Picha hizo zinathibitisha kuwa CCM na serikali yake wameshindwa kutawala nchi kidemokrasia... Hivi kwa nini huzuie maandamano eti kusudi barabara finyu zitumike kikawaida badala ya kuzongwa na waandamanaji huku hupo tayari kumwaga polisi na mabomu ya machozi mitaani kuwatawanya na kuwatesa hata wapita njia na watoto wao wachanga watembeao kwa miguu???Vyvyote vile barabara hazikutumika kama kawaida wakati mabomu ya machozi yanarindima... Wananchi wanazidi kuzoeshwa kupigwa mabomu ipo siku kuzoeshwa huku kutawafanya sugu na polisi itabidi wafanye mauaji ya watu wengi sana kiasi cha kuwalazimisha watu wengi zaidi na zaidi kusema basi liwalo na liwe...Hapo tutayaona ya Tunisia ,na Misri, na Libya...na sasa Syria...
Mwl. Lwaitama
From: embegu@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] PICHA ZA FFU WAKIDHIBITI MAANDAMANO YA CHADEMA MKOANI MOROGORO
Date: Mon, 27 Aug 2012 14:45:57 +0000
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Mbona hamsemi tatizo lilikuwa nini?
Date: Mon, 27 Aug 2012 07:43:28 -0700
Subject: [wanabidii] PICHA ZA FFU WAKIDHIBITI MAANDAMANO YA CHADEMA MKOANI MOROGORO
From: patahabari@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema
Askari waliokuwa katika eneo la tukio kabla ya kuanza kwa maandamano hayo
Moshi wa mabomu yaliolipuliwa kutawanya maandamano ya chadema leo mjini morogoro
Gari la chadema lililokuwa likiongoza maandamano hayo
Mmoja wa kiongozi wa chadema akiwa amekamatwa akiwa ndani ya gari la polisi
Wafuasi wa chadema wakiwa na maandamao hayo mjini morogoro

0 comments:
Post a Comment