On Mon, Mar 25, 2013 3:36 PM EET Jacob Ruvilo wrote:
>Jacob Ruvilo
>
>kama mwana Kigoma baada ya kusoma michango yenu nami nikubaliane kuwa
>Zittoni jembe na kasoro za Ukweli na uamnifu katika chama kama
>mnavyosema inaweza kuwa kweli kwakuwa hakuna binadam asiye na
>mapungufu ila mapungufu ya zitto nadhani mwenyewe akijirekebisha ni
>madogo na si yale asilia ambayo hayabadiliki so ni utashi wake na
>kweli ni jembe aidha kwa sasa au baadae anatufaa kutuongoza kikubwa ni
>uvumilivu kwa ikishindikana kwa sasa sio lazima awe mvumilivu na
>mwenye malengo atafanikiwa together we can Zitto oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
>
>On 3/25/13, ezekiel kunyaranyara <
ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>> Isack,
>>
>> Inaonekana mtizamo wako kwangu umekufa kabisa, mawazo yako
>> kimsingi yameganda, maneno yako yanapofusha kama mtu asipojiangalia na kama
>> ataruhusu wewe uwaze kwa niaba yake. Funguka utajua mengi kuliko
>> ulivyojifunga sasa. (soma kisa kimoja katika kitabu cha darasa la saba
>> zamani - Kiingereza kinasema MAHUGU THE HUNTER kina sema come out and be
>> eaten). Ungenijua mimi ni nani huenda ungepata nafasi ya kufunguka
>> kidogo.... Unawaza upuuzi tu muda wote hata michango yako ni kama hujaenda
>> shule ndugu yangu...
>>
>> Watu kama wewe ni wauaji toka mwanzo...unmwaga sumu kama mtu hakujui
>> atadhani unasema kweli kumbe ..... Kuwa na mtizamo tofauti na wewe sio
>> uadui. Nchi hii ni yetu wote ebo...kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake
>> hata kama huyakubali kaa kimyaa. Kama unawasiwasi na kwamba mirija yako wewe
>> itakatwa shauri yako kaka....
>>
>> Mtizamo wangu kwa ZK ndio huo tena nikueleze na hata SILINDE wana mtizamo
>> mkubwa wa mambo. Timu waliyonayo tu kwa mtizamo wangu wanatofautiana sana
>> katika kufikiri na kuona mambo kabla na baada...
>>
>> K.E.M.S.
>>
>> From: isack mchungu <
isackmn1965@gmail.com>
>> To:
wanabidii@googlegroups.com >> Sent: Sunday, 24 March 2013, 23:50
>> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>
>>
>> Elisa,
>> umelitolea suala la zito vizuri sana, hata nyumbani katika watoto wa kiume
>> ikionekana unaendana tofauti na misimamo ya baba yako na ukawa karibu na
>> wabaya wa mzazi wako lazima baba aanze kufikilia kama alikuzaa yeye au
>> umezaliwa na mtu mwingine,hilo moja, ELISA usisahau kuwa kina Kunyaranyara
>> ni kind ya kina Maro kimtizamo kuhusu CDM, SI wanajuwa jamaa wakikamata nchi
>> mirija yao itaziba,
>>
>>
>>
>> 2013/3/22 amour chamani <
abachamani@yahoo.com>
>>
>> Denis,
>>Hujui kilicho wakumba akina Dr Lamwai,Prof Lipumba nk.
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>From: denis Matanda <
denis.matanda@gmail.com>
>>To:
wanabidii@googlegroups.com>>Sent: Friday, March 22, 2013 6:42 AM
>>
>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>
>>
>>
>>Duh...yaani ukiwa mhadhiri huruhusiwi kushiriki mambo ya vyama? Ndicho
>> unachomaanisha kaka?
>>On 21/03/2013 7:57 PM, "Tony PT" <
tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>>MM,
>>>
>>>Ahsante kwa kutujulisha kuwa hata Mhadhiri wetu naye afisa wa chama...!
>>>
>>>Ahsante, sasa nitakuwa na maamuzi huru ya kusoma maandiko yake. Sikujua.
>>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>>>
>>>-----Original Message-----
>>>From: Mohamedi Mtoi <
mouddymtoi@gmail.com>
>>>Sender:
wanabidii@googlegroups.com>>>Date: Thu, 21 Mar 2013 19:48:12
>>>To: <
wanabidii@googlegroups.com>
>>>Reply-To:
wanabidii@googlegroups.com>>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>
>>>Kaka yangu Dr. Kitila Mkumbo.
>>>
>>>Niko huru kifikra na usiwe na wasiwasi kuwa huenda naanza kuwa na
>>>tabia kama za wakada wa ccm.
>>>
>>>Nimepata wasiwasi wa ulicho kiandika kutokana na nafasi yako ndani ya
>>>chama na jinsi ulivyo onyesha hali ya kumhurumia Ndugu yetu ZK kwenye
>>>hili tunalo jadili ndio maana nika jihoji na kujiuliza maswali kadhaa.
>>>
>>>Hata hivyo naamini kuliona kwako jua mapema unayajua mengi kuliko mimi
>>>kinda. Nisaidie kwa machache niliyo kuuliza hapo juu.
>>>
>>>On 3/21/13, amour chamani <
abachamani@yahoo.com> wrote:
>>> Ezekiel na Elisa.
>>> Tunawashukuru sana kwa kutuelimisha.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> Walewale.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> ________________________________
>>> From: ezekiel kunyaranyara <
ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>> To: "
wanabidii@googlegroups.com" <
wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Thursday, March 21, 2013 1:51 PM
>>> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>
>>>
>>> Yeye kama Moderator ameiona haja yako kaka Muhingo. Ataamua la kufanya.
>>> Kazi
>>> njema.
>>>
>>>
>>> K.E.M.S.
>>>
>>> From: ELISA MUHINGO <
elisamuhingo@yahoo.com>
>>> To:
wanabidii@googlegroups.com>>> Sent: Thursday, 21 March 2013, 3:40
>>> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>
>>> Naomba uniitie Yona huko aje ajumuishe mada hii. najua angalau
>>> tumeijadili
>>> vya kutosha na pahala tusipokubaliana tumepaon na tunapokubaliana.
>>> napenda taratibu ambayo Yona haitumii sana ya kujumuisha mada
>>> anazoleta.
>>> najua haogopi kuonyessha msimamo wake katika kuhitikisha.
>>> Inapendeza kuona tunao viongozi makini na wanaotofautiana. Hii ni afya
>>> njema
>>> kisiasa na hata kijamii. --- On Thu, 3/21/13, ezekiel kunyaranyara
>>> <
ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>>>
>>>>From: ezekiel kunyaranyara <
ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>To: "
wanabidii@googlegroups.com" <
wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Date: Thursday, March 21, 2013, 3:29 AM
>>>>
>>>>
>>>>Muhingo
>>>>
>>>>Mimi nafikiri mada hii inapitia kwenu kwa sababu mbili kuu. MOJA:
>>>> wenzake
>>>> wanauona uwezo wake mkubwa wa kuangalia mambo na kuyafanyia kazi na
>>>> kuyatafutia majawabu. Wanauona uwezo wake mkubwa na hivyo kuwa na woga
>>>> huenda wa kupanga au kujadiliana naye kwa hoja za moja kwa moja.
>>>>
>>>>MBILI: kwa upande wa mahasimu nje ya CDM wanazo sababu mbili kuu, moja
>>>> ambayo na mimi naweza kuwemo ni kule kukubali uwezo wake mkubwa alionao
>>>> wa
>>>> kuona mambo, lakini sasa huwezi kumwambia moja kwa moja isipokuwa
>>>> kutumia
>>>> njia ambayo inaweza kumsaidia kujua na kugundua mapungufu aliyo nayo
>>>> ili
>>>> ayafanyie kazi kisha autumie ujuzi wake kwa ajili ya taifa hili.
>>>>
>>>>Ya pili kwa upande huo huenda ni kutaka wenzie ndani ya kundi lao
>>>> wamchukie
>>>> jambo ambalo silipi asilimia kubwa sana hasa kwa sababu ambazo
>>>> nimewahi
>>>> kusikia mwenyewe akisema. Aliwahi kusema MBUNGE kazi yak ni kuwaletea
>>>> wananchi maendeleo na kuwashawishi kushirikiana hilo limefanyika na
>>>> maendeleo kwa Kigoma sasa yanaanza kuonkana, je sasa niseme kwamba
>>>> hakuna
>>>> kitu wakati barabara naziona?
>>>>
>>>>Wapo waliomwambia wewe pinga tu ndio upinzani huo, kwa kweli hoja hii
>>>> hakuijibu. Aliyasema haya siku moja akiwa Nguruka na vijana wengi
>>>> wakiwa
>>>> wamemzunguka.
>>>>
>>>>Yawezekana kweli ikawa kwamba hayuko na wenzake lakini kwangu mimi
>>>> naiona hoja hii itakuwa kweli tu, kwamba wenzie huenda hawajamulewa
>>>> zaidi
>>>> kutokana na tofauti kubwa waliyo nayo katika uwezo wa kuelewa na
>>>> kutafakari mambo ya kitaifa na kijamii.
>>>>
>>>>K.E.M.S.
>>>>From: ELISA MUHINGO <
elisamuhingo@yahoo.com>
>>>>To:
wanabidii@googlegroups.com>>>>Sent: Thursday, 21 March 2013, 2:58
>>>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>
>>>>Kwa ujumla Zito ni mwiba kwa timu yake.
>>>>Anazo Character nzuri katika timu kama ulivyosema. Hizo ni 'Functional
>>>> behaviour' katika team building. Lakini naziona na 'NonFunctional'
>>>> ambazo
>>>> zikipakwa manukato zitanukia kama unavyoonesha kusema. Kweli kwa mfano
>>>> hakushiriki kugomea vikao fulani vya bunge na alitumia njia za
>>>> kisayansi.
>>>> lakini kama unaona uhusiano wako na hasimu wako ni mchungu wakati
>>>> uhusiano
>>>> wa mchezaji wako na hasimu huyo ni mtamu sana unawezakufanya
>>>> wanachofanya
>>>> wenzake. Nasita kulegeza katika hilo licha ya ushawishi ninaouona.
>>>>Naelekea kukubaliana na wanaomshuku kuwa huenda akawa hayuko nao.
>>>>Lakini nafikiri kwa kuwa wanaye wanastahili kutafuta namna bora ya
>>>> kumtumia. Ndiyo maana hujawasikia wakimlalamikia directly ila
>>
0 comments:
Post a Comment