Wednesday 29 August 2012

RE: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

Chipalazya;

Umetoa ushauri mzuri ila na wewe kichwani kwako una vitu negative na hao waislam,ungeanza kutumia hizo idea kusafisha na ubongo wako pia.Jinsi ulivyoeleza mtu ambaye hajafika Tanzania anaweza kuhisi waislam wa Tanzania ni maskini sana hawana elimu ,hawafanyi kazi.Kama ulivyoandika ni mtazamo wako halisi basi labda Waislam wa huko unapokaa na kuishi wewe ndo wapo hivyo.Kila dini kuna makundi tofauti wa level zote,dunia nzima.Rudia kusoma ulichoandika between lines utanielewa!

 

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of alexander chipalazya
Sent: Wednesday, August 29, 2012 1:19 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

 

Telesphor,

Observation yako nisahihi kabisa, hawajamaa wanasingizia dini kutaka kutimiza agenda zao binafsi. 

Mwislam makini huwezi kumkuta akishabikia mambo mengi ambao hawa jamaa 'wakorofi' wamekua wakiyadai kilakukicha. Mwislam makini yuko buzy kuchapa kazi na kumcha Mungu wake nautaona wanafanikiwa katika kila nyanja, ukianzia elimu na hata maisha yao yakawaida.

 

Hawa waislam wanaotaka huruma katika kila jambo niwakuogopa maana dunia hii tuliopo niyaushindani na haitamuhurumia mtu yeyote asiefanya mambo kwa bidii.

Mimi naamini wakisoma watafanikiwa vizuri. Na kwasababu wanaanzisha vitu vingi kwalengo la kupambana na ukristo hawawezi kufanikiwa. Mfano taasisi za elimu wanazoanzisha (vyuo na shule) unakuta mafanikio yao nikidogo maana kuajiri mtu asiemwislam ninadra sana.

 

Ukifuatilia katika taasisi zao utaona nivigumu sana katika shule zao kuwaajili watu wadini zingine. Kutokana na hali hiyo wanakosa watu competent, wanaoweza kung'arisha taaluma. Hata vijana wanaoenda kufanya practicals katika shule zaowanalalmika sana kua wanatengwa wanapokua kwenye mafunzo ya vitendo, jambo linalowafanya wengi wasirejee tena. Waromani hicho kitu hawana wanaajili best brain. 

 

Mimi naamini wakibadilika na kuwapenda ndugu zao wakristo watafanikiwa sana. Wajaribu huu ushauri mwepesi waone matokeo yake. Wakionyesha upendo kwa wakristo itakua siraha nzuri kuwahubiri hao wakristo. Tofauti nasasa wanapoonyesha chuki na ubaguzi wawaziwazi.

 

Ombi langu kwa hawa ndg zetu waislam acheni kushughulika namambo dhaifu, fanyeni kazi mtafanikiwa.

Nawasilisha.

 

 

 


From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 29, 2012 10:36 AM
Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania


Tatizo ninaloliona ni 'suspicion'.

1. Wakati Waislamu wanaahidiwa suala lao la Mahakama ya Kadhi
lingeshughulikiwa na serikali kabla ya uchaguzi Mkuu 2010, baadhi yao
walionekana kuegemea upande wa CCM (wakidhani ilikuwa upande wao) na
wakaanza kuzusha kuwa Chadema kinafadhiliwa na Kanisa Katoliki na
kwamba Dr Slaa amewekwa na Vatican mara na maaskofu ili kumwondoa Rais
Jakaya Kikwete kwa vile ni Mwislamu. Haya nilikuwa nayasoma na
kuyasikia pia kwenye baadhi ya mihadhara Dar es Salaam.

2. Baadhi walisikika wakihamasisha waumini wao kutomchagua Dr Slaa kwa
vile ndoa yake walidai ilikuwa na utata - kwambwa amepora mke wa mtu -
na hivyo hawawezi kuongozwa na mtu asiye mwadilifu kwa mambo ya ndoa
kwa sababu atashindwa kutawala nchi pia.

3. Rais Kikwete alipokutana na viongozi wa Waislamu Dodoma na
kulitolea ufafanuzi suala la Mahakama ya Kadhi na kusema
litashughulikiwa na Waislamu wenyewe na siyo serikali na kwamba
serikali imepokea maoni ya kamati iliyokuwa imeundwa kuliona vizuri
suala hilo (ambayo mwenyekiti wake alikuwa gwiji wa sheria za Kiislamu
na senior lecturer UDSM), phrase ya 'Mfumo Kristo', ambayo ilikuwa
inatumiwa na baadhi ya magazeti na radio zilizo chini ya taasisi za
Kiislamu ikaanza kushika kasi. Sasa hivi 'Mfumo Kristo' umeshakuwa
msamiati unaoonesha Tanzania inaongozwa kulinda Maslahi ya Kanisa
Katoliki au Wakristo.

4. Mambo ambayo yalikuwa yanasemwa kwa chini chini kuhusu Waislamu
kubaguliwa kielimu na maksi zao kupewa Wakristo, yakaanza kusemwa wazi
lakini bila ushahidi wowote.

5. Yaliaanza pia maswali kwa nini shule nyingi za taasisi za Kikristo
zinafanya vizuri wakati zile za Kiislamu zinafanya vibaya kila mwaka,
kuna nini?

6. Hata mtihani wa dini ya Kiislamu (ambao walimu wake naamini siyo
Wakristo) wanafunzi walipopata maksi za chini, walisingiziwa Wakristo
walio Baraza la Mitihani kuwa wanawahujumu Waislamu.

7. Kwa bahati mbaya, mambo kama haya huwa yanasemwa na viongozi na
wanawaaminisha waumini wao kuwa wanahujumiwa na 'Mfumo Kristo' na
inabidi wapambane nao. Mpaka sasa ukisoma mambo yanayoandikwa kwa
baadhi ya magazeti yenye mtazamo dhidi ya 'Mfumo Kristo' inasikutusha
sana. Wakati mwingine huwa najiuliza kama waandishi na wahubiri wa
mambo haya wana chembechembe yoyote ya kumcha Mungu kwenye nafsi zao!

8. Katika hali hii na sasa pia kuingiza suala la sensa kwa mantiki
ileile ya kuonesha kuwa Waislamu wanahujumiwa na 'Mfump Kristo'
sidhani kuna kitu chochote cha maana tunachokijenga hapa.

7. Naamini kabisa tukitumia dini kupenyeza ajenda binafsi na kuifanya
iwe na sura ya kiimani tunamkosea Mungu.

8. Kuna mambo mengi yameandikwa kwenye magazeti na vitabu na kwenye
TVs na mengine yamerikodiwa kwenye CDs kueneza uongo kuwa Waislamu
wanahujumiwa au wananyimwa fursa za elimu na ajira na badala yake
wanapewa Wakristo.

9. Ushahidi uko wapi? Kama hayo yanayosemwa yana ukweli kwa nini
wanaolalamika wasiende mahakamani kudai kuwa wanaonewa ili mahakama
ipitie ushahidi uliopo na kulitolea hukumu suala hili?

10. Otherwise, kitu ninachokiona ni kujenga na kueneza chuki kati ya
Wakristo na Waislamu au kati ya vizazi vijavyo vya Wakristo na
Waislamu.

On 8/29/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
> Laurean,
> Huo ndiyo utanzania wetu na undugu wetu ambao sisi tunadhani ungefuatwa.
> Cha kufanya ni kuwasikiliza wanachosema hawa Waislam bila ya jazba kisha
> wakaambiwa kwamba hili na hili au yote hayawezekani lakini kwa hoja siyo
> vitisho wala kubezana.
> Kama hawana hoja si basi mambo yataendelea vema.
> Na kama wana hoja tuzikubali japo inauma kidogo.
>
>
>
> Walewale.
>
>
>
>
> ________________________________
>  From: Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Wednesday, August 29, 2012 11:25 AM
> Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>
> Chamani
> Wewe ni ndugu yangu japo  hatujuani, wewe unapendekeza kifanyike nini? List
> what you think the government should do or  fellow Tanzanians!
>
> From LRB
>
> On 29 Ago 2012, at 9:24, "amour chamani" <abachamani@yahoo.com> wrote:
>
>> ukweli.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment