Thursday 9 August 2012

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] ICT Management Research

Hola nina mapendekezo machache kuhusu suala lako .

1 - Mitandao ya Kijamii ( Social Media )
Suala hili bado ni geni haswa katika masuala ya kiuongozi katika mashirika , taasisi na kampuni kadhaa nchini na hata afrika nzima kwa ujumla haswa chini ya jangwa la sahara , Kampuni nyingi au taasisi hazina miongozo kwa ajili ya wafanyakazi na wateja wao inayogusia mitandao ya kijamii kwa ujumla .

Tunaona watumiaji wengi hawana miongozo kutoka kwenye sehemu zao za kazi , lakini vile vile sheria za mawasiliano za tanzania hazijagusia suala hili na kama watumiaji wanataka kuwa na miongozo au sheria bora ni vizuri kwanza nchi iwe na sheria na miongozo iliyokamilika na kueleweka ili iweze kuwa adapted na mashirika , taasisi na kampuni binafsi .

Miongozo ni nini ?
Ni maelekezo fulani yanayotulewa kwa wafanyakazi au wadau wa kampuni jinsi wanavyoshiriki kwenye mitandao hiyo huku kukiwa na maslahi kwenye kampuni au mashirika yao nyuma yao .

Hili ni suala moja tu ambalo unaweza kujadili na kuandika mambo mengi sana 
On Thu, Aug 9, 2012 at 1:24 AM, Elly R. <be_kind_rewind08@yahoo.com> wrote:
 

Hi! Jonas and everyone
Thanks for your response and great inputs, it has opened up my view on the subject. Back to your question
Yea, its academic research but directly linked to industrial practice, so no separation line between the two. 
Can you outline the issues which can be discussed under Regulations, Guidelines and Policies as you have outlined
Thanks Much

Elly R




From: "jonassism@yahoo.com" <jonassism@yahoo.com>
To: "wanazuoni@yahoogroups.com" <wanazuoni@yahoogroups.com>; "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Wednesday, August 8, 2012 8:17 PM
Subject: RE: [Wanazuoni] ICT Management Research

 
Dear Elly,
Please can u specify more.
Are you to conduct this research for your academic studies or you want to add values in new technology trends(i.e not for academic purpose)?
ICT is a wide area so u need to narrow down either of the following;
-Systems Development(i.e coding.programming,designing,engineering)
-Regulations,Guidelines,Policies which are the backbone governing ICT industry
-Security i.e systems vulnerabilities,assurances,CIA,Auditing and compliances
-Platform researching were you can base your research on new trends such as smartphone android,symbion iOS etc or windows platform which is also a wide area.
Please we can link up in case you are to do non academic research.
Thanks
Jonas Mwende
-----Original Messa(ge-----
From: Elly R.
Sent: 08/08/2012, 18:11
To: wanazuoni@yahoogroups.com
Subject: [Wanazuoni] ICT Management Research

Hi Buddies
I am looking for a research topic in ICT Management, Please help by identifying any issues regarding ICT Management which you think needs quite extensive research.
The issues should be problem based and of relevance in terms of bringing positive impacts in the community, organization or government at the end of the study.

Will be looking forward for your imputs

Best regards

Elly R 



__._,_.___
.

__,_._,___

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment