Saturday 4 August 2012

Re: [wanabidii] RE: Yaani hata makasia hatuwezi?

Wakuu,
Sisi tumechokaaaa kwa kila kitu, ikiwamo kufikiri hata kupata wachezaji wa kutuwakilisha vyema kwenye michezo. Full stop.

Hebu ona, tumechoka kwenye siasa, kwamba kila kiongozi mwanasiasa ni mwizi; mmbunge mwizi, eti anashawishi kuwepo kwa mgawo wa umeme. Ona viongozi  wa juu wezi. Ona makanisani wamejaa wezi. Ona walimu wezi wa mitihani, wakiwafanyia wanafunzi wao wasiojua hata kusoma na kuandika na mwisho wa siku wanaigia sekondari wakiwa hovyo.

Ona wanafunzi wezi. Wanakubali kufanyiwa mitihani au kuandikiwa kila kitu na hata kupata shahada kadha wa kadha.

Ona sisi tumechoka. Full stop

Nini sasa kifanyike, ili kujinasua na upuuzi huu? Ndiyo swali

On Sat, Aug 4, 2012 at 12:08 AM, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
Plz honor my firm request, for mail delivery suspension, until further notice!
Bwanatosha

From: matinyi@hotmail.com
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 3 Aug 2012 17:24:48 +0000

Natamani Tanzania ingekuwa na watu kama huyu bwana..................
Yaani kweli hatuwezi hata kupiga makasia kama wazungu koko?
Hatuwezi hata kulenga shahaba kama yule kipofu wa Korea?
Hatuwezi hata sarakasi kama Gabby Douglas?
Hatuwezi kila kitu watu siye?
Nadhani ni suala lile watani zangu Wahaya wanaitwa kwa kikwao - "character of a nation."
 
 Niger rower Hammadou Djibo Issaka

Niger rower wins hearts of fans

3 August 2012 Last updated at 15:20 GMT

Olympic rowing: Niger rower Hamadou Issaka captures hearts

Niger rower Hamadou Djibo Issaka received a rapturous reception from the Eton Dorney crowd despite finishing dead last in the men's singles sculls.

The 35-year-old, who has been nicknamed "Issaka the Otter," finished the 2,000m stretch in just under nine minutes in a race to settle the bottom three places.
Issaka only took up rowing three months ago and trained for his Olympic debut in an old fishing boat.
He now plans to compete at the 2016 Games in Brazil.
Isska's time was nearly two minutes slower than the winning mark set later on Friday by New Zealand's gold medallist Mahe Drysdale.
 
"I have no technique, I only rely on power"
 
But put into perspective that is still some feat for the 35-year-old from the landlocked, arid nation of Niger , which nestles on the edge of the Sahara desert.

Issaka is a wildcard entry at the London Olympics and before the Games he worked as a gardener and swimming pool attendant in the capital of Niamey.
He was then sent by the Niger Swimming Federation to Egypt and then Tunisia for an intensive course in rowing.
"I have no technique," Issake said. "I only rely on power. I compete with courage, but there also people cheering me there, they applaud me and urge me to help me finish my race and I will do it."
Issaka's Olympic adventure may be over but there are already murmurs that his rowing exploits have started a craze in Niger.
"There are lots of people who are waiting for me to get back," he said. "Lots of people who want to start rowing and I have to teach them."
SOURCE: http://www.bbc.co.uk/sport/0/rowing/19112057
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Simon Martha Mkina
Executive Chairman  & Founder
Tanzania Journalists Alliance (Tajoa)
Author/Columnist/Editor/Publisher
Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment