Tuesday, 28 February 2017

Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU HII NANI MCHAWI?

Emmanuel. Inaonekana mlipokimbia Bukoba hamkukimbia na malighafi kichwani. Mimi hili sihitaji kumwambia Magufuli. Namwambia aliyesema ulimwenguni kote Vyama tawala hutaka vyama vya upinzani vife. Ndiye nikamwambia habari za Nickson ambaye alipingwa na watu wote regardles of vyama vyao kwa kulenga kukihujumu chama cha upinzani. Hii inahusiana vipi na Magufuli??? Go to the point in question and hit there. narudia magufuli hakuzuia shughuli za vyama. Alizuia mikutano ya kikampein wakati wa utekelezaji wa yaliyoongelewa kwenye mikutano. If things are adressed subjectively upotoshaji unakuwa mkubwa. kati ya mambo ambayo nataka kuandika kuhusu Magufuli kuvurunda ni idara ya urais inayoohusu taarifa kwa umma. Panapwayasana kiasi upotoshaji unakaa vichwani mwa watu kuliko ukweli.
--------------------------------------------
On Tue, 2/28/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU HII NANI MCHAWI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 28, 2017, 10:24 PM

Hayo
ungemweleza Magufuli ambaye anadhani kuwa vyama vya upinzani
havipaswi kuendesha shughuli zao mpaka 2020. Ana haki gani
ya kupiga marufuku mikutano ya
wapinzani?em
2017-02-28 9:41 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wamarekani waliungana kumtimua Rais
Richard Nickson kwa sababu alikihujumu chama cha upinzani.
Nilitarajia unitajie nchi ambayo ni mfumo kukihujumu chama
cha upinzani. Nitakukumbusha moja kati ya matamshi ya NNape
NNauye akiisifu CHADEMA kuwa imekisaidia chama chake
kujirekebisha. Na Rais mstaafu JK aliwahi kusema hivyo.
Uwepo wa vyama hivi ni kwa maendeleo ya nchi. Hata Botswana
ambako chama Tawala kina nguvu nyingi kuliko vingine bado
vinaendelea kuwepo kwa manufaa ya taifa. Ndiyo maana katika
makala hii nashauri vijitahidi kuongelea sera, sio haya
unayoyasikia. Ni sera zilizoipaisha CDM si kelele nyingine.
Utakumbuka wakati Magufuli anaingia madarakani vyama
vikipinga kila kitu. Tulivikatalia na kuvisihi kama haviwezi
kusifu vikae kimya visubiri akisee. Sasa kwa utendaji wake
bora anaanza kuonyesha makosa kibao. wayasemeee. Hawayaoni.
Hapa ndipo waliokula ndizi tunaona kifo kimelala hapo. Kwa
sababu na uhai wao ulianzia hapo

------------------------------ --------------

On Tue, 2/28/17, 'Jovi
kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU
HII NANI MCHAWI?

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Tuesday, February 28, 2017, 9:53 AM



 Mimi

 nilikuwa nakurejesha kwenye madhumuni ya vyama. ukweli

 unabaki kuwa ukweli "kufa kwa chama cha upinzani
ni

 furaha kwa chama tawala" popote duniani. Hila,
fitina

 na viroja viko duniani kote. Sijawahi kusikia CCM
wakisifia

 CHADEMA kuhusu JAMBO LOLOTE. Huo ndio ukweli vinginevyo

 utakuwa na lengo la tofauti na vyama vya siasa.

 Hii

 haina maana kwamba watu au wanasiasa wasiongee au

 wasisalimiane. Hapa nazungumzia mikakati ya vyama ndiyo

 maana CCM Arusha wametimua wanachama 1500 kisa
hawakuwaunga

 mkono kutimiza malengo ya chama chao. Hii haina maana
kuwa

 wana CCM Arusha hawasalimiani na Wana CHADEMA.

 Nadhani

 umenielewa. Huenda ambaye hakula ndizi siyo mimi ni
yule

 ambaye haelewi ninachosema.

  Jovin

 Bifabusha

 DIRECTOR

  KWFF LTD



 P. O. Box 313

 Skype:

 jovin.bifabusha

 +255-765-010235

 Karagwe,

 Tanzania





    On Tuesday, February

 28, 2017 9:06 AM, 'Fred Hans Kipamila' via
Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:





  fredhanskipamila@gmail.com

 Sent

 from Yahoo Mail on Android



   On Thu, 23 Feb 2017 at

 21:32, Emmanuel Muganda<emuganda@gmail.com>

 wrote:   Huwa nafurahi kuona ushauri kwa Chadema
kutoka

 kwa watu wasio wa Chadema.em

 2017-02-23 5:27 GMT-05:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Kama kuna

 nchi iliwahi kunufaika na siasa za vyama vingi vya
siasa,

 Tanzania ni moja kati ya hizo.



 Nchi hii imekuwa chini ya Chama kimoja toka miaka ya 60
hadi

 92 vyama vya siasa viliporuhusiwa. Chama Cha Mapinduzi,

 chama chenye sera nzuri kiliharibika kwa sababu ya
viongozi

 wake kujisahau na kudhani hakuna wa kuking'oa
madarakani.

 Ufisadi ulilelewa na kujisahau huko, Upendeleo, Rushwa,

 matumizi mabaya ya mali za umma na pengine kuhalalisha
jinai

 vilijitokeza hapa nchini na viongozi wa CCM
hawakuonekana

 kushtuka.



 Watu walichoka. Watu waliamua. Bahati nzuri
kikajitokeza

 Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuonekana kuaminiwa
na

 wananchi kiasi cha kuamua kukikabidhiwa taifa
kuliongoza

 kupitia uchaguzi.



 Huenda kiogozi wa kwanza kushtuka alikuwa Speaker wa
Bunge

 Samwel Sitta. Katika bunge la 2007 alijaribu kubeza
hoja

 zilizotolewaa na wabunge wa Chama hiki (CHADEMA). Hoja
moja

 ilitolewa na Zitto Kabwe ikihusu Kashfa ya Buzwagi. Hoja
ya

 List of shame ikitolewa na Dr. Slaa iliondolewa bungeni

 baada ya Sitta kuibeza. Baaada ya bunge hilo
kuahirishwa

 wananchi walionekana wazi kuwakandia wabunge wa CCM na

 kuwatukuza wabunge wa Upinzani. Hapo ndipo Sitta

 alipoonyesha ukomavu kwa kuhakikisha wabunge wachache
wa

 upinzani wanasikilizwa. Sikumbuki vizuri kama hakuna
wabunge

 wa CCM waliotupiwa mayai mabovu. Watu waliamua.
Wananchi

 walizielewa hoja za CHADEMA na wakaziona ni mtetezi
wao.



 Hasira za wananchi zilijionyesha uchaguzi uliofuata
2010.

 Idadi ya wabunge wa upinzani iliongezeka; na wanaojua
siri

 za matokeo halali ya urais sina uhakika kama wako huru

 kusema ukweli na kuendelea kuwa huru.



 Kipindi chote cha 2010 hadi 2015 ilidhihirika kuwa hata

 wahafidhina walioamini kuwa rais Tanzania lazima atoke
CCM

 walikuwa wamepungua na kuwa rais angeweza kutoka nje ya
CCM

 katika uchaguzi wa 2015 kwa mara ya kwanza. Chama Cha

 Mapinduzi kilishtuka. Yale mategemeo kuwa kila mteule
wake

 atashinda yalitoswa na kuamua kwenda na mabadiliko.
Ndiyo

 mabadiliko tunayoyaona sasa. Mabadiliko ambayo kutokana
na

 udhaifu wa Rais hayajaeleweka kwa wengi (Hili nalo

 naliandalia makala maalum).



 Toka vyama vingi vya siasa vianze hapa nchini
tumeshuhudia

 vyama vya siasa vikiibuka na kuzama. Tunakumbuka jinsi

 ambavyo NCCR Mageuzi kilivyotetemesha siasa za vyama
vingi

 1995. Mwaka ule ilibidi kutumia nguvu ya akiba
kuhakikisha

 CCM inashinda. Baadaye NCCR mageuzi iliyeyuka na
kuishia.

 Kikaibuka chama cha Wananchi-CUF. Hata kama hakikufika

 ilipofika NCCR Mageuzi lakini inafahamika kazi yake
Bungeni

 na mitaani. Vyama hivi kwa jinsi vilivyodhoofika, CCM

 haiwezi kujifanya takatifu. Kuna hisia baina ya
watanzania

 kuwa CCM imetumia hata vyombo vya dola kudhoofisha nguvu
ya

 vyama hivi. Nakubaliana na hisia hizo na nilipendekeza

 katiba mpya iliangalie hilo, (la taasisi moja
kudhoofisha

 nyingine). Bado natafakari na sijaamini kuwa mgogoro

 unaoendelea ndani ya CUF ni njama za kupindisha agenda
ya

 CUF kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.



 CHADEMA sasa inadhoofika. Udhaifu wake unaonekana wazi
kwa

 wanaotaka kuuona. Kitu kimoja tunachokubaliana haraka
ni

 hiki: CHADEMA haina inaloliongea linalohusu wananchi.

 Imejikita katika kutetea maslahi ya viongozi wa chama,
na

 kujitahidi kulumbana na uongozi (serikali) uliopo
kazini

 (madarakani). Huu ni udhaifu mkubwa sana. Lakini ni
hujuma

 kutoka wapi? Ni CCM inaihujumu CHADEMA? Ni vizuri

 kutoharakisha kujibu swali hili ila kwa hoja makini.



 Lakini ninataka kujielekeza mahala ninapoona CHADEMA

 imeanzia kuteleza. Toka 2010 mpaka muda mfupi kabla ya

 uchaguzi CHADEMA ilionekana kama chama chenye raslimali
watu

 wenye uwezo wa kuliongoza taifa. Kitendo cha kujitokeza

 kumchukua mgombea urais kutoka nje ya Chama katika
uchaguzi

 wa 2015; tena mgombea ambaye chama chenyewe kiliwahi

 kumshtaki kama mmoja wa mafisadi wakubwa. Na sababu
hiyo

 ikawa sababu ya CCM kumuendua. Sasa CHADEMA kumchukua;

 ilikuwa ishara kuwa chama hicho hakikiwa na mtu
aliyestahili

 kugombea urais. Kwa siasa za Tanzania hili ni tatizo
kubwa

 sana. Wakati uvumi ukipita kuwa CHADEMA inaweza
kumtawaza

 mtu nje ya wanachama wake kugombea urais tulijitahidi
bila

 mafanikio kuzuia janga hilo. Nakumbuka kuandika mahala
kuwa

 CHADEMA iliyoshindwa ikiwa imemsimika Dr. Slaa itakuwa
imara

 kuliko ile itakayoshindwa ikiwa imemsimika mgombea
kutoka

 CCM. Sijui viongozi walilewa nini? Hawakusikia.



 Katika kampeni za uchaguzi, watu walikuwa wanakusanyika

 kusikiliza sera. CHADEMA iliyokuwa imevuma kwa
kuongelea

 matatizo yanayogusa hisia za watu ilikosa hicho.
Ikafika

 mahala watu wakawa wanaangalia wingi wa watu kwenye
mikutano

 kuwa tumaini la ushindi, badala ya nini kimeongelewa
kwenye

 mikutano hiyo. CHADEMA ikashindwa. Kulikuwa na hoja
zisemazo

 kiongozi Fulani wa CHADEMA ameuza chama kwa shilingi
bilioni

 kumi. Badala ya kujibu hoja zikawa zinaachwa. Hii

 ikakigarimu chama kushindwa na kama kawaida kuanza kelele
za

 'nimeibiwa'.



 Baada ya uchaguzi CHADEMA tuliyoizoea hatuioni tena.
Busara

 ya kujua watu wanataka nini na kusemea hilo haionekani
tena.

 Mikutano ambayo baadaye ilizuiliwa wala haikulenga
kuongelea

 wananchi wana shida gani. Bungeni mpaka linaacha
kuonekana

 live viongozi wetu walionekana kuikandia serikali badala
ya

 kuikosoa na kuisahoihisha. Wengine tukawa tunauliza
kama

 kuikashfu na kuishambulia serikali ni sehemu ya kuishauri
na

 kuisimamia? Mfano mmojawapo ni hali ya chakula nchini.

 CHADEMA inaona nchi itangaze janga na taifa liombe msaada
wa

 chakula baada ya ukame wa mwaka mmoja katika sehemu za

 taifa. Sudan Kusini ina myaka mitatu ya ukame ndipo

 inatangaza janga. Tanzania inao upungufu mkubwa wa
chakula.

 Kutokana na ukame. Mvua zinanyesha sehemu kubwa ya nchi
hii.

 Mvua hizi zinaweza kuwa chache. Serikali imesema na

 inahimiza watu walime mazao ya muda mfupi. Upinzani
ulikuwa

 na wajibu wa kuibana serikali kutoa mbegu. Hii
ingeepusha

 taifa kukabiliwa na njaa ambayo sasa haipo. Haya. Kwa
sasa

 viongozi Fulani wa CHADEMA wanaona fahari kukamatwa na

 Polisi na kuhojiwa. Matamshi yao ni wazi kuwa wana
chuki

 binafsi na watu Fulani ndani ya serikali. Kwa herufi
kubwa

 KAMWE HUU HAUWEZI KUWA NDIO UPINZANI.



 Kama CHADEMA si mali ya mtu inatarajiwa kuwa itakaa chini
na

 kufanya tathmini. Mwisho wake tutaona mabadiliko
makubwa

 katika safu za uongozi wa chama hiki. Vingine basi huu
ndio

 mwisho wake. Hivi ni CCM kweli inahihujumu? Kama jibu
ni

 ndiyo basi ni ukaidi wa CHADEMA kukaidi ushauri wetu

 kutopokea wakimbizi. Nani anajua kama kati yao kuna

 waliotumwa kwa kazi maalum? Vinginevyo Mchawi wa zamu hii
ni

 njaa ya viongozi wake wakuu.



 Elisa Muhingo



 0767 187 507



        --



    



       



    







        Send Emails to wana...@googlegroups.com



    



       



    







         



    



       



    



    



      Kujiondoa Tuma Email kwenda



    



       



    



    



      wanabidii+...@ googlegroups.com 



    







       Utapata Email ya



    







        kudhibitisha ukishatuma



    



       



    







         



    



       



    



    



      Disclaimer:



    



       







    



        Everyone



   posting to this Forum bears



     the sole



    



       responsibility



    



        for any legal



   consequences of his or



     her postings,



    



      and



    







       hence



    



        statements and facts must be



   presented



     responsibly.



    







      Your



    



        continued membership signifies that



     you agree to



    



      this



    



        disclaimer and pledge to abide by



   our



     Rules and



    



       Guidelines.



    



       



    



    



      ---



    



       



    



        You received this



   message because you



     are subscribed



    



      to



    







       the



    



        Google Groups "Wanabidii"



     group.



    



       



    



    



      To unsubscribe from this group and



    



   stop receiving



    



    



    emails



    



        from



   it, send an email to wanabidii+...@



    



   googlegroups.com.



    



    



     



    



        For more



   options, visit



    



       https://groups.google.com/d/



     optout.



    



       



    



    







    



    



    







     --



    



     Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



    



      



    







     Kujiondoa Tuma Email kwenda



    



     wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 



    Utapata Email ya



    



   kudhibitisha ukishatuma



    



      



    



    



   Disclaimer:



    



     Everyone



   posting to this Forum bears the sole







   responsibility



     for any legal consequences



   of his or her postings, and



    hence



     statements and facts must be presented



   responsibly. Your



     continued membership



   signifies that you agree to this



    



   disclaimer and pledge to abide by our Rules and



     Guidelines.



    



     ---



    



    



   You received this message because you are subscribed

 to



    the



     Google Groups



   "Wanabidii" group.



    



     To unsubscribe from this group and stop



   receiving emails



     from it, send an email



   to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



    



     For more options,



   visit







   https://groups.google.com/d/

 optout.



  

  







     











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.









 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment