Sunday 23 September 2012

Re: [wanabidii] Sherehe za Dr. Harrison Mwakyembe za kumshukuru Mungu - Nduli, Ikolo, Kyela

Dr. HK

Nafikiri anfanya jambo jema. Tunamuombea mema siku zote ili aendelee kuwasidia watanzania wenzake.
 
K. E.M.S.

From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 23 September 2012, 7:31
Subject: [wanabidii] Sherehe za Dr. Harrison Mwakyembe za kumshukuru Mungu - Nduli, Ikolo, Kyela

Tuko hapa nduli kanisani, Ikolo, Kyela kumuunga mkono Dr. Mwakyembe wakati akimshukuru Mungu kwa kumponya. Ameamua kujenga kanisa na kituo cha chekechea na biashara za akinamama kama sadaka yake kwa Mungu. Sisi tumekuja kumsindikiza. Bravo Komredi! Walikuwpo watu wngi akiwemo S Sitta, Tizeba, Mulugo, Maige, Kilufi, Zambi, Mtutura, Mwambalaswa, Mwandosya, Ngoye, Lembeli etc bila kuwasahau Ndg. Mboka - kijana aliyemuokota Dr. Mwakyembe kwenye ajali ya Ihemi Iringa, inayosadikiwa kuwa ilelenga kuondoa uhai wake, pia Ndg Paul Makonda, Rais wa TAHLISO na ambaye anagombea Umakamu Mwenyekiti wa UVCCM, Ndg. Eng Chambo
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment