Sunday 30 September 2012

Re: [wanabidii] Sina Mpango Wa Kugombea Urais – January Makamba@ Makutano Show - Mwanzo

Kiusalama zaidi na kama tunaitakia nchi hii mema kama kuungana ni CHADEMA , CUF , NCCR MAGEUZI kwa Pamoja na ADC kidogo ila kinyume na hapo ni nchi kukatika vipande , Sasa watu watangulize maslahi ya nchi sio matumbo yao na umaarufu binafsi .

2012/9/30 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Joti naye kasema hana mpango wa kugombea uraisi! Uraisi sasa umekuwa kama mnavu.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: Sun, 30 Sep 2012 11:35:11 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] Sina Mpango Wa Kugombea Urais – January Makamba@ Makutano Show - Mwanzo

Sasa January ndiye anayefaa kuugombea uRais. Anaujua. Ni kweli wakati ukifika anaweza akagombea na akaungwa mkono na watu 'wote'

--- On Sat, 9/29/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Sina Mpango Wa Kugombea Urais – January Makamba@ Makutano Show - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, September 29, 2012, 11:15 PM

Mbunge wa Bumbuli na  Naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia Mhe January Makamba amesema hana mpango wa kugombea Urais. Makamba aliyasema hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha Makutano kinachoendeshwa na Fina Mango. Alisema anaamini nafasi ya urais inahitaji mtu ambaye amejiandaa Kisaikolojia, Kisiasa na Kifikra na kumalizia kwa kusema kuwa Urais sio uamuzi wa mtu mmoja kwa sababu nchi haiendeshwi na mtu mmoja na inahitaji watu ambao wanashauriana, kuandaa dira ya pamoja na kupeleka ujumbe wa kuwaunganisha Watanzania.
http://wotepamoja.com/archives/7658#.UGfjbs08f84.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment