Sunday 26 August 2012

Re: [wanabidii] Re: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

Hivi mtu mwenye kuielewa Nigeria na tabia za wanigeria anaweza kuwaiga
kuhusu mambo ya imani, ugomvi wa kiimani nchini Nigeria unaendelea
kugharimu maisha ya watu kila kuchao. Ndugu zangu hiyo ndo mifano ya
kutuletea Tanzania?

Tulisikia habari ya mwanamke aliyehukumiwa kupigwa mawe hadi afe kisa
kakamatwa ugoni na sharia ikachukua mkondo.Kama siyo vyombo vya
kupigania haki za binadamu mama huyo tusingekuwa naye leo. Kama ni
kuiga huo unyama wa Nigeria tafadhari ukahamie huko maana taratibu na
kanuni zao ni tofauti kabisa na za hapa kwetu.

Tanzania ni yetu wote hivyo unapojaribu kulinda haki zako linda za mwenzio pia.

2012/8/25 amour chamani <abachamani@yahoo.com>:
> Hakika Matanda.
>
>
>
> Walewale.
>
> ________________________________
> From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Saturday, August 25, 2012 7:24 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>
> We appear to be worshipping different gods.........
> On 25 Aug 2012 17:31, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:
>
> "Basi baada ya presentation yangu wakati wa QA ndugu zangu wa Kiislam
> kutoka Kano wakanambia hayo mnayofanyiwa nyie huko Tanzania
> yangefanyika hapa Nigeria nchi yote sisi tayari tushaitia kibiriti
> inawaka moto."
>
> My God! Is this done in the name of God? Is there any sense of fear of
> God in that?
>
> On 8/25/12, mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com> wrote:
>> Brother Salim.
>>
>> Nikutoe hofu.
>>
>> Nimesimama mbele Chuo Kikuu Cha Ibadan natoa mada . Terrorism in East
>> Africa the Tanzanian Experience hii ilikuwa 2006.
>>
>> Nimeeleza jinsi Sheikh Hassan bin Amir aliyekuwa Mufti wa Tanganyika
>> na Zanzibar kuanzia 1940 hadi 1968 na mmoja wa waasisi wa TANU
>> alivyojitahidi kukielekeza chama cha TANU kwenye
>> nationalist/secularist ideology ili Nyerere apate nafasi pamoja na
>> Wakrsto wengine katika harakati zakupigania uhuru wa Tanganyika. Kazi
>> hii akiifanya na masheikh wengine kama Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh
>> Mohamed Ramia wa Bagamoyo, Sheikh Yusuf Badi kutoka Lindi na wengine
>> wengi.
>>
>> Ndugu zangu wa Kihausa wananisikiza kwa makini nikaeleza juhudi za
>> Waislam kuleta utengamano katika jamii hadi uhuru umepatikana.
>>
>> Baada ya hapo nikaingia katika terror waliyoipata masheikh na Waislam
>> kwa jumla kutoka mkono wa Nyerere akishirikiana na Kanisa.
>>
>> Hii ilikuwa 'in passing" shabaha yenyewe ilikuwa nimeielekeza kwa
>> Marekani na dhulma zao..
>>
>> Kwa ufupi sisi hatujawafanyia njama za kuwadhuru Wakristo ila Kanisa
>> ndilo linampiga vita Allah SW na Mtume Wake SAW.
>>
>> Kaka yangu hizo nasaha kuzielekeza kwa sisi Waislam tunaodhulumiwa kwa
>> hakika si mahali pake.
>>
>> Basi baada ya presentation yangu wakati wa QA ndugu zangu wa Kiislam
>> kutoka Kano wakanambia hayo mnayofanyiwa nyie huko Tanzania
>> yangefanyika hapa Nigeria nchi yote sisi tayari tushaitia kibiriti
>> inawaka moto.
>>
>> M
>>
>> On 25/08/2012, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
>>>
>>> Dear Sheikh Mhamed,
>>> As always! Your presentation abides by the rules: both ethical and
>>> historical
>>> I wish further courage, wisdom & perserverance in this vital quest for
>>> TRUTH,
>>> in the interest of all Eastern Africans: Christians, Cannibals, Muslims,
>>> Pagans , Agnostics, Atheists ...
>>> There's no avoidance on this issue, if we all have PEACE & HARMONY within
>>> communities of our
>>> Lands/Nations/States.
>>> With my warmest support & respect,
>>> Salim H. M. Bwanatosha
>>> Perpetual Student of History, Social Anthropology and Comparative
>>> Swahili.
>>> Paris, France
>>> +33-6-33071051.
>>>
>>>> Date: Sat, 25 Aug 2012 07:07:50 +0300
>>>> From: mohamedsaid54@gmail.com
>>>
>>>> Hii makala niliiweka jana usiku katika JF.
>>>>
>>>> Hawakuwa na ustahamilivu wameiondoa jana hiyo hiyo.
>>>>
>>>> Sasa sijui kama na wao ni sehemu ya mfumokristo kama TBC1, ITV, gazeti
>>>> la Mtanzania na mfano kama huo lililoghushi tangazo la sensa au vipi.
>>>>
>>>>
>>>> M.
>>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment