Monday 10 December 2012

Re: [wanabidii] Tanzania ya 102 kwa rushwa duniani, Kenya na Uganda hoi, Rwanda supa

Sioni kama tunakwenda vizuri ata kidogo. Kwanza yapo mambo mengi
yanayokwenda kirushwa rushwa lakini hayako wazi wala kuwareported.
Ziko rushwa za aina nyingi, mara nyingi tunaziona rushwa zinazotolewa
immediately. Kama ata bunge letu liliharalisha rushwa kwa kuibatiza
jina la takrima huo unafuu munaousema uko wapi?

Inawezekana mtoa huduma asipokee chochote lakini asikupe huduma
stahiki mfano kama ni mahakamani au polisi ukapoteza haki yako simply
mtu amezoea kupokea chochote kitu ili afanye kazi vizuri.

Hayo majengo na viwanja vya serikali walivyouziana wenyewe kwa wenyewe
kwa bei rahisi vimerudishwa? Je tunategemea mtoto wa vigogo hao awe na
nguvu ya kupiga vita rushwa? Dalili zilizopo ni ''like father like
son, like mother like daughter or son. Hawa ndio viongozi wa kesho
maana ndio majina yao yatapitishwa na ndiyo wenye uwezo kifedha ili
kutoa chochote kwa wapiga kura kama vile kujenga barabara, kutoa
pilau, vitenge au kutoa huduma fulani kama maji na elimu na hivyo
kuwaconvince wapiga kura wamchague.

Hawa ndiyo wenye fedha za 10% ya mikataba ya madini na mikataba
mingine kama ya RICHMOND. Hawa ndiyo wamesoma shule nzuri wanaweza
kuongea kimombo kizuri na ufaulu mzuri wa masomo, wanaweza kukingiwa
kifua na wazazi wao kwa nafasi walizonazo na hivyo ndo watapata kazi
nzuri walalahoi wakibaki wanabangaiza mitaani

Kwa ufupi dalili zilizopo zinaashiria kwamba uwezekano wa mtoto wa
mlalahoi kuwepo kwenye nafasi za kutoa maamuzi ni ndogo. Tunategemea
mtu ambaye rushwa imemunufaisha na kumfikisha alipo aipige marufuku?
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu tuache hadidhi za alinacha. Nchi yetu
itachukua muda mrefu kubadili mfumo tulionao. Kwa sababu ya njaa
tulizonazo si vyepesi kuyajua madhara ya muda mrefu yatokanayo na
rushwa. Anayeweza kuipiga vita rushwa ni yule ambaye ameumizwa sana na
hiyo rushwa (mlalahoi) tatizo hao walalahoi wa kutosha (wenye nafasi
kwenye maamuzi) nani atawapa nafasi hizo? Society imekwisha kuwa na
corrupted mind

Kubadili mfumo inaweza kuzigharimu damu nyingi za walalahoi, wala
rushwa ndo wenye madaraka na nguvu za kila aina. Rushwa itadumu na
wala haitaisha kwa maneno au kumalizwa na kizazi kilichotokana na
rushwa. Tutegemee kuongezeka na wala si kupungua. Ikifika kiwango cha
juu sana ndo inaweza kupigwa vita na pengine ikaanza kushuka, of
course itafika wakati itaanza kutoa sumu kali sana itakayosababisha
kifo chake.

Kwa sasa hivi hapa kwetu rushwa iko kwenye kiwango cha kujirutubisha
tu.Kila mtu na lwake, nikipewa changu mliobaki mtajiju. Hapo ndipo
tulipo, walio wengi wanaangalia maslahi binafsi na wala si ya jamii
kwa ujumla wake. Atakayekuwa na pesa ya kuhonga wajumbe na pengine
alikwishawaweka kwenye nafasi za kumpa support ndiye atachaguliwa.
Tunachokataa nini?

On Mon, Dec 10, 2012 at 6:08 PM, ezekiel kunyaranyara
<ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>
> Rugambwa L
> Kwa nini hukubaliani nami kakaa. Hoja yangu ni kwamba ukiangalia na kule tulikotoka hii inatia moyo. Mimi naamini sisi tuko vizuri zaidi kuliko wengi na hii ni kwa sababu tumeamua kama nchi kuweka mambo yetu wazi, hiyo ni sababu moja ya nafuu yetu.
>
> Pili siamini kama kuna siku tunaweza kufikiia hatua ya kuwa wa na Ccorruption Free Country unless tukifika mbinguni (kwa wale yunaoamiini hivyo).
>
> KEMS
>
>
>
> ------------------------------
> On Mon, Dec 10, 2012 11:01 GMT Laurean Rugambwa wrote:
>
>>kuwa 102 Ezekiel ndio kwenda vizuri? I dont agree.
>>
>>
>>Date: Mon, 10 Dec 2012 06:32:53 +0000
>>From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
>>Subject: Re: [wanabidii] Tanzania ya 102 kwa rushwa duniani, Kenya na Uganda hoi, Rwanda supa
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Matinyi,Nadhani tunakwenda vizuri. Ni vizuri tu tuendelee kupiga kelele hali inaweza kuwa nzuri kadri muda unavyokwenda. K.E.M.S.
>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>> To: Mabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanabidii googlegroups
>> <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Sunday, 9 December 2012, 10:59
>> Subject: [wanabidii] Tanzania ya 102 kwa rushwa duniani, Kenya na Uganda hoi, Rwanda supa
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>Did you click on the link (2012 index )to see where your country stands?
>>
>>Africa: Twelve Countries Rank in Top 75 on Anti-Corruption Index
>>Twelve African countries are ranked among the 75 least corrupt nations in the world, according to the 2012 index published Wednesday by Transparency International. Published annually, the Corruption Perceptions Index draws upon a range of data sources to determine how corrupt
>> countries' public sectors are perceived to be. On a scale from 100 (highly clean) to 0 (highly corrupt), two-thirds of all countries scored below 50. This year's survey includes 176 countries, down from 182 in 2011. allAfrica
>>
>>
>>
>>
>>
>>--
>>
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>
>>
>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>
>>
>>CALL : 0786 806028
>>
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>>Disclaimer:
>>
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>--
>>
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>
>>
>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>
>>
>>CALL : 0786 806028
>>
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>>Disclaimer:
>>
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment