Thursday 2 August 2012

[wanabidii] aksanteni kwa majibu

nawashukuru nyote mlionipa majibu, nawatakia kila la kheri huko nyumbani mm niko india

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 2 August 2012, 11:18
Subject: Re: [wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

Pia aliongelea suala la vyeti na nyaraka nyingine ambazo watu wanaombwa kuwasilisha akasema ni kwa sababu ya kuwaweka katika makundi sahihi watu husika kwa mfano wa kiwango fulani cha elimu .

2012/8/1 SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
Tunakushukuru ndg yetu Abdallah Zuberi kwa moyo wa Uzalendo, kwakuwa hivi ni vitambulisho vya walipa kodi walio Tanzania usihangaike, kwakuwa sensa imeweka kipengele cha kuwatambua mlio nje ya nchi ili kuweka utarati wa jinsi mtakavochangia pato la nchi unaombwa nyumbani kwako/kwenu hapa Tanzania uwasisitize watoe taarifa zako pindi wahesabuji watakapopita nyumbani. Hiyo itatosha tu! Kama ni Urai tu passport yako uliosafiria inatosha kabisa.
Novat

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, August 1, 2012 6:27 PM
Subject: [wanabidii] Re: MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

Jaribu kutembelea ubalozi wa tanzania ulio karibu na wewe .

On Aug 1, 6:21 pm, abdallah zuberi <deskman1...@yahoo.co.uk> wrote:
> jamani hebu niulizieni ss tulio nje ya nchi kikazi MUDA MREFU tutapataje hivyo vitambulisho VYA URAIA?
>
> ________________________________
> From: Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
> To: Wanazu...@yahoogroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Wednesday, 1 August 2012, 13:05
> Subject: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA
>
> 2012/7/31 Misha <envmi...@yahoo.com>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> >Ndugu zangu natumaini mu wazima popote pale mlipo.
>
> >Hili zoezi la utoaji vitambulisho, linaruhusu na wageni kupata vitambulisho? Maana  wameambiwa wajiandikishe:
>
> >- Je,  kama wanapata vitambulisho wanakuwa ni kama raia ama?
> >- Je,  vitambulisho watakavyopata vitakuwa ni vya muda kulingana na mikataba yao ya kazi ama?
>
> >Wasalaam
>
> >MM
>
> >__._,_.___
> >Reply to sender | Reply to group | Reply via web post | Start a New Topic Messages in this topic (2)
> >Recent Activity:    * New Members 3
> >Visit Your Group
>
> >Switch to: Text-Only, Daily Digest • Unsubscribe • Terms of Use
> >.
>
> >__,_._,___
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment