sababu ya dini yake.na tanzania
>> haijawahi tokea hivyo na hilo lazima likemewe kwa matendo.Kama SAS ni mzuri
>> ni mzuri tu.Halafu ngoja nikudokeze,huyo Membe unayedhani atachaguliwa
>> kuipeperusha bendera ya CCM kwa kuwa ni mkristo,asilimia karibia 90
>> tunamuona ni mnafiki na kiini macho.Hatumtaki.Hafiki popote huyo.ngupula
>>
>>
>>
>> ------------------------------
>> On Fri, Mar 1, 2013 22:04 EET denis Matanda wrote:
>>
>> >Sio kweli kaka Matinyi kuwa hata huko mliko hili janga la udini lipo? Au
>> >nachanganya udini na ubaguzi wa kidini?
>> >
>> >Waislamu na Mormons wana chances sawa za kushinda na makundi mengine ya
>> >kidini?
>> >On Mar 1, 2013 6:01 PM, "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com>
>> wrote:
>> >
>> >> Tusijenge utamaduni wa udini. Iko siku tutalia. Rais achaguliwe kwa
>> uwezo.
>> >> Tuache kabisa uafrika duni huu. Tuache kabisa.
>> >> Matinyi.
>> >>
>> >>
>> >>
>> >> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>> >>
>> >> ----- Reply message -----
>> >> From: "amour chamani" <abachamani@yahoo.com>
>> >> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> >> Subject: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>> >> Date: Fri, Mar 1, 2013 8:02 am
>> >>
>> >>
>> >> Matanda,
>> >> Kwanza naomba nikupongeze sasa kwani umekuwa mkweli wa nafsi yako.
>> >> Huu ndiyo msimamo wangu muda mrefu sana.
>> >>
>> >> "Yeyote anayesema kuwa
>> >> ku-balance nafasi za namna hiyo na dini ya mtu au jinsia ni kitu
>> kibaya
>> >> ni mnafiki na asiyejua anachozungumza!
>> >>
>> >> Wewe unadhani kila mwananchi
>> >> ana uelewa kama wangu na wako? Kwa nini Board ya Parole ilivunjwa
>> >> kipindi kile, kwa nini tuna-balance nafasi za Muungano na hata nafasi
>> >> kwa kuangalia usawa wa kijinsia? Yote haya mnaona ni ujinga?
>> >>
>> >> Utu uzima ni pamoja na kuona
>> >> vilivyoandikwa na visivyo andikwa, vinavyoonekana na visivyoonekana na
>> >> trust me, kuna watu katika nchi hii ambao kazi yao ni kuhakikisha hii
>> >> delicate balance haiwi violated.
>> >>
>> >> Kwa hisia zangu kanuni hizi
>> >> ambazo hazijaandikwa ndizo pengine ziliamua Kikwete aingie 2005 badala
>> >> ya 1995. Wenye uwezo wa kuunganisha nukta watakuwa wanaelewa nguvu ya
>> >> kanuni hizi za kificho................"
>> >>
>> >>
>> >>
>> >> Holy See na Saud Arabia ni vitu viwili tofauti kabisa.
>> >> Pitia kidogo maandishi utaona lakini hata kama ndiyo unatwambia nini
>> basi?
>> >>
>> >>
>> >>
>> >>
>> >>
>> >> Walewale.
>> >>
>> >>
>> >> ________________________________
>> >> From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>> >> To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> Sent: Friday, March 1, 2013 3:42 PM
>> >> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> Imekaaje???
>> >>
>> >>
>> >> Holy see ina tofauti gani na Saudia wewe Amour? Vatican ni taifa la
>> >> kikatoliki kama ilivyo Saudia kuwa taifa la kiislamu, ugumu wa kuelewa
>> >> jambao hili rahisi uko wapi ndugu yangu walewale?
>> >>
>> >>
>> >> 2013/3/1 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>> >>
>> >> Kuna tofauti kati ya Holy See na OIC. Ni afadhali kufananisha OIC na UN
>> >> kuliko kuifananisha na Holy See.
>> >> >em
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >2013/3/1 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>> >> >
>> >> >Rehani,
>> >> >Niliwahi kuomba msaada hapa jamvini kuhusu uhalali wa Tanzania kuwa na
>> >> uhusiano na HOLY SEE bahati mbaya hakuna aliyejibu.Naona unaipenda na
>> >> kuiheshimu sana katiba ya nchi hetu sema kuhusu hiyo.
>> >> >Nakusikiliza kwa hamu ndugu.
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >Walewale.
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >________________________________
>> >> >
>> >> >From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>> >> >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> >> >Sent: Wednesday, February 27, 2013 10:09 AM
>> >> >Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> Imekaaje???
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >Yona,
>> >> >
>> >> >Sawa unamuunga mkono kwa hilo la kujiunga na OIC. Lakini unafahamu
>> kuwa
>> >> kufanya hivyo ni kuvunja katika yetu ya Tanzania ambayo viongozi
>> waliapa
>> >> kuilinda na kuitetea? Na hayo maslahi unayoyasema ni yapi? Je nchi
>> >> zilizokwishajiunga na OIC zimemaliza matatizo yake? HIvi unataka kusema
>> >> kuwa tukijiunga na OIC ndio tutaweza kuondoa umaskini wetu? Hayo ni
>> mawazo
>> >> ya kimaskini tu, kuweka matumaini makubwa sana katika jambo ambalo
>> kimsingi
>> >> haliwezi kukusaidia lolote na utabaki pale pale.
>> >> >
>> >> >Maaskofu wanachosema ni kujenga utamaduni wa kuheshimu sheria na hasa
>> >> sheria mama, katiba ya nchi, ni lazima ilindwe na iheshimiwe. Hatupendi
>> >> kujenga utamaduni wa kuvunja katiba kwa visingizio vyovyote vile. Kwa
>> >> mujibu wa katiba yetu ilivyo sasa, kujiunga na OIC ni kuvunja katiba,
>> full
>> >> stop. Labda tubadilishe katiba.
>> >> >
>> >> >Selemani
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >> >________________________________
>> >> > Date: Wed, 27 Feb 2013 09:50:47 +0300
>> >> >Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> Imekaaje???
>> >> >From: oldmoshi@gmail.com
>> >> >To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >
>> >> >Hilo la kujiunga na OIC namuunga mkono , wao maaskofu wasifikiri nchi
>> ni
>> >> yao na kwamba nchi hii ina dini , nchi haina dini inauwezo wa kujiunga
>> na
>> >> jumuiya yoyote endapo ina maslahi kwake na kwa watu wake sio kwa
>> misukumo
>> >> ya wakina misahafu
>> >> >
>> >> >
>> >> >On Wed, Feb 27, 2013 at 9:45 AM, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
>> >> wrote:
>> >> >
>> >> >HK,hana msimamo
>> >> >>
>> >> >>On 2/26/13, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>> >> >> Kwa kuwa anayemaliza ni muislam. Katiba isiyoandikwa (uncodified
>> >> >> constitution) inasema hivyo, tubalance ku-accommodate imani zetu,
>> >> walau hizi
>> >> >> dini kuu 2!
>> >> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> >> >>
>> >> >> -----Original Message-----
>> >> >> From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>> >> >> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >> Date: Tue, 26 Feb 2013 08:50:59
>> >> >> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>> >> >> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> Imekaaje???
>> >> >>
>> >> >> Kigwangallah,
>> >> >> Kwanini lazima awe Mkristu?
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >> Walewale.
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >> ________________________________
>> >> >> From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
>> >> >> To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >> Sent: Tuesday, February 26, 2013 7:31 PM
>> >> >> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> Imekaaje???
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >> Hiyo ya ukristo ni sawa. Ni lazima awe Mkristo - unafiki considered
>> >> >> positively! Lkn siyo lazima awe Mzenjbar!
>> >> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> >> >> ________________________________
>> >> >>
>> >> >> From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>> >> >> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >> Date: Tue, 26 Feb 2013 15:11:23 +0000
>> >> >> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> >> >> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> Imekaaje???
>> >> >> Tukiweka unafiki pembeni RAIS AJAYE NI LAZIMA AWE MKRISTU NA KWA
>> >> AJILI YA
>> >> >> MUUNGANO NI LAZIMA AWE MZANZIBARI. Hapo sasa
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >> 2013/2/26 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
>> >> >>
>> >> >> HIVI KWANINI TUNAHUSISHA URAIS NA DINI? mimi najua kwa jamii yetu
>> kama
>> >> >> watanzania mtake msitake RAIS AJAE ATAKUWA MKIRITU AU MWISILAM basi.
>> >> >>>
>> >> >>>
>> >> >>>
>> >> >>>2013/2/25 Fratern Shirima <shirima.fratern@yahoo.com>
>> >> >>>
>> >> >>>hivi kuna uwezekano kuwa membe akienda nje anajitangaza kuwa yeye
>> ndio
>> >> >>> presdaaa wa tz? manake hizi habari za kuwa yeye ni presidaa
>> mtarajiwa
>> >> >>> hazipungui humu kwenye mityandao kila kuklicha.
>> >> >>>
>> >> >>>--- On Mon, 2/25/13, rwechungura_nestory@yahoo.com
>> >> >>> <rwechungura_nestory@yahoo.com> wrote:
>> >> >>>
>> >> >>>
>> >> >>>>From: rwechungura_nestory@yahoo.com <rwechungura_nestory@yahoo.com
>> >
>> >> >>>>
>> >> >>>>Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>> >> >>>> Imekaaje???
>> >> >>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >>>>Date: Monday, February 25, 2013, 11:06 AM
>> >> >>>>
>> >> >>>>
>> >> >>>>
>> >> >>>>Kumbe nimegundua. Kama mtu unataka mzigo wa matusi basi taja kuhusu
>> >> suala
>> >> >>>> la rais ajaye.
>> >> >>>>
>> >> >>>>Tunagombana kwa wazo tu la kufumba Mbuzi sehemu wakati hatujui hata
>> >> fedha
>> >> >>>> za kununua zitatoka wapi, jamani tunaenda wapi?
>> >> >>>>
>> >> >>>>Nami sijui yatanikuta haya MATUSI kwani nami natangaza
>> "NITAGOMBEA".
>> >> >>>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>> >> >>>>________________________________
>> >> >>>>
>> >> >>>>From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>> >> >>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >>>>Date: Mon, 25 Feb 2013 02:45:27 -0800
>> >> >>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> >> >>>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >>>>Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtaraj
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>



--
Wasalaam

Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.

*" Low aim, not failure, is a crime"*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment