Nimefurahi kwa mada yako nzuri Kaka Elisa. Nimefurahishwa na mambo yafuatayo:-
1. Kwamba Bunge lilitunga sheria ya kuzuia madawa ya kulevya. Ni kweli kabisa. Basi itumike ipasavyo kuondoa tatizo hili. Kama serikali inaona ina mapungufu, basi ipelekwe tena Bungeni iongezewe makali.
2. Bunge lilitumia sheria ya Haki na Kinga ya Bunge kufanya hayo unayoyaita upuuzi. Hii itufundishe kuwa mihimili yetu mitatu haijakaa sawa sawa kimadaraka. Huenda mipaka ya hii mihimili haieleweki sawasawa. Kiongozi wa Serikali anatakiwa kufahamu ukuu wa Bunge - Bunge halipaswi kuwa sehemu ya serikali na kwamba Bunge liko juu ya Serikali. Ndugu yangu lazima tukubaliane kuwa Wabunge kwa ujumla wao wanastahili heshima, na Mbunge anaweza kuongea lolote akiwa Bungeni na asishitakiwe kwa aliyoyasema. Hizo ni sheria zetu tulizoziweka wenyewe aidha kwa lengo zuri au baya.
3. Mwisho naona Kaka Elisha una chuki Binafsi na Mbunge fulani japo ukutaka kutaja majina yake. Vua uchama kwanza, pima hoja zake kwa ujumla wake ndipo useme kuwa ni mpuuzi au hapana.
Mimi ni kwambie, dawa za kulevya ni hatari sana na kila mtu lazima ayachukie kwa kadri atakavyoweza. Serikali ni taasisi inaundwa na Rais pamoja na Baraza lake la mawaziri. Mkakati aliokuja nao Makonda ulisaidia kuamusha hisia na baadhi ya vyombo kuanza kufanya kazi. Mimi nilitegemea zaidi ya hilo husuan vyombo vyote vya Serikali kuandaa Mkakati wa Siri chini ya kiapo wa kupambana na janga hili.
Siku moja kulitokea mwizi akaiba baiskeli na watu wakaanza kupiga kelele na kumfukuza, bahati mbaya waliokuwa wanamkimbiza wakaelekea Kusini na kumkamata mwizi hewa wakati mwizi halisi alikimbia kuelekea Kaskazini. Kwa maoni yangu ni kwamba kuwataja watu hadharani inaweza kuwafanya wahusika hasa wauzaji wa madawa kutoka nje ya nchi kuelekea kaskazini tukashindwa kukata mnyororo wa madawa kwa sasa.
Jovin
On Wednesday, February 15, 2017 10:25 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ndaki. Hakunaatakayekubali kupimw. Ila uzuri kila anayetajwa akifika Polisi (nadhani) Cha kwanza ni kumpima. Wew utaona kama mbwembwe hazitayeyuka. Waliokwenda wanamlaani Makonda wametoka lugha imebadilika unadhani kwa nini? Wanaoogopa kwenda Polisi unadhani kwa nini? Waliopandwa pressure? Ninaamini jamii ikiiunga Mkono serik\li na kupuuza habari za magorofa ya makonda vita hii ushindi hauko mbali. Mataifa mengine watakuja kujifunza. KLwa wabunge wetu wakubali kupimwa au wapimwe kwa nguvu ndipo tusikie lugha zao
--------------------------------------------
On Wed, 2/15/17, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] VITA YA MADWA YA KULEVYA: WABUNGE WETU WAKO UPANDE GANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, February 15, 2017, 12:58 PM
Muhingo,
kama kweli watu wa sheria wanayachukia madawa kwa dhati basi
wangekuwa mstari wa mbele wao kupimwa kwanza kama wanayo
mwilini na hapo ndio wakaanza kumshutumu Mheshimiwa RC
Makonda. Vinginevyo tuseme kama kaka zangu wakurya kuwa vita
ni vita tu kila silaha tumia, kuyataja mateja na
wanaodhaniwa kuwa ni washirika ni jambo jema.
2017-02-14 23:34 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Vita ya madawa ya kulevya imeanza rasmi. Si kuwa hakukuwa na
juhudi huko nyuma. La. Ila sasa imeanza na msukumo mpya.
Imeanza kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paulo Makonda
kuwataja watu wanaohisiwa kujihusisha na madawa hayo.
Mwanzoni alibezwa na kuambiwa anacheza na dagaa. Baadaye
akaongeza kwa kutaja majina makubwa zaidi. Hapo ndipo hasa
misimamo tofauti ilionekana. Wengine wakasema hawawezi
kwenda kwa sababu Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kushughulikia
madawa ya kulevya. Wapo waliotaja hasara watakayoipata kwa
kuitikia wito wa Makonda na vitisho vingine vingi.
Madawa haya yameharibu vijana na yanaendelea kuwaharibu.
Vijana wasomi, wasanii wakishajiingiza katika madawa basi
wanaharibika na kupoteza mwelekeo. Namfahamu kijana
aliyekufa baada ya kunywa dawa za kilimo zilizokuwa
zimetunzwa na wazazi wake nyumbani. Huyo kijana alikuwa
anamalizia degree yake ya kwanza ya computer engineering.
Alifukuzwa mara mbili kwa sababu ya kuharibikiwa akili baada
ya kutumia madawa ya kulevya. Alipokosa madawa na bangi
ikawa haimtoshi akaanza kunywa dawa hiyo kidogo kidogo mpaka
ilipomuua; na wazazi waligundua baadaye sana. Madhara mengi
tu huenda kila mmoja ana mifano yake. Jingine lililo wasi ni
habari kuwa wahusika wakuu wa biashara hii ni wanasiasa;
Wafayabiashara wakubwa na wasanii. Katika orodha ya Makonda
makundi hayo yote yalitajwa.
Kati ya maneno aliyokaririwa akitumia Ndugu Makonda ni
kusema Wabunge (Nadhani baadhi) ni wapuuzi na kuwa hufanya
kazi ya kulala bungeni.
Wakati ukweli ukiwa kama nilivyoutia katika utangulizi,
Wabunge na Bunge lilitoa msimamo kuhusu maneno ya Makonda.
Maneno yoyote aliyotamka mtu au taasisi yanawakilisha
msimamo wake kuhusiana na vita ya madawa ya kulevya. Wabunge
wetu walijibu juhudi za Makonda kwa kuzingatia zaidi maneno
yake kuhusu wabunge badala ya lengo lake la kupiga vita
madawa ya kulevya. Sipendi kuungana na Makonda kuliudhi
bunge letu lakini nataka kujielekeza kuhusu matukio
yanayoweza kutumika kulishtua bunge (likitaka kushtuka) na
kubadili mwelekeo.
Mifano:
1 Bunge limetunga sheria kadhaa kuharamisha madawa
ya kulevya ikiwemo bangi. Siku moja mbunge mmoja alisimama
bungeni na kusema kwao bangi ni halali hivyo ihalalishwe. Je
huu si upuuzi kwa mbunge kutamka hivyo? Kama ni upuuzi; yeye
aweza kuepuka kuwa mpuuzi? Lakini Baada ya neno kama hili
kutamkwa na mbunge, wabunge wengine walipitisha azimio gani
kuhusu upuuzi huo? Reaction ya bunge zima kuhusu neno la
mwenzao ndilo linarejesha heshima ya bunge au kuiondoa.
2 Lakini tumtafakari mwakilishi mwingine. Kama
mbunge kuitwa mpuuzi ni kosa na utovu wa heshima na madaraka
ya Bunge, bila shaka viongozi wa miimili mingine pia. Sasa
mtu anasimama na kusema Rais ni Dictator uchwara. Mtu huyo
anasimama na kusema Tanzania inaongozwa na rais wa ajabu
ajabu. Kosa la rais ni kusema taifa halijafikia mahala pa
kuomba chakula kwani japo kuna ukame lakini mvua
zinazoendelea zaweza kutumika kulima chakula kinachopungua!
Maneno kama hayo japo yametamkwa nje ya Bunge lakini kwa
sababu yametamkwa na Mbunge ningetarajia bunge kuwa na
tamko. Kama Bunge likimrudi mwenzao kama tulivyoona huko
nyuma linaweka msingi wa kutoitwa bunge la wapuuzi.
3 Nchi yetu ilipata uhuru 1961. Kabla ya uhuru
nchi hii imepitia historia ya ajabu. Zamani za kale nchi
ilikuwa ni chiefdoms ndogo ndogo. Watu fulani wakakaa na
kuziunganisha hizo kabila na chiefdoms na kutengeneza kitu
kinaitwa Tanganyika. Baada ya uhuru wa Tanganyika na
Zanzibar, viongozi tuliowachagua wakafanya uamuzi wa
kuziunganisha nchi mbili zilizokuwa huru. Sasa ni taifa
moja. Linaitwa Tanzania. Tumelitengeneza wenyewe. Lina
katiba yake. Linatambuliwa hivyo. Lina changamoto zake ndiyo
maana tunajadiliaana namna bora ya kuliimarisha na
kuliendeleza. Ni mfano bora wa kujivunia. Africa inajivunia.
Ni matokeo ya kazi tuliofanya sisi bada ya uhuru. Tanzania
si ya kwanza kuungana duniani. Mfano mmojawapo ni Marekani.
Iliunganisha mataifa zaidi ya 50. Kuliwahi kutokea wapuuzi
fulani wakati wa utawala wa Abraham Linchoin wakitaka
kulitenga taifa (jimbo) lao. Walipata kichapo kikali
hawajathubutu tena. Naamini hakuna Mmarekani anaweza kuhoji
muungano huo akaishi. Sisi tuna binadamu mmoja. Tena ni
mbunge wa bunge letu linalostahili kuheshimiwa. Akasema
Zanzibar inatawaliwa na Tanganyika. Na upuuzi mwingine
mwingi tu. Mbunge huyo aliapa kiapo kuulinda Muungano. Sasa
je kitendo chake hicho si cha kipuuzi? Kama ni cha kipuuzi,
yeye sio mpuuzi? Bunge limetoa msimamo gani kuhusu matamshi
ya mwenzao? Je Bunge kumnyamazia mbunge wa namna hiyo sio
kitendo cha kipuuzi? Nakumbuka Speaker aliyepita aliwahi
kuwafyatukia wananchi kuwa bunge linastahili kuheshimiwa
baada ya wananchi kuwashambulia wabunge kutoana na matamshi
ya ajabu. Alitumia kifungu hikihiki kinachombana Makonda.
Alizimwa na wananchi walipomvamia kwenye vyombo vya habari.
Alichofanya ilikuwa kuwabana wabunge wajiheshimu ili taswira
yao mbele ya umma wanaowakilishwa bungeni isiendelee
kudhalilika.
4 Nchi yetu; kama zilivyo nchi nyingine duniani,
inakabiliwa na janga la madawa ya kulevya. Vijana wetu
wameharibika na kwa kweli huo ni uharibifu wa nguvukazi ya
taifa. Inatarajiwa kuwa wananchi, viongozi wataungana kupiga
vita uharibifu huu. Sababu zi wazi kwa nini watu wote
kuungana. Licha ya uharibifu uliopo lakini wanufaika wana
uwezo mkubwa kumnunua yeyote. Katika vita kama hii lazima
usemi wa Bush baada ya shambulizi la Septemba 11 litumike:
"Kama hauko nasi uko kinyume nasi". Vita hii ngumu. Kuna
waliojaribu na kuishia kusema wanayo orodha ya wahusika.
Hawakutaja hata jina moja. Sasa amejitokeza kijana mdogo.
Akawa jasiri kuwataja watu wanaojihusisha na biashara hii.
Kukanyagana ni jambo la kawaida katika msafara wowote. Mtu
kuamua kuingilia safari kwa sababu ya kukanyagwa haiingii
akilini. Kitendo cha wabunge wetu kuungana kutaka mtu
aliyethubutu aondolewe kazini, si cha kawaida. Wabunge
kusema wizara husika zipo na Mkuu wa mkoa haimhusu, ni
ishara mbaya. Haiingii akilini kuwa viongozi wetu wanaweza
kuonekana wanadhoofisha juhudi za serikali kushughulikia
janga hili.
Kimsingi kila mtu anastahili heshima. Kuheshimiwa kukubwa
huanza kwa mtu kujiheshimu. Taasisi pia. Kama bunge haliwezi
kufanya upuuzi hakuna anayeweza kulidhania hivyo. Kama
wakifanya upuuzi, hata kama hakuna aliyewaita haimaanishi
kuwa sio. Kwa kuzingatia kuwa wabunge ni wanansiasa, na
ilitarajiwa wabunge kama wanasiasa kuwa waangalifu katiko
hoja zao. La sivyo licha ya kuitwa wapuuzi kwa haki,
haiwezekani wapiga kura wasitake wawakilishi wao
kuchunguzwa. Hakuna mtu anayeweza kuwaita wabunge wapuuzi
kama hawafanyi upuuzi.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

For more options, visit https://groups.google.com/d/

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment