Wednesday 12 December 2012

Re: [wanabidii] CHADEMA inakufa? – Ripoti maalumu – Gazeti la Jamhuri - Mwanzo

hata mheshimiwa slaa,mboe na viongoz wote wakijitoa chadema,bado haiwezi kufa.Chadema ina wanachama na wafuasi muhimu kuliko hao waliopo mstari wa mbele for now



------------------------------
On Wed, Dec 12, 2012 19:15 EET ELISA MUHINGO wrote:

>Mbona ktk maelezo yako sioni kifo cha CDM? Huu si mgogoro tu wa kuisha!
>
>----------
>Sent from my Nokia Phone
>
>------Original message------
>From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Date: Wednesday, December 12, 2012 1:45:22 PM GMT+0100
>Subject: [wanabidii] CHADEMA inakufa? – Ripoti maalumu – Gazeti la Jamhuri - Mwanzo
>
>Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ni
>mbaya na tayari kumeanza kuwapo hofu ya chama hicho kikuu cha upinzani hapa
>nchini, kufa.
>
>Hofu hiyo inayokana, pamoja na mambo mengine, kuibuka kwa makundi
>yanayohasimiana, yanayoundwa na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama
>hicho.
>
>Katika fukuto hilo, JAMHURI imefanikiwa kupata habari za uhakika kutoka kwa
>baadhi ya wanachama na viongozi, zinazohusu kuwapo mkakati madhubuti wa
>kuwafukuza baadhi ya viongozi wa chama hicho.
>
>Duru za uchunguzi zinaonesha kuwa walengwa wakuu kwenye mpango huo ni
>pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Kabwe Zitto, na Mbunge wa Maswa
>Magharibi, John Shibuda. Pamoja nao, walengwa wengine ni wafuasi wa
>wanasiasa hao.
>
>Moja ya sababu zinazotajwa kuchochea au kuibua makundi makuu matatu ndani
>ya Chadema, ni mbio za kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
>mwaka 2015. Makundi yanayotajwa, na ambayo yameanza kujitokeza hadharani
>yamejiegemeza kwa viongozi watatu maarufu – Zitto, Mwenyekiti wa Chadema
>Freeman Mbowe, na Katibu Mkuu Dk. Wilbrod Slaa.
>
>Zitto anatajwa kama mmoja wa vinara wa migogoro ndani ya Chadema, akidaiwa
>kutumia umaarufu wake kama kinga ya kufanya lolote analotaka akiamini kuwa
>"Chadema bila Zitto, haipo".
>
>Pia urafiki wake wa karibu na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, na
>viongozi wengine waandamizi wa CCM umekuwa ukiwatia shaka baadhi ya
>wanachama, wafuasi na viongozi wa Chadema.
>
>Tayari Zitto ameshatangaza hadharani nia yake ya kuiwakilisha Chadema
>kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka 2015, na kwa sasa anaendesha kampeni
>ya umri wa wagombea urais kupunguzwa na ikiwezekana iwe miaka 35. Mwaka
>2015, Zitto atakuwa anatimiza umri wa miaka 39.
>
>Hii si mara ya kwanza kuibuka kwa makundi ndani ya Chadema, kwani miaka
>kadhaa iliyopita Zitto na Mbowe walisuguana kutokana na uamuzi wa Zitto wa
>kutangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa. Mzozo huo
>ulimalizwa kwa busara ya wazee na wanachama waandamizi ndani ya chama
>hicho, kwa Zitto kukubali kuondoa jina lake mbele ya waandishi wa habari.
>
>http://wotepamoja.com/archives/10863#.UMh8RkX9S7I.gmail
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment