Saturday 18 August 2012

[wanabidii] MSAADA TUTANI.

Wakuu.

Naomba mwanabidii mwenye mawasiliano au wanabidii waliooko mogodi wa
dhahabu wa Buzwagi wanisaidie mawasiliano ya kitengo cha ajira
nimeingia kwenye tovuti sijaiona.

Kuna kazi walizitangaza kwenye Dailynews lakini anuani ya barua pepe
waliyotoa kwa ajili ya kutuma maombi ina mushkeri wa kupokea barua
pepe.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
+255 (0) 713 (784) 24 67 64.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment