Friday 28 September 2012

[wanabidii] Nani anafahamu Matokeo Ya Umeya Manispaa ya ILemela

Habari wadau kwa mujibu wa jamii forum Mabula amekuwa Meya wa jiji la Mwanza kwa kura 11-8 za chichibera.

Nani anafahamu matokeo ya Umeya wa Manispaa ya Ilemela? 
Ahsanteni

0 comments:

Post a Comment