Lengo la chama chochote ni kushika dola nashangaa kuona Muhingo Kada wa CCM wa kujitegemea anataka vyama vingine visife.
Kwa akili yako unadhani Marufuku ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa ni kuokoa vyama vingine mbadala visife?.
Jovin Bifabusha
DIRECTOR KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
+255-765-010235
Karagwe,
Tanzania
DIRECTOR KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
+255-765-010235
Karagwe,
Tanzania
On Sunday, February 26, 2017 9:00 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Self projection. Wenye matatizo ni wale wanaotamani au wanaochukua hatua za kuua upinzani.
-- Akiwemo Magufuli.
em
2017-02-26 4:22 GMT-05:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Una matatizo kuliko nilivyofikiri.
------------------------------ --------------
On Sat, 2/25/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU HII NANI MCHAWI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, February 25, 2017, 9:40 PM
Upinzani
umekufa katika fikra zako tu. Labda na Magufuli.em
2017-02-25 10:53 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kila mtu
mwenye ufahamu anafurahishwa na hilo. Ni kama wachezaji
kumsikiliza mtazamaji. Ni busara kubwa. aliye nje ni rahisi
kuona makosa.
----------------------------- - --------------
On Thu, 2/23/17, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU
HII NANI MCHAWI?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 23, 2017, 9:32 PM
Huwa
nafurahi kuona ushauri kwa Chadema kutoka kwa watu
wasio
wa Chadema.em
2017-02-23 5:27 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama kuna
nchi iliwahi kunufaika na siasa za vyama vingi vya
siasa,
Tanzania ni moja kati ya hizo.
Nchi hii imekuwa chini ya Chama kimoja toka miaka ya 60
hadi
92 vyama vya siasa viliporuhusiwa. Chama Cha Mapinduzi,
chama chenye sera nzuri kiliharibika kwa sababu ya
viongozi
wake kujisahau na kudhani hakuna wa kuking'oa
madarakani.
Ufisadi ulilelewa na kujisahau huko, Upendeleo, Rushwa,
matumizi mabaya ya mali za umma na pengine kuhalalisha
jinai
vilijitokeza hapa nchini na viongozi wa CCM
hawakuonekana
kushtuka.
Watu walichoka. Watu waliamua. Bahati nzuri
kikajitokeza
Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuonekana kuaminiwa
na
wananchi kiasi cha kuamua kukikabidhiwa taifa
kuliongoza
kupitia uchaguzi.
Huenda kiogozi wa kwanza kushtuka alikuwa Speaker wa
Bunge
Samwel Sitta. Katika bunge la 2007 alijaribu kubeza
hoja
zilizotolewaa na wabunge wa Chama hiki (CHADEMA). Hoja
moja
ilitolewa na Zitto Kabwe ikihusu Kashfa ya Buzwagi. Hoja
ya
List of shame ikitolewa na Dr. Slaa iliondolewa bungeni
baada ya Sitta kuibeza. Baaada ya bunge hilo
kuahirishwa
wananchi walionekana wazi kuwakandia wabunge wa CCM na
kuwatukuza wabunge wa Upinzani. Hapo ndipo Sitta
alipoonyesha ukomavu kwa kuhakikisha wabunge wachache
wa
upinzani wanasikilizwa. Sikumbuki vizuri kama hakuna
wabunge
wa CCM waliotupiwa mayai mabovu. Watu waliamua.
Wananchi
walizielewa hoja za CHADEMA na wakaziona ni mtetezi
wao.
Hasira za wananchi zilijionyesha uchaguzi uliofuata
2010.
Idadi ya wabunge wa upinzani iliongezeka; na wanaojua
siri
za matokeo halali ya urais sina uhakika kama wako huru
kusema ukweli na kuendelea kuwa huru.
Kipindi chote cha 2010 hadi 2015 ilidhihirika kuwa hata
wahafidhina walioamini kuwa rais Tanzania lazima atoke
CCM
walikuwa wamepungua na kuwa rais angeweza kutoka nje ya
CCM
katika uchaguzi wa 2015 kwa mara ya kwanza. Chama Cha
Mapinduzi kilishtuka. Yale mategemeo kuwa kila mteule
wake
atashinda yalitoswa na kuamua kwenda na mabadiliko.
Ndiyo
mabadiliko tunayoyaona sasa. Mabadiliko ambayo kutokana
na
udhaifu wa Rais hayajaeleweka kwa wengi (Hili nalo
naliandalia makala maalum).
Toka vyama vingi vya siasa vianze hapa nchini
tumeshuhudia
vyama vya siasa vikiibuka na kuzama. Tunakumbuka jinsi
ambavyo NCCR Mageuzi kilivyotetemesha siasa za vyama
vingi
1995. Mwaka ule ilibidi kutumia nguvu ya akiba
kuhakikisha
CCM inashinda. Baadaye NCCR mageuzi iliyeyuka na
kuishia.
Kikaibuka chama cha Wananchi-CUF. Hata kama hakikufika
ilipofika NCCR Mageuzi lakini inafahamika kazi yake
Bungeni
na mitaani. Vyama hivi kwa jinsi vilivyodhoofika, CCM
haiwezi kujifanya takatifu. Kuna hisia baina ya
watanzania
kuwa CCM imetumia hata vyombo vya dola kudhoofisha nguvu
ya
vyama hivi. Nakubaliana na hisia hizo na nilipendekeza
katiba mpya iliangalie hilo, (la taasisi moja
kudhoofisha
nyingine). Bado natafakari na sijaamini kuwa mgogoro
unaoendelea ndani ya CUF ni njama za kupindisha agenda
ya
CUF kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.
CHADEMA sasa inadhoofika. Udhaifu wake unaonekana wazi
kwa
wanaotaka kuuona. Kitu kimoja tunachokubaliana haraka
ni
hiki: CHADEMA haina inaloliongea linalohusu wananchi.
Imejikita katika kutetea maslahi ya viongozi wa chama,
na
kujitahidi kulumbana na uongozi (serikali) uliopo
kazini
(madarakani). Huu ni udhaifu mkubwa sana. Lakini ni
hujuma
kutoka wapi? Ni CCM inaihujumu CHADEMA? Ni vizuri
kutoharakisha kujibu swali hili ila kwa hoja makini.
Lakini ninataka kujielekeza mahala ninapoona CHADEMA
imeanzia kuteleza. Toka 2010 mpaka muda mfupi kabla ya
uchaguzi CHADEMA ilionekana kama chama chenye raslimali
watu
wenye uwezo wa kuliongoza taifa. Kitendo cha kujitokeza
kumchukua mgombea urais kutoka nje ya Chama katika
uchaguzi
wa 2015; tena mgombea ambaye chama chenyewe kiliwahi
kumshtaki kama mmoja wa mafisadi wakubwa. Na sababu
hiyo
ikawa sababu ya CCM kumuendua. Sasa CHADEMA kumchukua;
ilikuwa ishara kuwa chama hicho hakikiwa na mtu
aliyestahili
kugombea urais. Kwa siasa za Tanzania hili ni tatizo
kubwa
sana. Wakati uvumi ukipita kuwa CHADEMA inaweza
kumtawaza
mtu nje ya wanachama wake kugombea urais tulijitahidi
bila
mafanikio kuzuia janga hilo. Nakumbuka kuandika mahala
kuwa
CHADEMA iliyoshindwa ikiwa imemsimika Dr. Slaa itakuwa
imara
kuliko ile itakayoshindwa ikiwa imemsimika mgombea
kutoka
CCM. Sijui viongozi walilewa nini? Hawakusikia.
Katika kampeni za uchaguzi, watu walikuwa wanakusanyika
kusikiliza sera. CHADEMA iliyokuwa imevuma kwa
kuongelea
matatizo yanayogusa hisia za watu ilikosa hicho.
Ikafika
mahala watu wakawa wanaangalia wingi wa watu kwenye
mikutano
kuwa tumaini la ushindi, badala ya nini kimeongelewa
kwenye
mikutano hiyo. CHADEMA ikashindwa. Kulikuwa na hoja
zisemazo
kiongozi Fulani wa CHADEMA ameuza chama kwa shilingi
bilioni
kumi. Badala ya kujibu hoja zikawa zinaachwa. Hii
ikakigarimu chama kushindwa na kama kawaida kuanza kelele
za
'nimeibiwa'.
Baada ya uchaguzi CHADEMA tuliyoizoea hatuioni tena.
Busara
ya kujua watu wanataka nini na kusemea hilo haionekani
tena.
Mikutano ambayo baadaye ilizuiliwa wala haikulenga
kuongelea
wananchi wana shida gani. Bungeni mpaka linaacha
kuonekana
live viongozi wetu walionekana kuikandia serikali badala
ya
kuikosoa na kuisahoihisha. Wengine tukawa tunauliza
kama
kuikashfu na kuishambulia serikali ni sehemu ya kuishauri
na
kuisimamia? Mfano mmojawapo ni hali ya chakula nchini.
CHADEMA inaona nchi itangaze janga na taifa liombe msaada
wa
chakula baada ya ukame wa mwaka mmoja katika sehemu za
taifa. Sudan Kusini ina myaka mitatu ya ukame ndipo
inatangaza janga. Tanzania inao upungufu mkubwa wa
chakula.
Kutokana na ukame. Mvua zinanyesha sehemu kubwa ya nchi
hii.
Mvua hizi zinaweza kuwa chache. Serikali imesema na
inahimiza watu walime mazao ya muda mfupi. Upinzani
ulikuwa
na wajibu wa kuibana serikali kutoa mbegu. Hii
ingeepusha
taifa kukabiliwa na njaa ambayo sasa haipo. Haya. Kwa
sasa
viongozi Fulani wa CHADEMA wanaona fahari kukamatwa na
Polisi na kuhojiwa. Matamshi yao ni wazi kuwa wana
chuki
binafsi na watu Fulani ndani ya serikali. Kwa herufi
kubwa
KAMWE HUU HAUWEZI KUWA NDIO UPINZANI.
Kama CHADEMA si mali ya mtu inatarajiwa kuwa itakaa chini
na
kufanya tathmini. Mwisho wake tutaona mabadiliko
makubwa
katika safu za uongozi wa chama hiki. Vingine basi huu
ndio
mwisho wake. Hivi ni CCM kweli inahihujumu? Kama jibu
ni
ndiyo basi ni ukaidi wa CHADEMA kukaidi ushauri wetu
kutopokea wakimbizi. Nani anajua kama kati yao kuna
waliotumwa kwa kazi maalum? Vinginevyo Mchawi wa zamu hii
ni
njaa ya viongozi wake wakuu.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googleg roups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr oups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op tout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegr oups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr oups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op tout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment