Thursday, 9 August 2012

Re: [wanabidii] Prof Costa Mahalu aibwaga Serikali

Lushengo,

Una akili sana, ndio tatizo lako kubwa! Huyu jamaa wa bagamoyo aliingia kwa visasi, kukomesha waliokuwa rafiki za Che Nkappa na kuwazawadia waliokuwa maadui za Che Nkappa!

Prof hakuwa na kosa, yeye kama balozi na boss wake kama waziri mambo ya nje, kuna kitu alikataa kukubaliana naye (huenda kumchangia kwenye uchaguzi au kitu kingine kitamu), au kuna mengine, hata ya siri za kibinadamu zaidi.

Tumeona kina Mataka kurudishwa na vyeo vikubwa wakati wa awamu ya tatu walifukuzwa! Kuna wengi walifanyiziwa hayo na wengi kuzawadiwa kwa kutokubaliana na awamu ya tatu! Mfano, Mhe Membe alikuwa adui wa mtu waliyekuwa naye ubalozini Kanada; mtu huyo alikuwa rafiki wa awamu ya tatu, akamlipua bungeni akapoteza kitumbua lakini Membe akapata adhabu ya kutoambulia chochote licha ya kuwa mbunge, qualified and competent kwenye foreign policy!

Alipokuja awamu ya nne, Membe akapata zawadi (ingawa alikuwa anastahili tangu awamu ya tatu)! Naona alipata zawadi kwavile hakupendana na awamu ya 3. Siasa zitabaki chafu daima!

Prof Costa Mahalu hakuwa na kosa, kosa lake ni alikuwa karibu na awamu ya tatu. Ikumbukwe awamu ya tatu kabla ya kuingia madarakani, Mahalu alikuwa Katibu wake mkuu wa wizara ya Sayansi na teke linalokujia! Awamu ya tatu alipouchinja (waziri wake JMK), akaona asaidie rafiki za Mahalu. Mfano alimpigia debe Magufuli (mwanafunzi wake) akaukwaa unaibu waziri ujenzi na baada ya hapo yeye kaukwaa ubalozi Italy/FAO/Greece ili asukume biashara ya utalii n.k, kazi aliyoifanya kwa bidii zake zote!

Kikwete inaovyoonekana mara nyingine ni mtu wa visasi; kwa mabaya na mazuri. Mfano alipoanza kazi ccm alipelekwa tarafa moja Singida, wakiwa na Makamba kama katibu wa chama wa Kata mojawapo huko. Alipoukwaa Urais, tunajua alivyomfanyia mzee huyo wa Tanga.
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 9 Aug 2012 19:29:07 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Prof Costa Mahalu aibwaga Serikali

Nadhani iliyobwaga sio serikali, is someone from Bagamoyo.

Sent from My Samsung Tab 10.1

On Aug 9, 2012 6:14 PM, "John George" <georgejn2000@gmail.com> wrote:
Nani analipa fedha ya usumbufu kwa professor?

On Thu, Aug 9, 2012 at 4:49 PM, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
God is great. Congratulations Prof. Mahalu. At least the truth is now in the open and hopefully this will be the end of your suffering.

Cheers and Praise the Lord

Herment A. Mrema

> Date: Thu, 9 Aug 2012 04:36:12 -0700
> Subject: [wanabidii] Prof Costa Mahalu aibwaga Serikali
> From: hamisznz@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com

>
> Prof Costa Mahalu aibwaga Serikali katika kesi iliyokuwa ina mkabili
> kuhusiana na ubalozi wa tanzania nchini italy
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment