Sunday 12 August 2012

[wanabidii] Re: Ugonjwa wa Ebola Mwanza

Inasemekana kuna mgonjwa mmoja hospitali ya Seketoure mjini Mwanza aliyepatikana na ugonjwa wa Ebola. Mgonjwa huyo kajengewa taint pembeni kabisa ya hospitali hiyo. Kabla walimrefer bugando na baada ya kubainika alirudishwa seketoure. Wauvuzi wanaogopa kumuhudumia,ni dalili mbaya. Ni vema watu wakapewa taadhari. Leo siku ya tatu ........

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment