Sunday 12 August 2012

Re: [wanabidii] Dr Steven Ulimboka Kupokelewa saa 8 Mchana

Kama ni kweli ni vyema madaktari kwa kushirikiana na familia yake
wakaandaa ulinzi wa kutosha na wala hakuna sababu ya watu kukusanyika
kumpokea kwa vile mbaya wake na mzuri hatuwajui. Ni vizuri akapokelewa
na familia yake ikampeleka inakojua ni salama. Hakuna sababu ya
kuaminiana katika hili

2012/8/12 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>:
> Ndugu zangu
>
> Nimepata Taarifa kwamba Dr Steven Ulimboka anarudi leo saa 8 mchana ,
> atatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKN Kuanzia saa hiyo .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment