Saturday 29 September 2012

Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Bahati nzuri Zito amejua kuwa anachokifanya ni kurudisha  nyuma harakati za upinzani kushika dola!  Na kama ni hivyo; basi walotangulia kusema kuwa huwa anatumiwa na CCM  yawezekana wakawa wakweli. Zitto subiri usifiwe kwa uloyafanya Jimboni na Bungeni; ukitangulia kujisifu sifa zako hazitaonekana machoni pa wengi kwani itakuwa kama ulikuwa ukifanya vile ili ufanikishe jambo fulani.
 
Mt. B;
Bukoba Municipal,
Tanzania - East Africa.


From: Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 28, 2012 3:12 PM
Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Kama anatuuliza kijanja ili tumwambie kama anafaa au hafai kuwa rais,
jibu hafai.

Kulitumikia taifa hili sio lazima uwe mbunge au rais. Hata ukiwa
balozi wa nyumba kumikumi cheo ambacho mh. Zitto hajawahi kukitumikia,
kwanini asiende kugombea huko? Anatafuta nafasi yenye mahela tuuu!

Mwisho, mkubwa wangu Zitto atambue kuwa hata sisi tusio katika uongozi
wowote katika chama chochote tunalijenga taifa hili ambalo
halibadiliki, kama yeye atakavyo kuacha ubunge ili awe rais kwa
mabadiliko ya taifa; sisi tufanyeje ili tulete mabadiliko kama
ayatakayo?

On 9/28/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
> "Nimefanya kazi kubwa katika kazi yangu ya ubunge, nimeleta mabadiliko
> mengi kuanzia bungeni mpaka jimboni. Nadhani inatosha na hata nikiongezewa
> miaka mingine sitaweza kufanya yale yaliyonishinda katika kipindi cha miaka
> kumi. "Kama Mungu ataniweka mpaka mwaka 2015, sitagombea ubunge tena kwa
> sababu kazi niliyofanya inatosha. Natangaza rasmi kuwa nitagombea urais
> kupitia chama changu cha Chadema, bila kusababisha msuguano wowote na
> sitaki kuingia katika historia ya kurudisha nyuma harakati za upinzani
> kushika dola," alisema Zitto.
> http://wotepamoja.com/archives/7516#.UGUpr1ZTOfU.gmail
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment