Thursday 9 August 2012

Re: [wanabidii] Re: Afande Dunga Ajinyonga na Kuacha Barua Nzito

Kagaruki huo msemo ni very very inspiring!!
Moses
Mawazo Chanya Media

Sent from my iPhone

On Aug 9, 2012, at 9:16 AM, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:

Na kama huna cha kufia duniani, huna sababu ya kuishi!! Lutgard
 




From: John George <georgejn2000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 8, 2012 1:53 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Afande Dunga Ajinyonga na Kuacha Barua Nzito

Hiyo ndiyo gharama ya kutaka haki hapa DUNIANI. Kama hutaki shida kaa kimya hutaona mambo kama haya yanakutokea.

2012/8/8 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Du! Nchi yetu hii ina mambo kwelikweli! Ila naamini kama kuna mkono wa
mtu si hata yeye siku moja atashika udongo?

On 8/8/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Kuna uwezekano mkubwa huyu askari aliuliwa sehemu nyingine akatundikwa
> hapo maana picha haionyeshi dalili ya mtu aliyejinyonga mwenyewe ,
> nimejaribu kuiweka kwenye maumbo na mionekano ya aina mbalimbali na
> sijapata ile hali ya kujininginiza mwenyewe kama ni mwenyewe basi
> alikuwa kwenye tatizo lingine zaidi .
>
> On Aug 8, 11:36 am, Yona Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>>    Nakala ya barua ya askari Dunga kwa Waziri wa Mambo ya Ndani
>>   * *Baadhi ya wananchi na maaskari wakijadiliana jambo kwenye mwili huo
>> wa
>> Afande Dunga
>>  --
>>
>>  Na Danstan Shekidele
>>  Siku chache kabla ya kifo chake askari polisi mwenye namba F 3276,
>> Donald
>> Mathew (33), aliyejinyonga juu ya mti katika daraja la Shani, mkoani
>> Morogoro alimwandikia barua Waziri wa Mambo ya Ndani kueleza kinachodaiwa
>> kuwa ni ufisadi unaofanywa na vigogo wa polisi nchini, imebainika.
>>
>> Polisi huyo aliyefahamika sana kwa jina la Dunga aliwahi kutoa tuhuma
>> nzito
>> dhidi ya maofisa, wakaguzi na polisi wa kawaida, mkoani Morogoro mwaka
>> jana
>> lakini hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya maofisa hao.
>>   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fustine Shilogile, jana alisema
>> jeshi
>> hilo, lilipokea taarifa za kujinyonga Mathew jana asubuhi.
>>
>> Alisema askari huyo, aijinyonga kwa kutumia vipande vya kamba ya kanga
>> ambavyo viliunganishwa na hakuacha ujumbe wowote unaoeleza sababu ya
>> kuchukua uwamuzi huo.
>>
>> Alisema askari huyo kabla ya kufanya tukio hilo, alionekana mitaani
>> akinywa
>> pombe katika Baa ya Shani.
>>
>> Alisema baada ya kuonekana amelewa, Mathew aliamua kuvua nguo zote na
>> kubaki mtupu, kitendo kilichofanya baadhi ya askari polisi waliokuwa eneo
>> hilo, kumfuata na kumsihi avae nguo.
>>
>> Alisema marehemu, alihamishiwa mkoani Singida kikazi, lakini Novemba,
>> mwaka
>> jana aliamua kuacha jeshi.
>>
>> "Pamoja na kwamba marehemu aliacha kazi mwaka jana, sisi kama jeshi bado
>> tunamtambua kama askari mwenzetu… kwa msingi huo tutasafirisha mwili wake
>> Agosti 8, mwaka huu kwenda nyumbani kwake mkoani Kilimanjaro," alisema
>> Kamanda Shilogile.
>>
>> Alipoulizwa kama kifo cha Mathew kimesababishwa na baadhi ya askari
>> waliohusishwa kwenye tuhuma za kuhusika na biashara za dawa za kulevya,
>> Kamanda Shilogile alisema uchunguzi unaendelea, na kwamba ikibainika kama
>> kuna askari aliyehusika atachukuliwa hatua kali.
>>
>> Hata hivyo, askari huyo mwishoni mwa mwaka jana, alitoa tuhuma mbalimbali
>> ambazo zilichapishwa katika moja ya magazeti linalotoka mara mbili kwa
>> wiki, zikiwatuhumu askari 9 wa kikosi cha kupambana na majambazi wa
>> kutumia
>> silaha kupokea rushwa kutoka kwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya.
>>
>> Tuhuma nyingine alizotoa ni polisi kukamata majambazi wenye silaha,
>> lakini
>> huachiwa baada ya kupewa fedha na mali mbalimbali, hivyo kushindwa
>> kuwafikisha kituoni.
>>
>> Alisema tuhuma nyingine ni polisi kuwakamata wafanyabiashara wa pombe
>> haramu aina ya gongo na bangi bila kuwachukulia hatua zozote baada ya
>> kuhongwa.
>>
>> Tuhuma nyingine, zinazodaiwa kufanywa na askari hao ni kushirikiana na
>> matapeli, kutapeli raia wa kigeni na kushirikiana na majambazi kuvunja
>> maduka na kuiba mali za wafanyabiashara nyakati za usiku.
>>
>>  afande.jpg
>> 112KViewDownload
>>
>>  barua ii.jpg
>> 113KViewDownload
>>
>>  Barua ya afande.jpg
>> 103KViewDownload
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment