Sunday 12 August 2012

Re: [wanabidii] Tamko la Maaskofu kuhusu Urais na mengineyo

Maaskofu ni kisima cha busara. Imekuchukua muda mrefu sana kukubaliana na maono yao ndugu yangu Yona!

2012/8/12 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Hivi karibuni maaskofu wametoa tamko ambalo haliwezi kupita hivi hivi
bila kujadiliwa haswa baada ya kugusia suala la urais wa jamhuri ya
muungano wa Tanzania .

Katika kipengele hicho wamesema hawaoni haja ya urais kupokezana kati
ya bara na visiwani , kipengele hiki kinaihusu CCM moja kwa moja kwa
sababu ndio imekuwa madarakani kwa kipindi cha miaka 35 sasa na ndio
kumekuwa na fununu za baadhi ya wanachama kutaka zamu hii urais kwenda
Zanzibar kwa sababu muungano .

Nakubaliana na tamko hili la maaskofu haswa kipengele cha urais na
wangeenda mbali zaidi kwa kuhimiza suala hili kujadiliwa na kuwekwa
kwenye katiba yetu mpya ambayo wananchi mbalimbali wa Tanzania
wameanza kutoa maoni yao ili kila mtanzania anayetimiza vigezo awe na
uwezo wa kugombea nafasi hiyo bila kujali ametoka wapi .

Pia suala la urais na ubunge liwekwe wazi kwa vyama vyote vya siasa
ili kila mwananchi haswa wapiga kura wajue mchakato wa kupata wagombea
wa kila chama maana kumekuwa na malalamiko ya rushwa , watu kutishwa
kunakosababisha baadhi yao kukosa nafasi za kuwakilisha wananchi .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment