Wednesday 29 August 2012

Re: [wanabidii] TUCHEKE PAMOJA MCHANA HUU MWEMA

Chacha, Tutake radhi "roho mbaya"? Mbona mwapata vyakula fresh
madukani kwetu? Hakuwahi lalamika mtu kufanyiwa uhuni uchagani, hakuna
hata baya lilioanzia kwetu!
Wenye roho mbaya huko mnapoua watu (albino n.k.) kupata pesa! :)
Tusiseme ukabila umeanza, ni mwendelezo wa habari kuu.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment