Sunday 30 September 2012

Re: [wanabidii] Re: Sina Mpango Wa Kugombea Urais – January Makamba@ Makutano Show - Mwanzo

Yona,
Katika upinzani unashauri waungane nani na nani? Cuf wameshaungana na CCM. Sasa unataka Cheyo aungane na nani?
Mimi ningependa kuona Chadema wanaungana na NCCR

2012/9/30 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sijamtaja Lowassa ingawa naye ni moja ya wanachama hai wa CCM waliokitumikia chama hicho kwa muda mrefu na hata kuwajibika kwa kutuhumiwa pale alipojiuzuru uwaziri mkuu  .

Siwezi kuwataja kwa majina maana naweza kuonekana napendelea lakini chama hicho kina makada wengi wa aina mbalimbali mpaka sasa kuliko vyama vingine vyote , kufikia rekodi hiyo vyama vya upinzani nchini vinatakiwa kuungana angalau kuleta balance ya aina fulani .

2012/9/30 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>ot

Yona,
Yaani unamsema Lowassa? Hafai.
em

2012/9/30 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Kama angetangaza nie ningemshangaa sana , huyu kwa umri wake na ujuzi
wake bado ana njia ndefu ya kuijenga CCM pamoja na yeye mwenyewe , kwa
sasa hivi CCM waachiwe wanayoiweza ngoma ya urais kwa CCM ambao
wameshakitumikia chama kwa ufanisi mkubwa hata kama kwa nje
wanaonekana mafisadi au watu wasiotakiwa katika chama hicho na taifa
kwa ujumla lakini mchango wao unaonekana na hautofutika kiurahisi .

On Sep 30, 1:51 pm, Willy Makundi <wrlmaku...@aol.com> wrote:
> Well said Januari. Kwetu tunasema: "Kipfue kyekyenanza pfo" roughly paraphrased - "Togwa halilevyi"
>
> mchilyi7.0
>
>
>
>
>
>
>
> -----Original Message-----
> From: Magiri paul <kiga...@gmail.com>
> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Sun, Sep 30, 2012 9:15 am
> Subject: [wanabidii] Sina Mpango Wa Kugombea Urais – January Makamba@ Makutano Show - Mwanzo
>
> Mbunge wa Bumbuli na  Naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia Mhe January Makamba amesema hana mpango wa kugombea Urais. Makamba aliyasema hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha Makutano kinachoendeshwa na Fina Mango. Alisema anaamini nafasi ya urais inahitaji mtu ambaye amejiandaa Kisaikolojia, Kisiasa na Kifikra na kumalizia kwa kusema kuwa Urais sio uamuzi wa mtu mmoja kwa sababu nchi haiendeshwi na mtu mmoja na inahitaji watu ambao wanashauriana, kuandaa dira ya pamoja na kupeleka ujumbe wa kuwaunganisha Watanzania.http://wotepamoja.com/archives/7658#.UGfjbs08f84.gmail
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment