Thursday 9 August 2012

Re: [wanabidii] Nini Hiki?

Ama kweli, ni afadhali haukuwa jirani yangu! Maana inaonesha hapo mtaani kwenu unaongoza kwa woga! Mwanaume mzima kabisa, unasikia milipuko inatokea jirani, unaendelea kulala, au umeingia uvunguni mwa kitanda? Toka nje bwana! Nenda kaone mwenyewe, huenda hata msaada wako unahitajika!

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, August 9, 2012 4:45:02 PM GMT-0700
Subject: [wanabidii] Nini Hiki?

Wadau,
Nimesikia milio mizito hapa maili moja ingawa inakuwa kama yatokea mbali.
Awali nilidhani ni pancha ya malori, Lakini ikarudio kama mara nne hivi! Je, ni yale mambo yetu ya Mbagala na Gongo la Mboto? au ni baruti? Mwenye kujua ni nini atujuze. awe Banda keshafika Kibaha?

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment