Sunday 23 September 2012

[wanabidii] VING'AMUZI VYA ITV NA STAR TV.

Nakumbuka kulikuwa na mpango wa kuanzisha kwa pamoja king'amuzi cha channel za itv na star tv. Mwenye taarifa naomba anifahamishe mpango huo umefikia wapi maana jamaa zetu zetu startimes waliziweka channel hizo na sasa wamezing'oa kabisa.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment