Thursday 13 December 2012

Re: Re: [wanabidii] Braking and Shocking News: Wanasayansi wawili waleta kizaazaa Mjini Bukoba Usiku huu

Jamani huu ni utapeli tu, hao wote lao moja, kuna mzee mmoja singida mtoto wake alitoroka nyumbani na kwenda dar kutafuta riziki baada ya maisha kuwa magumu, huku mzazi akaenda kwa mganga akaambiwa mwanae kachukuliwa msukule na apeleke ngombe nne wamrudishe mwanae. Alivyopeleka jamaa wakafanya manjonjo yao wakamletea ndondocha na kumwambia yule ndo mwanae alishachezewa akili. Baada ya miaka saba mwanae alirudi nyumbani akiwa na gari lake na zawadi kibao za wazazi kukuta babake anaishi na ndondocha.
 
Hawa matapeli wanatabia ya kuhamahama kutoka eneo moja hadi jingine na kuibia watu kwa mtindo huo wa kuzindika kaya na kufufua misukule, sio hilo tu wapo wanaojifanya walokole nao wanamchezo huo pia.
 
Zamani huku kwetu walikuwepo "wagindu" au kwa jina jingine "wasambo" walikuwa wakitengeneza dawa aina ya mabonge au chamkwale dawa hizi ni kama heroin vile, wanakuja usiku na kupulizia nyumba wote mnazirai, wanachinja mbuzi wanapika wanakula na wakimaliza wanawachanja chale na kuwapaka masizi. Mkiamka asubuhi lazima mzee aende kwa mganga kuzindika kaya tu, hapo mzee ataambiwa apeleke jogoo mweupe, kondoo mwekundu na ngombe jike mweusi, tayari mganga maisha yanasonga mbele.

2012/12/13 Joachim Mushi <mushijoa@gmail.com>
Tatizo hawa wanasayansi wa haina hii huwa hawasemi kabisa. Mambo yao ni kimya kimya, yani kazi kweli kweli..!

2012/12/12 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
ABRAKADABRA HIZI

2012/12/12 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Hebu tujiulize jingine: huyu aliyewaelekeza kwa mwalimu. Haiwezekani akaw mshirika wa mwalimu kaamua kutoa siri na kujifanya mpiga ramli? Sipendi kumuamini bila kumchokonoa.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, December 12, 2012 11:52:08 AM UTC
Subject: Re: [wanabidii] Braking and Shocking News: Wanasayansi wawili waleta kizaazaa Mjini Bukoba Usiku huu

Tatizo wengine wamefundishwa uchawi wakiwa wadogo sana. Wakaendelea mpaka walipofika utu uzima wakiwa wasomi kama huyo mwalimu. Kama kuleta maendeleo au kuendelea sidhani kama kitu hicho kinachoua na kutunza wafu kina lolote la kuchangia. Na akikutwa huyo hana maendeleo yoyote bali huo uchawi tu wa kudhuru watu. Wapo wengine wanaua watoto wakike na kufumwa nao majumbani na waganga kama hiyo ya kamachumu wakiwatumia kama ndondocha lakini kimapenzi

Wengine hupoteza watu wa kuwafuga na kuwatumia ktk shughuli za wizi, kilimo na nyinginezo. Documentaries za true stories zimeandika mambo haya. Ili mradi shetani aliyewatawala hao wachawi  na anawatuma kufanya ya ajabu kama hayo ya bukoba. Yametokea pengi na Kibaha yule mswalihina  aliyekutwa na fuvu la mtu katika ndoo ya mafuta ya kula ambayo akipimia watu kwa matumizi ya kula. aliposikia polisi wanasachi nyumba na walichokikuta ktk duka lake alitokomea moja kwa moja kutoka alikokuwa akiswali asirudi nyumbani mke ndio akabebwa. Tunamshukuru pia sana Mr Shigongo kwa kutuanzishia maandishi katika magazeti halafu vitabu vyake 'Mama yangu anakula nyama za watu; Mchungaji Stephano etc vimetufumbua macho' na hadithi za kweli nyingi zimejitokeza magazetini siku hizi na kuandikwa vitabu mfano 'nilivyofundishwa uchawi na mke wangu, nilivyomuua mume wangu ili nipate mali, niliyoyaona mochwari etc'. Ama kweli duniani kuna watu. Lakini yote haya ni bure hayazidi
 nguvu ya Mungu, nao watakufa na hukumu yao ipo.

Hii si Sayansi ya maana ya kuisifia. Imani za kishirikina zinafanya hata migodini artisanal miners wasijiunge katika vikampuni vidongo wakashirikiana, kupata mkopo, kuajiri wataalamu wachimbe kisasa au wauze eneo wawe wabia kampuni ichimbee, iajiri watoto wao na iwalipe mafao ya mgodi na ya ubia. Kila mtu ana fuvu lake, kihirizi na vyombo vingine vya binadamu hawezi kujumuika na wengine. Matokeo, tupo pale pale daima maendeleo duni wakati resources twazichakachua na kuua binadamu, kuwakata viungo etc. Imani zinazidi kukua na matangazo yake yanabebwa na vyombo vya habari na Halmashauri itakayo kodi. Gazeti, radio zinatangaga uganga. Mabango barabarani pia. Maneno kama-kupasi mtihani, kupata ajira, bosi akupende akusikilize; kurudia mara nene tano mchezo wa uchafu, kunenepesha.... Hivi kweli tunajali effect yake kitaifa ktk jamii? Jee, tunajali maadili ya uafrika na ya nchi yetu? Maana tupo kimya na kuwepo na matangazo haya gazetini, mabango na waganga
 kuitwa maprofesa, doctor. Tunajali hela tu za ushuru wa tangazo mradi mkono uende tumboni.  Mungu anisamehe ila si vizuri.

--- On Wed, 12/12/12, Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com> wrote:

From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Braking and Shocking News: Wanasayansi wawili waleta kizaazaa Mjini Bukoba Usiku huu
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 12 December, 2012, 6:30

Kama sayansi hii ipo kwa nini wasiitumie kwa shughuli za kuleta maendeleo? Haya ni mambo ya Kiibilisi ndiyo maana hayaleti tija bali mfarakano katika jamii.

        From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Sent: Wednesday, December 12, 2012 1:16 AM
 Subject: Re: [wanabidii] Braking and Shocking News: Wanasayansi
 wawili waleta kizaazaa Mjini Bukoba Usiku huu

Kyemba dooka. Elisa utatupa updates.
LL
Sent from Samsung Tab 10.1
On Dec 11, 2012 11:45 PM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:

Mwenyewe niko mitaa hiyo hiyo nimetua leo kwa shughuli za kikazi nimeyasikia mabomu hayo nikaingiwa na woga mkubwa kwa kujiuliza maswali mengi na nikaamua kulala nikisubiri kufuatilia kesho. Ama kweli dunia ina mengi kumbe wapo watanzania wenye sayansi za hatari. Tuombe Mungu huyo teachera asiwe ndo masomo anayowafundisha watoto wetu

2012/12/11 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>

Hivi sasa 'mjadala' unaendelea kati ya raia wenye furaha na Polisi wa kutuliza ghasia. Raia kwa kutumia mawe na nondo na kila wanachoweza kubeba wanawabembeleza Polisi wamwachie Mwalimu mwanasayansi ili wampe tuzo kwa kazi nzuri. Polisi nao kwa kutumia mabomu ya kuchangamsha macho yakatoa maji wanawasihi wananchi waende nyumbani ili wakachunguze sayansi hii ni ya aina gani.

Kisa kiko hivi:
Yapata mda mrefu (huenda mwaka sijadhibitisha) watoto wawili huko Kamachumu, Muleba walikufa katika mazingira ya kutatanisha.
Wazazi wa watoto hao hawakuridhika na kifo hicho. Wakamwendea mwanasayansi mmoja. Alipoiingia kwenye maabala yake akagundua kuwa watoto hao hawakufa bali wanaishi. Akawaelekeza kuwa waje Bukoba mjini huko National Housing kuna Mwalimu mmoja anafundisha shule ya Msingi Kashai. Wakifanikiwa kuingia ndani watawakuta watoto wao.
 
Leo hii wazazi hao wakaja Polisi wakapata msaada wa kuwasindikiza hadi kwa huyo Mwalimu (jina lake silijui na hata ningelijua ningelihifadhi).
 
Ujumbe huo ulipofika kwa mwalimu huyo ukawakuta watoto hao wakiwa wameishageuzwa kuwa mazetete. Lakini pia inasemekana wamekutwa na wengine jumla wanne.
Katika harakati za kumbeba mwalimu huyo na wateja wake hao sita habari zikavuja. Wananchi kwa hisia ambazo kila mmoja anaweza kuzihisi wakaamua kumaliza mambo hapohapo kwa kumtuza huyo mwalimu. Polisi waliosindikiza wazazi wao kwa kuzidiwa na nguvu wakaomba msaada. FFU wakasogea. Ndio mjadala ukaanza kati ya raia hao wenye hamasa kutaka kumtuza mwalimu huyo mwanasayansi ya kuweza kukutwa na watu waliozikwa zamani lakini yeye anao wakiwa hai ila hawana tena akili walizokuwa nazo wakati 'wanakufa', na polisi wanaoona si wajibu wa raia kutuza mwanasayansi huyo.
 
Wananchi kwa kutumia hamasa waliyonayo, wakisaidiwa na mawe marungu nk wanajadiliana na Polisi wanaotumia mabomu ya machozi kuwabembeleza wanachi hao waende wakalale.
Naambiwa mama huyo kishafikishwa kituoni na wateja wake sita. Karibu kila dakika kumi tunasikia bomu moja kumaanisha wananchi bado wana imani kukubaliana na Poilsi kumpata huyo mama mwanaasayansi. Lakini pia limesikika gari la zimamoto likipiga kingora lipishwe kuelekea kwenye makazi ya huyo mwanamama mwalimu. Huenda wananchi wameamua ajengewe nyumba nyingine. Tutawataarifu habari zaidi zikipatikana.
 
Je hakuna haja ya kuwakutanisha wanasayansi hao wawili kila mmoja akatweleza utaalamu wake:
Huyu akatwambia jinsi maabala yake ilivyogundua watoto walivyo kwa mwalimu huko Bukoba. Na Mwalimu atweleza alifanyaje kukaa na watu ambao wengine walishuhudiwa wakizikwa maana walikufa?!
 
--

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com

nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com

Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM

DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028

Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment