Tuesday, 28 February 2017

Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU HII NANI MCHAWI?

Wamarekani waliungana kumtimua Rais Richard Nickson kwa sababu alikihujumu chama cha upinzani. Nilitarajia unitajie nchi ambayo ni mfumo kukihujumu chama cha upinzani. Nitakukumbusha moja kati ya matamshi ya NNape NNauye akiisifu CHADEMA kuwa imekisaidia chama chake kujirekebisha. Na Rais mstaafu JK aliwahi kusema hivyo. Uwepo wa vyama hivi ni kwa maendeleo ya nchi. Hata Botswana ambako chama Tawala kina nguvu nyingi kuliko vingine bado vinaendelea kuwepo kwa manufaa ya taifa. Ndiyo maana katika makala hii nashauri vijitahidi kuongelea sera, sio haya unayoyasikia. Ni sera zilizoipaisha CDM si kelele nyingine. Utakumbuka wakati Magufuli anaingia madarakani vyama vikipinga kila kitu. Tulivikatalia na kuvisihi kama haviwezi kusifu vikae kimya visubiri akisee. Sasa kwa utendaji wake bora anaanza kuonyesha makosa kibao. wayasemeee. Hawayaoni. Hapa ndipo waliokula ndizi tunaona kifo kimelala hapo. Kwa sababu na uhai wao ulianzia hapo
--------------------------------------------
On Tue, 2/28/17, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU HII NANI MCHAWI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 28, 2017, 9:53 AM

Mimi
nilikuwa nakurejesha kwenye madhumuni ya vyama. ukweli
unabaki kuwa ukweli "kufa kwa chama cha upinzani ni
furaha kwa chama tawala" popote duniani. Hila, fitina
na viroja viko duniani kote. Sijawahi kusikia CCM wakisifia
CHADEMA kuhusu JAMBO LOLOTE. Huo ndio ukweli vinginevyo
utakuwa na lengo la tofauti na vyama vya siasa.
Hii
haina maana kwamba watu au wanasiasa wasiongee au
wasisalimiane. Hapa nazungumzia mikakati ya vyama ndiyo
maana CCM Arusha wametimua wanachama 1500 kisa hawakuwaunga
mkono kutimiza malengo ya chama chao. Hii haina maana kuwa
wana CCM Arusha hawasalimiani na Wana CHADEMA.
Nadhani
umenielewa. Huenda ambaye hakula ndizi siyo mimi ni yule
ambaye haelewi ninachosema.
 Jovin
Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD

P. O. Box 313
Skype:
jovin.bifabusha
+255-765-010235
Karagwe,
Tanzania


On Tuesday, February
28, 2017 9:06 AM, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


fredhanskipamila@gmail.com
Sent
from Yahoo Mail on Android

On Thu, 23 Feb 2017 at
21:32, Emmanuel Muganda<emuganda@gmail.com>
wrote: Huwa nafurahi kuona ushauri kwa Chadema kutoka
kwa watu wasio wa Chadema.em
2017-02-23 5:27 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama kuna
nchi iliwahi kunufaika na siasa za vyama vingi vya siasa,
Tanzania ni moja kati ya hizo.

Nchi hii imekuwa chini ya Chama kimoja toka miaka ya 60 hadi
92 vyama vya siasa viliporuhusiwa. Chama Cha Mapinduzi,
chama chenye sera nzuri kiliharibika kwa sababu ya viongozi
wake kujisahau na kudhani hakuna wa kuking'oa madarakani.
Ufisadi ulilelewa na kujisahau huko, Upendeleo, Rushwa,
matumizi mabaya ya mali za umma na pengine kuhalalisha jinai
vilijitokeza hapa nchini na viongozi wa CCM hawakuonekana
kushtuka.

Watu walichoka. Watu waliamua. Bahati nzuri kikajitokeza
Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuonekana kuaminiwa na
wananchi kiasi cha kuamua kukikabidhiwa taifa kuliongoza
kupitia uchaguzi.

Huenda kiogozi wa kwanza kushtuka alikuwa Speaker wa Bunge
Samwel Sitta. Katika bunge la 2007 alijaribu kubeza hoja
zilizotolewaa na wabunge wa Chama hiki (CHADEMA). Hoja moja
ilitolewa na Zitto Kabwe ikihusu Kashfa ya Buzwagi. Hoja ya
List of shame ikitolewa na Dr. Slaa iliondolewa bungeni
baada ya Sitta kuibeza. Baaada ya bunge hilo kuahirishwa
wananchi walionekana wazi kuwakandia wabunge wa CCM na
kuwatukuza wabunge wa Upinzani. Hapo ndipo Sitta
alipoonyesha ukomavu kwa kuhakikisha wabunge wachache wa
upinzani wanasikilizwa. Sikumbuki vizuri kama hakuna wabunge
wa CCM waliotupiwa mayai mabovu. Watu waliamua. Wananchi
walizielewa hoja za CHADEMA na wakaziona ni mtetezi wao.

Hasira za wananchi zilijionyesha uchaguzi uliofuata 2010.
Idadi ya wabunge wa upinzani iliongezeka; na wanaojua siri
za matokeo halali ya urais sina uhakika kama wako huru
kusema ukweli na kuendelea kuwa huru.

Kipindi chote cha 2010 hadi 2015 ilidhihirika kuwa hata
wahafidhina walioamini kuwa rais Tanzania lazima atoke CCM
walikuwa wamepungua na kuwa rais angeweza kutoka nje ya CCM
katika uchaguzi wa 2015 kwa mara ya kwanza. Chama Cha
Mapinduzi kilishtuka. Yale mategemeo kuwa kila mteule wake
atashinda yalitoswa na kuamua kwenda na mabadiliko. Ndiyo
mabadiliko tunayoyaona sasa. Mabadiliko ambayo kutokana na
udhaifu wa Rais hayajaeleweka kwa wengi (Hili nalo
naliandalia makala maalum).

Toka vyama vingi vya siasa vianze hapa nchini tumeshuhudia
vyama vya siasa vikiibuka na kuzama. Tunakumbuka jinsi
ambavyo NCCR Mageuzi kilivyotetemesha siasa za vyama vingi
1995. Mwaka ule ilibidi kutumia nguvu ya akiba kuhakikisha
CCM inashinda. Baadaye NCCR mageuzi iliyeyuka na kuishia.
Kikaibuka chama cha Wananchi-CUF. Hata kama hakikufika
ilipofika NCCR Mageuzi lakini inafahamika kazi yake Bungeni
na mitaani. Vyama hivi kwa jinsi vilivyodhoofika, CCM
haiwezi kujifanya takatifu. Kuna hisia baina ya watanzania
kuwa CCM imetumia hata vyombo vya dola kudhoofisha nguvu ya
vyama hivi. Nakubaliana na hisia hizo na nilipendekeza
katiba mpya iliangalie hilo, (la taasisi moja kudhoofisha
nyingine). Bado natafakari na sijaamini kuwa mgogoro
unaoendelea ndani ya CUF ni njama za kupindisha agenda ya
CUF kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.

CHADEMA sasa inadhoofika. Udhaifu wake unaonekana wazi kwa
wanaotaka kuuona. Kitu kimoja tunachokubaliana haraka ni
hiki: CHADEMA haina inaloliongea linalohusu wananchi.
Imejikita katika kutetea maslahi ya viongozi wa chama, na
kujitahidi kulumbana na uongozi (serikali) uliopo kazini
(madarakani). Huu ni udhaifu mkubwa sana. Lakini ni hujuma
kutoka wapi? Ni CCM inaihujumu CHADEMA? Ni vizuri
kutoharakisha kujibu swali hili ila kwa hoja makini.

Lakini ninataka kujielekeza mahala ninapoona CHADEMA
imeanzia kuteleza. Toka 2010 mpaka muda mfupi kabla ya
uchaguzi CHADEMA ilionekana kama chama chenye raslimali watu
wenye uwezo wa kuliongoza taifa. Kitendo cha kujitokeza
kumchukua mgombea urais kutoka nje ya Chama katika uchaguzi
wa 2015; tena mgombea ambaye chama chenyewe kiliwahi
kumshtaki kama mmoja wa mafisadi wakubwa. Na sababu hiyo
ikawa sababu ya CCM kumuendua. Sasa CHADEMA kumchukua;
ilikuwa ishara kuwa chama hicho hakikiwa na mtu aliyestahili
kugombea urais. Kwa siasa za Tanzania hili ni tatizo kubwa
sana. Wakati uvumi ukipita kuwa CHADEMA inaweza kumtawaza
mtu nje ya wanachama wake kugombea urais tulijitahidi bila
mafanikio kuzuia janga hilo. Nakumbuka kuandika mahala kuwa
CHADEMA iliyoshindwa ikiwa imemsimika Dr. Slaa itakuwa imara
kuliko ile itakayoshindwa ikiwa imemsimika mgombea kutoka
CCM. Sijui viongozi walilewa nini? Hawakusikia.

Katika kampeni za uchaguzi, watu walikuwa wanakusanyika
kusikiliza sera. CHADEMA iliyokuwa imevuma kwa kuongelea
matatizo yanayogusa hisia za watu ilikosa hicho. Ikafika
mahala watu wakawa wanaangalia wingi wa watu kwenye mikutano
kuwa tumaini la ushindi, badala ya nini kimeongelewa kwenye
mikutano hiyo. CHADEMA ikashindwa. Kulikuwa na hoja zisemazo
kiongozi Fulani wa CHADEMA ameuza chama kwa shilingi bilioni
kumi. Badala ya kujibu hoja zikawa zinaachwa. Hii
ikakigarimu chama kushindwa na kama kawaida kuanza kelele za
'nimeibiwa'.

Baada ya uchaguzi CHADEMA tuliyoizoea hatuioni tena. Busara
ya kujua watu wanataka nini na kusemea hilo haionekani tena.
Mikutano ambayo baadaye ilizuiliwa wala haikulenga kuongelea
wananchi wana shida gani. Bungeni mpaka linaacha kuonekana
live viongozi wetu walionekana kuikandia serikali badala ya
kuikosoa na kuisahoihisha. Wengine tukawa tunauliza kama
kuikashfu na kuishambulia serikali ni sehemu ya kuishauri na
kuisimamia? Mfano mmojawapo ni hali ya chakula nchini.
CHADEMA inaona nchi itangaze janga na taifa liombe msaada wa
chakula baada ya ukame wa mwaka mmoja katika sehemu za
taifa. Sudan Kusini ina myaka mitatu ya ukame ndipo
inatangaza janga. Tanzania inao upungufu mkubwa wa chakula.
Kutokana na ukame. Mvua zinanyesha sehemu kubwa ya nchi hii.
Mvua hizi zinaweza kuwa chache. Serikali imesema na
inahimiza watu walime mazao ya muda mfupi. Upinzani ulikuwa
na wajibu wa kuibana serikali kutoa mbegu. Hii ingeepusha
taifa kukabiliwa na njaa ambayo sasa haipo. Haya. Kwa sasa
viongozi Fulani wa CHADEMA wanaona fahari kukamatwa na
Polisi na kuhojiwa. Matamshi yao ni wazi kuwa wana chuki
binafsi na watu Fulani ndani ya serikali. Kwa herufi kubwa
KAMWE HUU HAUWEZI KUWA NDIO UPINZANI.

Kama CHADEMA si mali ya mtu inatarajiwa kuwa itakaa chini na
kufanya tathmini. Mwisho wake tutaona mabadiliko makubwa
katika safu za uongozi wa chama hiki. Vingine basi huu ndio
mwisho wake. Hivi ni CCM kweli inahihujumu? Kama jibu ni
ndiyo basi ni ukaidi wa CHADEMA kukaidi ushauri wetu
kutopokea wakimbizi. Nani anajua kama kati yao kuna
waliotumwa kwa kazi maalum? Vinginevyo Mchawi wa zamu hii ni
njaa ya viongozi wake wakuu.

Elisa Muhingo

0767 187 507

       --

   

      

   



       Send Emails to wana...@googlegroups.com

   

      

   



        

   

      

   

   

     Kujiondoa Tuma Email kwenda

   

      

   

   

     wanabidii+...@ googlegroups.com 

   



      Utapata Email ya

   



       kudhibitisha ukishatuma

   

      

   



        

   

      

   

   

     Disclaimer:

   

      



   

       Everyone

  posting to this Forum bears

    the sole

   

      responsibility

   

       for any legal

  consequences of his or

    her postings,

   

     and

   



      hence

   

       statements and facts must be

  presented

    responsibly.

   



     Your

   

       continued membership signifies that

    you agree to

   

     this

   

       disclaimer and pledge to abide by

  our

    Rules and

   

      Guidelines.

   

      

   

   

     ---

   

      

   

       You received this

  message because you

    are subscribed

   

     to

   



      the

   

       Google Groups "Wanabidii"

    group.

   

      

   

   

     To unsubscribe from this group and

   

  stop receiving

   

   

   emails

   

       from

  it, send an email to wanabidii+...@

   

  googlegroups.com.

   

   

    

   

       For more

  options, visit

   

      https://groups.google.com/d/

    optout.

   

      

   

   



   

   

   



    --

   

    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

     

   



    Kujiondoa Tuma Email kwenda

   

    wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com 

   Utapata Email ya

   

  kudhibitisha ukishatuma

   

     

   

   

  Disclaimer:

   

    Everyone

  posting to this Forum bears the sole



  responsibility

    for any legal consequences

  of his or her postings, and

   hence

    statements and facts must be presented

  responsibly. Your

    continued membership

  signifies that you agree to this

   

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

    Guidelines.

   

    ---

   

   

  You received this message because you are subscribed
to

   the

    Google Groups

  "Wanabidii" group.

   

    To unsubscribe from this group and stop

  receiving emails

    from it, send an email

  to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

   

    For more options,

  visit



  https://groups.google.com/d/
optout.

 
 



    





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment