Wednesday, 31 October 2012

Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank

Muganda, EmanuelNakushauri kuwa makini katika ubebaji wa mizigo kama hii, kuna siku utabeba gunia limejaa misumari halafu itakuumiza mwenyewe. Waachie wenyewe kama wanao uwezo wa kubeba mizigo yao kama hii wabebe. This is rubbish. K.E.M.S. From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Wednesday, 31 October 2012, 22:41 Subject: Re: [wanabidii]...
Read More :- "Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank"

Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

Mngonge,Tukio la Mbagala liliandikwa baada ya vurugu za wahuni kuchoma makanisa na kuiba vitu.  Haya yalitokea kama baada ya siku tano toka mtoto akojolee kurani. Tukio la kukojolea kurani halikuandikwa kwa sababu halikuwa habari au halikufahamika kwa wanahabari. Nadhani hivi ndivyo ilikuwa kwa tukio la Pemba. Lingefuatiwa na vurugu lingepata nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari. From: mngonge <mngonge@gmail.com>...
Read More :- "Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA"

Re: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!

Tony,Nadhani na huu ni ujinga mtupu??!! From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Thursday, November 1, 2012 7:09 AM Subject: Re: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR! Said,Tatizo ni ukaidi dhidi ya waTz. Badala ya kulalama hapa waambieni wafuasi wenu watii amri na wafuate taratibu muafaka za kuvunja muungano na sio kwa maandamano na kuchoma makanisa yetu! Huyo...
Read More :- "Re: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!"

Re: [wanabidii] Sweden runs out of Garbage

Jagem,I really appreciate you last sentences; If Kenyans can get this, then, we can do it.The rest are challenges we must stand to, and the good thing is, Chapter 4 of our Constitution and the Bible are on our side.Oto--- On Wed, 10/31/12, Jagem K'Onyiego <jairuschurch@yahoo.com> wrote:From: Jagem K'Onyiego <jairuschurch@yahoo.com>Subject:...
Read More :- "Re: [wanabidii] Sweden runs out of Garbage"

Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank

Upumbavu kama huu siyo wa kuleta humu. Aliyeandika hii orodha ni muhuni maana hata kifupi cha hayo mashirika ya Kijasusi anayodai eti yamesaidia hakiandikiwi hivyo.Lakini siyo hilo tu, nadhani huyu jamaa kadandia stori kama ilivyo kawaida ya wabongo. Nadhani posting kama hizi ziwe zinahakikiwa kabla ya kuletwa humu. From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, October 31,...
Read More :- "Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank"

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] TUCHEKE PAMOJA ASUBUHI HII

Ha ha ha ha , unavituko kweli wewe. 2012/11/1 Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com> Bush Men: Kaja Dar na akafikia kwa ndugu yake Ilala,akiwa pale kwa muda wa week moja akawa anasikia saanna ndugu yake kila akimwita mke wake anasema Darling embu njoo mara moja. Bush Men: Akili ika mclick ahaa kumbee!!!,aka kaa kimyaa bila kusema chochote kumbe anawaza mambo yake,baada ya wiki akarudi kijijini morogoro. Guess alifanyaje???...
Read More :- "[wanabidii] Re: [Mabadiliko] TUCHEKE PAMOJA ASUBUHI HII"

[wanabidii] Nigerian sex trafficker used ‘juju’ to terrorise young orphans he raped after smuggling them into UK - Mwanzo

A Nigerian smuggler who used witchcraft rituals to force children to work as sex slaves was jailed for 20 years on October 28th Osezua Osolase, 42, tricked poverty-stricken Nigerian orphans into travelling to the UK with the promise of a better life. But the young victims were raped, sexually abused and subjected to voodoo-style rituals by a child trafficking ring.http://wotepamoja.com/archives/9917#.UJIK6rIYjKc.gmail ...
Read More :- "[wanabidii] Nigerian sex trafficker used ‘juju’ to terrorise young orphans he raped after smuggling them into UK - Mwanzo"

Re: [wanabidii] Mhando “OUT” Tanesco - Mwanzo

Ewq0cuSent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Magiri paul <kiganyi@gmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Thu, 1 Nov 2012 06:22:04 +0100To: <wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: [wanabidii] Mhando "OUT" Tanesco - MwanzoTaarifa iliyotolewa na bodi ya Wakurugenzi Tanesco imesema kutokana na tuhuma mbalimbali za ukiukwaji wa taratibu...
Read More :- "Re: [wanabidii] Mhando “OUT” Tanesco - Mwanzo"

[wanabidii] TUCHEKE PAMOJA ASUBUHI HII

Bush Men: Kaja Dar na akafikia kwa ndugu yake Ilala,akiwa pale kwa muda wa week moja akawa anasikia saanna ndugu yake kila akimwita mke wake anasema Darling embu njoo mara moja. Bush Men: Akili ika mclick ahaa kumbee!!!,aka kaa kimyaa bila kusema chochote kumbe anawaza mambo yake,baada ya wiki akarudi kijijini morogoro. Guess alifanyaje??? Nayeye akaiga mtindo ule ule.Kwa vile Dar ndugu yake alikua anamwita mke wake Daaarling....Yeye...
Read More :- "[wanabidii] TUCHEKE PAMOJA ASUBUHI HII"

[wanabidii] Mhando “OUT” Tanesco - Mwanzo

Taarifa iliyotolewa na bodi ya Wakurugenzi Tanesco imesema kutokana na tuhuma mbalimbali za ukiukwaji wa taratibu za shirika ikiwemo matumizi mabaya ya mamlaka, julai 16 2012 bodi iliamua kumsimamisha kazi Mkurugenzi mtendaji Mhandisi William Mhando pamoja na maafisa wengine waandamizi ili kupisha uchunguzi huru na wa haki ili kufahamu ukweli wa tuhuma hizo.http://wotepamoja.com/archives/9907#.UJIG4s-Guyc.gmail ...
Read More :- "[wanabidii] Mhando “OUT” Tanesco - Mwanzo"

[wanabidii] GAIA's Response; Sweden runs out of Garbage

Let us here you and your comments. On 10/31/2012 1:27 PM, Monica Wilson wrote: Dear Odhiambo Okecth, Would you please do me the great favor of sharing the following message with the recipients of your last message? I saw a number of email groups copied to which I...
Read More :- "[wanabidii] GAIA's Response; Sweden runs out of Garbage"

[wanabidii] Vichwa Vya Habari Katika Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi - Mwanzo

http://wotepamoja.com/archives/9900#.UJIDCP2J-MA.gmail -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences...
Read More :- "[wanabidii] Vichwa Vya Habari Katika Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi - Mwanzo"

Re: [wanabidii] Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya SSRA waota mbawa (?)

Nawaombeni sasa tuwe na subira wakati mchakato mzima ukifanyiwa kazi, nachukua fursa kutoa shukurani za pekee kwa Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Jaffo, sasa hoja ya Bwana Benjamini Dotto ianze kufanyiwa kazi na tupate kinachoendelea. Uamuzi wa kubatilisha unyanyasaji wa wafanyakazi vijana umepokelewa kwa shangwe nchi nzima. Natoa nasaha kwa serikali sasa iache mambo ya ujanja ujanja ambayo mwisho wa siku yutatuathiri wote. ...
Read More :- "Re: [wanabidii] Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya SSRA waota mbawa (?)"