Saturday 4 August 2012

Re: [wanabidii] BADO UNAJIDAI NA VIAKIBA VYAKO VYA NSSF?

Nampongeza Hon. Mnyika kwa kuleta joha binafsi ya kupinga sheria ya kishenzi, namshukuru pia kwa kuomba samahani kwa umma kwa jambo la kipumbavu walilofanya hawa waheshimiwa. Sasa tunapata picha kuwa keki ya taifa ilishakwisha sasa wanatafuna na vifungashio vyake!

2012/5/2 robert kisanga <kisangarmf@gmail.com>
Asante mkuu

2012/5/2 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Tembelea hii link zimejaa tele,
 
2012/5/2 robert kisanga <kisangarmf@gmail.com>
Hosea hebu turushie hiyo report nasi tuipitie

2012/5/1 mnyika@yahoo.com <mnyika@yahoo.com>

Hosea
Amedokeza tu kidogo kuwa anaendelea na ukaguzi maalum ambao utaelezwa kwenye ripoti ijayo. Waziri Mkuu Pinda anatuangusha kwenye suala la UDA, kila unayemgusa anasingizia anasubiri uchunguzi ulioelekezwa na Waziri Mkuu iwe ni Jiji, CHC; Msajili wa Hazina na hata Ofisi ya Bunge.

Jj
Sent from my Nokia phone
-----Original Message-----
From: Hosea Ndaki
Sent:  01/05/2012 5:34:21 pm
Subject:  Re: [wanabidii] BADO UNAJIDAI NA VIAKIBA VYAKO VYA NSSF?

Natizama report ya CAG sioni anapozungumzia shirika la usafishaji Dar es
salaam (UDA) zaidi ya kuweka kwenye list ya mashirika yanayopaswa kuwa
chini ya serikali. Inamaana utendaji wa CEO Robert Kisena uko sawa sawa?
serikali ilishamalizana na Simon Group?

2012/4/30 jovias mwesiga <ngonzy@gmail.com>

>
> Huu ni uongo, kupakana matope yani ni wivu tu wa watanzania hahahah lile
> kundi la watakatifu wakikutana ndo salam zao juu ya kila zuri linalosemwa
> dhidi yao hahahahah. Ni mzaha lakini inatisha, Marekani kwenye guba ya
> meksiko BP walivyomwaga mafuta ikaonekana kampuni inaweza filisika yule
> waziri mkuu mpenda ushoga alitinga DC CHAP CHAP kuja weka mambo sawa kwani
> akiba ya wafanyakazi wa bungereza imewekezwa humo.
> Sie wazee wetu wastahafu wanakuja kufuatilia malipo yao wanaishia kuuza
> hata vibanda walivyoviacha viwe vinawapatia kodi wakati wao wamerudi
> kijijini halafu unasoma ooh Sumaye alikopeshwa kiasi fulani, hatuambiwi
> kama alilipa though then hawa watakatifu wa saizi nao sijui wamekopa kiasi
> gani balaa lipo
> 2012/4/26 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
>
>> Nimevutiwa kidogo na mkopo wa HESLB, inamaana vyombo hivi vinaweza kutoa
>> mikopo kwa wanafunzi wetu, kuna wanafunzi ambao ni members wa mifuko hii
>> tayari na wana akiba za kutosha kutumika kama dhamana, wapo wanafunzi
>> wanaochukua msc mba phd ambao tayari ni watumishi wa kada mbalimbali kama
>> wahadhiri na madaktari ambao wangeweza kukopa ada na hatimae kulipa katika
>> utaratibu fulani.
>>
>>
>> On Thu, Apr 26, 2012 at 3:24 PM, robert charles <rochalyimo@yahoo.com>wrote:
>>
>>>
>>> Bado unajidai na viakiba vyako vya NSSF/PPF/LAPF/NHIF/PSPF?
>>> Kama bado unajidai navyo eti ukiwa mstaafu vitakutoa; shauri yako chukua
>>> hatua ama sivyo utajibeba...kama huamini soma hii taarifa ya Mkaguzi Mkuu
>>> wa serikali then uchukue hatua. Usishangae kina Maige wameshachukua hatua
>>> kimtindo wao wa kifisadi na sasa wanaweza kabisa kulipa vijisenti vichache
>>> tu kama dola 3000 mpaka 7000 kununua kajumba kamoja tu. Hebu soma story hi
>>> i
>>>
>>> MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uko hatarini kufilisika na
>>> kupoteza fedha za wanachama wake.
>>> Hii inatokana na serikali kushindwa kurejesha katika mfuko huu,
>>> mabilioni ya shilingi iliyokopa au kudhamini katika miradi mbalimbali.
>>> Kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
>>> (CAG) ya 2010/2011, fedha za wanachama, hata katika mifuko mingine ya
>>> jamii, ziko hatarini kupotea.
>>> Mbali na NSSF, mifuko mingine inayotajwa kuwa katika hatari hiyo ni
>>> Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF); Mfuko wa Wafanyakazi wa
>>> Serikali Kuu (PSPF), Mfuko wa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (LAPF) na
>>> Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF).
>>> Kulingana na taarifa ya CAG, sehemu kubwa ya fedha za wanachama ambazo
>>> hazijarejeshwa, zilikopeshwa kwa serikali kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu
>>> cha Dodoma (UDOM).
>>> Katika chuo hiki, NSSF peke yake iliingiza Sh. 234.1 bilioni. Mifuko
>>> iliyosalia ilitoa jumla ya Sh. 181.3 bilioni.
>>> Katika ujenzi wa UDOM, PPF ilitoa Sh. 39.99 bilioni, PSPF (Sh. 105.9
>>> bilioni), LAPF (Sh. 22 bilioni) na NHIF (Sh. 13.4 bilioni). Fedha hizo na
>>> riba yake hazijarejeshwa.
>>> Ripoti ya CAG, Ludovick Utouh, inasema kutorejeshwa kwa mikopo hiyo,
>>> iliyochukuliwa au kudhaminiwa na serikali, ni kinyume cha sheria ya
>>> udhamini ya mwaka 1974.
>>> "Kutolipika kwa mikopo hii iliyodhaminiwa na serikali kunaiweka mifuko
>>> hii ya hifadhi katika hatari ya kupoteza fedha za wanachama na kuhatarisha
>>> uwezo wa mifuko kufanya uwekezaji zaidi," anasema na kuongeza:
>>> "Kushindwa kulipa madeni taasisi hizi ambazo baadhi yake zilipata
>>> udhamini wa serikali, kunatia shaka iwapo upembuzi wa kina wa wakopaji
>>> ulifanywa na mifuko ya kijamii kabla ya kutoa mikopo hiyo."
>>> Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau hakupatikana kwa maelezo kuwa
>>> alikuwa kwenye mkutano mkoani Mbeya.
>>> Lakini Meneja Kiongozi Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume amesema mikopo
>>> kwa serikali imetolewa kwa uangalifu na inalipwa bila matatizo na kwa
>>> misingi ya kibiashara.
>>> "Mikataba ya kisheria imesainiwa kukidhi mazingira mbalimbali ikiwa ni
>>> pamoja na iwapo itacheleweshwa…. Hakuna hatari yoyote ya fedha kutolipwa
>>> wala kupoteza fedha za wateja," amesema Chiume.
>>> Lakini CAG katika taarifa yake ya kurasa 183, anasema, "Ukubwa wa
>>> kibiashara kati ya serikali na mifuko unatia shaka kutokana na kusuasua kwa
>>> serikali katika ulipaji madeni yake. Hii inahatarisha uendelevu wa mifuko
>>> hii."
>>> Katika ukaguzi wake, CAG amebaini kuwa NSSF ilitoa Sh. 234.1 bilioni kwa
>>> mradi wa UDOM, lakini mkataba uliosainiwa ni wa Sh. 35.2 bilioni tu. Hii ni
>>> hatari kwa fedha za wafanyakazi na wastaafu.
>>> Akifafanua suala la fedha kwenye mkataba kutofautiana na fedha
>>> zilizotolewa, Chiume alisema mkataba ulitakiwa kuwa mmoja ambao ulisainiwa
>>> wakati wa awamu ya kwanza.
>>> Chiume alisema kwa awamu ya pili, kilichotakiwa ni kusaini addendum
>>> (makubaliano ya nyongeza), ambayo "yako mbioni kukamilika."
>>> Utouh anaripoti, "Majengo kwa ajili ya awamu ya kwanza yalikamilika na
>>> kuwekwa katika matumizi mwezi Septemba 2008. Mpaka wakati wa ukaguzi
>>> 2010/2011, mfuko ulikuwa haujafanikiwa kukusanya malipo ya pango kutoka
>>> serikalini.
>>> Kwa msingi huo, hadi sasa limbikizo la riba limefika thamani ya Sh. 14
>>> bilioni," anasema Utouh.
>>> Mkopo huo ulitolewa kwa utaratibu wa kubuni, kujenga, kumiliki na
>>> kuhamisha ambapo mfuko ungepokea kodi iliyokokotolewa kwa riba ya asilimia
>>> 15 kwa kipindi cha miaka kumi.
>>> Vilevile CAG amebaini kuwa majengo yaliyojengwa kwa mkopo huo, hayako
>>> kwenye vitabu vya UDOM wala katika vitabu vya NSSF, kutokana na uelewa
>>> tofauti uliopo kati ya pande mbili zinazohusika.
>>> Kuna mikanganyiko katika uelewa kwa serikali na mifuko ya hifadhi,
>>> ameeleza CAG. Wakati mifuko inasema fedha zilizotumika kujenga majengo hayo
>>> zilikuwa mikopo kwa serikali, yenyewe serikali inadai fedha hizo ni
>>> uwekezaji wa kawaida wa mifuko hiyo.
>>> Mbali na UDOM, serikali pia haijalipa jumla ya Sh. 19.77 bilioni
>>> zilizotumika katika ujenzi wa ukumbi wa bunge, ambazo hazilipwi kulingana
>>> na makubaliano. Hadi wakati wa ukaguzi, NSSF ilikuwa inadai Sh. 8.96
>>> bilioni, PPF (Sh. 7.9 na LAPF Sh. 2.91.
>>> Pia upo mkopo mwingine wa NSSF wa Sh. 5.33 bilioni na riba ya asilimia
>>> 15 kwa miaka kumi, uliotolewa kwa ajili ya ujenzi wa "taasisi ya serikali
>>> ya kiusalama" mwaka 2007.
>>> Mfuko mwingine uliowekeza katika mradi huo ni PSPF uliotoa Sh. 6.4
>>> bilioni.
>>> Kwa mujibu wa ripoti hiyo, NSSF kwa udhamini wa serikali ilikopesha
>>> taasisi kwa shughuli mbalimbali.
>>> Kwa mfano, ujenzi wa nyumba za polisi kwa Sh. 20 bilioni na Sh. 12. 9
>>> bilioni kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam mwaka 2007 kwa ajili ya
>>> ujenzi wa Machinga Complex, Ilala.
>>> "Hadi sasa hakuna malipo ya riba wala sehemu ya mkopo hiyo yaliyofanywa.
>>> Hii ni kinyume cha mkataba," inasema sehemu ya ripoti ya CAG.
>>> Kwa upande wa Machinga Complex, hadi tarehe 30 Juni 2011, mkopo na riba
>>> yake ulikuwa umefikia Sh. 15.3 bilioni.
>>> Ripoti ya CAG imeainisha pia mikopo mingine ambayo hailipwi kulingana na
>>> mikataba ya mifuko hiyo, bila ya kutaja viwango vyake.
>>> Mikopo hiyo ni iliyotolewa kwa Continental Venture (T) Limited, Meditech
>>> Industrial Co. Ltd, General Tyre (GT), Kiwanda cha Sukari Kagera, Bodi ya
>>> Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) na mgodi wa mkaa wa mawe wa Kiwira, mkoani
>>> Mbeya.
>>> Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio amesema hajaona
>>> ripoti ya CAG na yuko safarini Tanga.
>>> Hata hivyo amedokeza kuwa hivi karibuni walikaa na CAG kujadili suala
>>> hilo na kubaini makosa ya kifundi katika uhasibu baina ya mifuko na
>>> serikali katika ujenzi wa UDOM; hivyo CAG kuahidi kuyashughulikia kwa
>>> upande wa serikali.
>>> Alipoulizwa ni makosa yapi hayo, Erio alimtaka mwandishi awasiliane na
>>> kaimu wake, Stephen Alfred ambaye ilielezwa kuwa yuko kwenye mkutano. Hadi
>>> tunakwenda mitamboni, Alfred hakupatikana.
>>> Gazeti toleo lenye makala hii <http://www.mwanahalisi.co.tz/toleo/290>
>>>
>>> *"To live or die,to make it or not,To have it or not.Through fire or
>>> water.I will live and preach the gospel of CHRIST in truth, in the fullness
>>> and totality of the Holy Spirit,thus, GOD HELP ME!"*
>>> * <http://www.geocities.com/chavitahq>*
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

..Blaming fate instead of oneself is always the way cowards sleep better at night!

Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment