Friday 3 August 2012

[wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute

" wananchi wa Mikoa ya Mbeya,Iringa na Ruvuma wasiwe na wasiwasi kwani
Tanzania iko tayari kupambana na uchokozi wowote ule kutoka kwa
Malawi" Samwel Sitta

On Aug 3, 12:42 pm, Sankey Mbillah <acck...@gmail.com> wrote:
> Haya watanzania kazi kwetu tutajua serikali legelege ni ipi?, tumezoea
> serikali yetu kujiridhisha na maongezi yanayoishia bungeni na mafaili
> muhimu kuyafunika ila ya wapinzani (siasa za ndani) kuchupalia, Hapo nyuma
> tumesikia mipaka ya kaskazini inabanwa na nchi jirani haijazungumziwa
> kisawasawa wala kuonyesha usirious kwenye tuhuma hizo, saizi kusini nao
> wanataka waiondoe tanzania kwenye umiliki wa ziwa nyasa sijui watz watakula
> nini. Majirani zetu wameisha ona ubovu wa serikali yetu kuwa haipo makini
> na haifuatilii maswala ya mipaka na rasilimali zake zaidi ya kuongea kwenye
> majukwaa bila vitendo. "(Ikitokea mtu kaanzisha tuzo za viongozi wenye
> mikakati ya majukwaani viongozi wa tanzania watachukua hiyo tuzo kila
> miaka)"
>
>
>
>
>
>
>
> On Thu, Aug 2, 2012 at 6:55 PM, Tracy John <tracykw...@gmail.com> wrote:
> > The Malawi-Tanzania Boundary Dispute Journal Article published in 1973 by
> > Journal of Modern african Studies
>
> > --
> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment