Thursday 9 August 2012

RE: [wanabidii] Fw: Fwd: Fw: That was 55 years ago !! It is happening now !!

Nasema karibu GDSS mkereketwa yeyote  ukaitoe mada hii katika semina moja ya jamii hapa kwetu TGNP uwanjani ili tuelimike sote kwa pamoja.

GDSS ni semina za wazi zinazoendeshwa na TGNP kila Juma Tano ya wiki kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa 11 jioni. Hapa jamii kwa ujumla wake, wanawake wanaume, vijana, wazee, walemavu, watu waishio na VVU, bila kujali umri, imani zao za kidini na kisiasa , hukutana kwa ajili ya majadiliano ya mada ya siku hiyo, kuibua masuala mbadalana na namna ya ufuatiliaji wake, hubadilishana uzoefu na taarifa, hujengeana uwezo na kujenga nguvu za pamoja.

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Kult
Sent: Monday, July 30, 2012 1:46 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Fwd: Fw: That was 55 years ago !! It is happening now !!

DONT WANT U TO FOFOWARD THIS MAIL TIO MYID

Kult's World

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 24, 2012 11:07 AM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Fwd: Fw: That was 55 years ago !! It is happening now !!

UKOLONI UNAPIGA HODI HUOOOOO!

From: Solomon Msomba <msomba2000@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 24 May 2012, 10:17
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Fwd: Fw: That was 55 years ago !! It is happening now !!

Wanabidii,

Leo asubuhi nimekuwa nikiangalia Jambo Tanzania TBC. Nimesikia G8 wanataka kuwafadhiri large Agro-based Companies kuja Africa kuanzisha mashamba makubwa na kupewa mikopo itakayowezesha haya Makampuni kuwa na nyenzo zote za kilimo cha kisasa. Baada ya hapo watu watakaokuwa wanayazunguka makampuni hayo watakuwa na mashamba yao watakayolimiwa na kuhudumiwa kwa gharama ndogo. Mimi najiuliza hao G8 kwa nini wasimkopeshe mkulima wa kati kwa riba nafuu ambaye ni mwafrika/mtanzania baadala yake akopeshwe mwamerika au mfaransa? Baada ya kutafakari nimeona haya kweli ndiyo Mwalimu aliyasema 1958. Na kwa serikali yetu ya sasa upo uwezekano mkubwa kupokea hili wazo la mtu kama OBAMA kama furushi bila kutaka kujua kilichomo ndani. Hapa hamna tofauti watazania kupewa bomu kwenye mfuko halafu tusijadili kilichomo ndani. Jamani tujadili hii serikali ya sasa haina cha kupoteza endapo tutakubaliana na G8. Cameron na OBAMA wamesema ushoga ruksa, sisi tunakataa. Lakini hii ya kukubali wazo la kilimo ni sawa kukubali Ushoga. Tena la kilimo ni baya zaidi kwa sababu litaishia kwenye kifo cha watanzania kama Mwalimu alivyosema 1958. Naomba watanzania badhi ya viongozi wamekaa kwa muda mrefu kwenye madaraka wamechoka kufikiri. Hawa ni binadamu wamechoka!!!. Tunahitaji viongozi wengine wanaoweza kufikiri kwa undani kwa ajili ya watanzania. Tafakari.

--- On Tue, 5/22/12, Balama Chelestino <balamapc@yahoo.co.uk> wrote:

From: Balama Chelestino <balamapc@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Fwd: Fw: That was 55 years ago !! It is happening now !!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 22, 2012, 10:35 AM

mfano mzuri upo afrika kusini, wenyeji wamezungukwa na maestates ya makabulu, idadi ya watu inaongezeka, ardhi haitoshi, wengi wa vijana ni vibaka mjini.

ni kuwa makini na hili.

celestine.

From: frank patrick materu <materufrank@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 22 May 2012, 19:13
Subject: [wanabidii] Fw: Fwd: Fw: That was 55 years ago !! It is happening now !!

----- Forwarded Message -----
From: Rose Kejo <r_kejo@yahoo.com>
To: Abraham Manyamaki <abraham.hebel@yahoo.com>; Abdallah Kinenekejo <kinenekejoa@yahoo.com>; Agness Mwanjisi <aggiesgm@yahoo.co.uk>; Alen <alen_kasese@yahoo.com>; Ambilike <ambilike@yahoo.com>; Anna Mapunda <annetawata@yahoo.com>; annagidion@yahoo.com; Anne <annemlimuka@yahoo.com>; Anney <anneysekirasa@yahoo.com>; Beatha <nyahiti@yahoo.co.uk>; Boniface Kasiga <bnkasiga@africaonline.co.tz>; Chris Severe <chrisevere@yahoo.com>; D Mwilawi <drmwilawi@yahoo.com>; Deborah <demwango@yahoo.com>; Diana Mushi <diana_mushi@hotmail.com>; Dominick Mwakangale <dhmwakangale@yahoo.com>; Doreen <e4d2001@yahoo.com>; Eddy <edimundamgalike@yahoo.com>; Eliud Kaitila <ekaitila@gmail.com>; Fatuma <fatimmy2003@yahoo.co.uk>; Florence <flosai@yahoo.com>; Grace Kasongwa <kkusheli@yahoo.com>; Hans <kejohans@yahoo.com>; Hellen <hellenalya2@hotmail.com>; Ivan Dr <evance.t@hotmail.com>; Joel Kejo <jkinenekejo@tra.go.tz>; Josephat Gwajima <jgwajima@yahoo.com>; Judy <jmlaki@yahoo.com>; Kakwezi <ishmaelkakwezi@yahoo.com>; Kau <kaundimeiddy@yahoo.com>; kinyaiya2@yahoo.com; Kwaninijamani <kwaninijamani@yahoo.com>; Kwayakuu <kwayakuu@yahoogroups.com>; Lina Tom <leenalinda2002@yahoo.com>; Lucy <minjalucy@yahoo.com>; Lydia <lydiandibalema@hotmail.com>; Mackrina <ndesarakya@yahoo.com>; Makoye <cmakoye@hotmail.com>; Mary Kejo <maria_kejo@hotmail.com>; Massawe <maona57@yahoo.com>; materufrank@yahoo.com; Meck <m_mdaku@yahoo.com>; Mercy <mecfranc2002@yahoo.com>; Miriam Jerry Solomon <miriamj.solomon@yahoo.com>; Mode <modeymichael@yahoo.com>; Monica <m_ano2001@yahoo.com>; Nyamajeje <wnyamajeje@yahoo.com>; Pastor Francis <useba2000@yahoo.com>; Pastor Max <machumumax@yahoo.com>; Pastor Mwangasa <revmwangasa@hotmail.com>; Remify <remify_jimmy@yahoo.co.uk>; Rita Focus <rittafocus@yahoo.com>; Rita <ritadominic@yahoo.com>; Sabuni <shelukindosabuni@yahoo.com>; Sais <kyejosais@hotmail.com>; Simon A <smbekenga@yahoo.co.uk>; Stella Fumbuka <fkstella@yahoo.com>; Thecla <dikeben2000@yahoo.com>; Timo <defytim@gmail.com>; Tukeli <tukelimy@yahoo.com>; Valintine Tesha <vgtesha@gmail.com>; Wily Ngakwila <wngakwila@yahoo.com>; yeestz@yahoo.com
Sent: Tuesday, May 22, 2012 5:18 PM
Subject: Fwd: Fw: That was 55 years ago !! It is happening now !!

--- On Thu, 5/17/12, betty temu <isapeti@gmail.com> wrote:

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment