Wednesday 12 December 2012

Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?

Sijui ni nani katuroga. Elimu, usawa wa jinsia, ujasiria mali, uongozi, usimaizi miradi-Manuals au vitini kibao. Mashirika mengi listi kuwa tanzania imefundisha vijana mikoa mingi na vikundi mbali mbali. Stadi za maisha ndio wimbo, VOCOBA, SACCOS kuanzishwa. Vifuatilie vikundi uvione vilipo-Vingi kaputi. Kifuatiacho ni semina, warsha baada ya warsha. mashamba yameachwa sawa wapo ktk bodaboda, bajaji, mitumba. Wachache binafsi wanazalisha nyanya, vegetables etc kuleta mijini. Ukifika Lushoto au Iringa utaona jinsi bustani za nyanya, hoho, kabichi etc zilivyowaendeleza. Maenmbe yasingetoka Mombasa yauzwe hapa-tungeyapanda.

Inasemwa kuwa maeneo ya kupita Chalinze kwenye nyumba ziitwazo za Mh Mangufuli walitoa viwanja kwa vijana wa CCM wajenge wafanye na shughuli nyinginezo. Baada ya kupewa viwanja-wameuza almost vyote na pesa ndio sigara, unga na bhangi. Bagamoyo dominant group lenye biashara na ardhi inayonunuliwa gawiwa ni Wakurya na makundi ya wengine pamoja na wa ZNZ. Jenga nyumba za NHC utatue tatizo la nyumba na uwape kimkopo-zitauzwa, kubadilishwa matumizi ziwe bar na maduka, saluni. Labda kuwe na sheria kali kwamba-Marufuku kuuza mpaka miaka kadhaa ipite. Wanauza kama vile makazi si shida na kundi la wenyenazo ndio watanunua kuongeza hela wasionazo watahamia barabarani walikoondolewa.
Vya mabwepande Buuza etc vitakuwa vimeuzwa. Sherehe za kutoboa masikio mtoto zitavuma. Ruvu Basin kwa sasa ni Bar zimeongozana kufuatia barabara mpya ya Dar-bagamoyo-Lugoba-Chalinze-Arusha-tanga-Moro-Mbeya hiyo ya mkato. Wanajenga bonde la kilimo lijaalo maji sio kuendeleza kilimo cha mpunga na mboga kutumia mradi wa kumwagilia maji japanese finance na kufuga mbuki na ngg'ombe kisasa, kupanda embe fupi za SUA na michungwa dwarf. hii haiji ni kuuza ardhi kiholela bar mstari pande 2 njia nzima. Utauondoaje umasikini kama hujitumi, una uza ardhi unafanya visivyoi maendeleo. Unauza kariakoo nyumba ya NHC waliyokuuzia kwa  60,000/= 1972. Unaiuza kwa bilioni moja, hufanyi cha maendeleo unahamia kwenye tope la jangwani. Huendi Mkuranga, Rufiji au Kisarawe, Ruvu, Bunju au Salasala, changanyikeni ununue ardhi huko ufuge kisasa, uwe na DCM kama daladala, michungwa, nyanya na usomeshe watoto. Ila unajenga pasiporuhusiwa toka 1979 ramani imeweka danger zone au unajenga barabarani unaondoa milingoti ya Mh mangufuli uwe barabarani. wanakuja wanaivunja nyumba. Hela umefanya Arusi ya kifahari-zimekwisha. Ungenunua angalanu eneo la madini Mererani, Geita, Handeni 20,000/= leseni ujipatie kipande uchimbishe au uwe mbia na Mchina.
Tuna matatizo, tunaona lakini tu vipofu na hatuambiliki wala kufundishila. Twapenda lawama tu. Tunawaona Wakenya, Burundi, Waganda-hatuigi bali twawauzia ardhi wanatutumikisha kukata miti yetu, kuchoma mkaa, kuuza mishikaki. Ukivamia bank unaiba milioni-unazinywa pombe na starehe kesho unapora maiti, unalewa.

Enzi za ujamaa kila kaya inakaguliwa kuonyesha shamba la chakula na la cash crop. Hii irudishwe. mashamba ya JKT, JWTZ wabebe vijana wakakae huko walime na kupata mafunzo ya ujasiriamali insitu huko huko. Miaka 2 service person na high schoo leaver mwaka, std 12 kama ilivyokuwa 6 months akitokea chuoni. Waliyoyaporwa wapokonywe.
Baraza la utamaduni-likazie sheria ya maadili-mavazi na dansi za utupu ziishe. Hii kuona upotovu wa maadili kwa mavazi, dansi, matendo mengineyo mabaya ni suala binafsi (private life) inatupotosha. Wasichana wanacheza hovyo kwa mavazi nusu uchi wasipojirekebisha bendi hiyo ifungiwe kama wanavyofungia maduka yauzayo madawa kinyume na sheria. Nao wawe Viatilifu. Tunaona picha ktk magazeti, wanachocheza kupitia majukwaa na TV; unaona wanafunzi ktk kona fulani hawaendi shule wapo wanacheza karata wakati wa shule-mgambo iwakamate. Watu wanafanya amalgamation ya gold kwa mercury kutumia mikono hawataki zite appropriate technologies walizoonyesha-kamata maana wanazalisha vilema nchini sio wao tu hata wanywao maji hayo mijini; walao zamaki wa ziwa, mito na walao nyama na maziwa ya mifugo wanywao hayo maji ya zebaki kutokana na bioaccumulation ya mercury.
Sheria kweli zimelala.

--- On Tue, 11/12/12, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 11 December, 2012, 8:31

Hapa kwa haraka ni zambi ya mazoea,umasikini, na elimu kwa ujumla
vinapelekea kutokuwepo wa mlinganyo mzuri wa jinsia. HILI tatizo
kuliko kuandika marefu yake nafikiri tuangalie tatuzi yake. JE,
Utawala wa kisheria upo au uko likizo? Hapa tujuzane sheria
zinazozibiti mienendo yote inayopelekea uwiano mbovu wa jinsia. Najua
kuna semina na makongamano yanaendelea juu ya hili lakini
redio,televisheni na magazeti ziongeze juhudi za kuelimisha suala la
umasikini...

On 12/11/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
> Nimtego hasa-ona kiambata.
>
> --- On Tue, 11/12/12, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
>
> From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, 11 December, 2012, 2:44
>
> Nshawambia hii mada imekaa kimtegomtego nyie mnacheza na hawa akina bibi
> tau
>
> On 12/10/12, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:
>> hahaa, u-altar boy wa kupata divai iliyochachuka (mvinyo) eti kuwakilisha
>> damu isiyo na mawaa/ila/chachu siyawezi
>>
>>
>>>________________________________
>>> From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>Sent: Monday, December 10, 2012 12:06 PM
>>>Subject: Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
>>>
>>>
>>>Chambi kuna siku huwa unakuwa altar boy mzuri tuuuu
>>>
>>>
>>>On Mon, Dec 10, 2012 at 5:06 PM, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
>>> wrote:
>>>
>>>Mwanabiblia mmoja makini anasema Mungu hakumuumba Eva kutoka kwenye
>>> kichwa
>>> cha Adamu ili asimkanyage na pia hakumuumba kutoka kwenye nyayo zake ili
>>> asikanyagwe, bali alimuumba kutoka ubavuni watembee kwa usawa na umoja.
>>>>
>>>>From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
>>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>Sent: Monday, December 10, 2012 4:08 AM
>>>>>
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>Na Biblia ni kwa wale tu wanaoiamini!! LKK
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>________________________________
>>>>> From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>Sent: Monday, December 10, 2012 12:01 PM
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
>>>>>
>>>>>
>>>>>Kutoka ubavuni ambako wanaume wengi hukutumia kujustfy ukuu,ni tukio
>>>>> halisi lililotokea? wasomi wa biblia wanaweza kuleta hapa exegesis ya
>>>>> hii kitu kutusaidia?
>>>>>
>>>>>
>>>>>On Mon, Dec 10, 2012 at 7:48 AM, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>>
>>>>>>
>>>>>>Pole sana gm26!! Ni kweli "HAIWEZEKANI KABISA"!!! Teh, teh, teh! LKK
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>________________________________
>>>>>> From: "gm26may@gmail.com" <gm26may@gmail.com>
>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>Sent: Sunday, December 9, 2012 11:00 PM
>>>>>>
>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>Mtu awezaje kuwa sawa na mtu aliyetoka ubavuni kwake?
>>>>>>
>>>>>>Waziri mkuu au makamu wa Raisi si sawa na rais hata siku moja
>>>>>>
>>>>>>Usiku mwema
>>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>>>>>________________________________
>>>>>>
>>>>>>From:  Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>>>>>>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>Date: Sun, 9 Dec 2012 22:43:24 +0300
>>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
>>>>>>
>>>>>>equal but not the same. mtu anisaidie kiswahili chake
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>On Sun, Dec 9, 2012 at 8:52 PM, <gm26may@gmail.com> wrote:
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>>Fafanua!
>>>>>>>
>>>>>>>Wote waende labor ili wote wawe wamama au?
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>-----Original Message-----
>>>>>>>From: Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
>>>>>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>Date: Sun, 9 Dec 2012 09:48:19
>>>>>>>To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>Subject: [wanabidii] UNAAMINI KATIKA USAWA WA JINSIA ?
>>>>>>>
>>>>>>>Unaamini katika usawa wa kijinsia ? unaamini kama mwanamke na
>>>>>>> mwanaume
>>>>>>>ni sawa ?
>>>>>>>
>>>>>>>--
>>>>>>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>>
>>>>>>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>>>>>>
>>>>>>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>>>>>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>>>>>>
>>>>>>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>>>>>>
>>>>>>>CALL : 0786 806028
>>>>>>>Free Delivery in Dar es salaam
>>>>>>>
>>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>
>>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>>> our
>>>>>>> Rules and Guidelines.

>>>>>>--
>>>>>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>
>>>>>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>>>>>
>>>>>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>>>>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>>>>>
>>>>>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>>>>>
>>>>>>CALL : 0786 806028
>>>>>>Free Delivery in Dar es salaam
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>> our
>>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>> --

>>>>>--
>>>>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>
>>>>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>>>>
>>>>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>>>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>>>>
>>>>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>>>>
>>>>>CALL : 0786 806028
>>>>>Free Delivery in Dar es salaam
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies
>>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>> Guidelines.

>>>> --
>>>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>
>>>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>>>
>>>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>>>
>>>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>>>
>>>>
>> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>>>
>>>>
>>>>CALL : 0786 806028
>>>>Free Delivery in Dar es salaam
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must
>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>--
>>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>>
>>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>>
>>>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>>
>>>CALL : 0786 806028
>>>Free Delivery in Dar es salaam
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment