Maskini bifabusha. Maskini vijana wa kizazi hiki! Kwa mawazo yako mtanzania mwenye akili kama mimi anaweza kutamani chama cha upinzani kufa?? Soma tena makala yangu utaelewa mimi ni nani! Vichukulie vyama kama makampuni ya mabasi. Ukipanda Bunda Express unatamani magari ya OTA yaanguke? Kesho utapanda nini? Leo kulikuwa na gazeti limeona ni muhimu kumnukuu Ridhiwani akisema JK na lowasa wanawasiliana. Hii ni habari eti Isiyo habari ni kuwa wanagombana, hawasalimiani. magazeti kama haya yalishangaa kukuta Mstaafu Bush na Obama wanakutana na kusalimiana wakiwa Tanzania. Walishangaa kwa sababu huyu ni mrepublican na huyu ni Mdemocrat. Hao ndio wanaoniona mimi muumini wa sera za CCM kuandika makala ya kulalamikia kifo cha upinzani kwa sababu wanafikiri nilistahili kushabikia? Wengine wanafikiri naongea kinafiki! Lakini kibaya sana ni kukuta na wewe hulielewi hili? Ulikula ndizi utotoni kweli?
Elisa Muhingo
Mtanzania
--------------------------------------------
On Mon, 2/27/17, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA: ZAMU HII NANI MCHAWI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, February 27, 2017, 9:38 AM
Lengo la
chama chochote ni kushika dola nashangaa kuona Muhingo Kada
wa CCM wa kujitegemea anataka vyama vingine
visife.
Kwa akili
yako unadhani Marufuku ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa
ni kuokoa vyama vingine mbadala visife?.
Jovin
Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
+255-765-010235
Karagwe,
Tanzania
On Sunday, February 26, 2017 9:00 PM,
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Self projection.
Wenye matatizo ni wale wanaotamani au wanaochukua hatua za
kuua upinzani.Akiwemo Magufuli.em
2017-02-26 4:22 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Una
matatizo kuliko nilivyofikiri.
------------------------------ --------------
On Sat, 2/25/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI TANZANIA:
ZAMU HII NANI MCHAWI?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, February 25, 2017, 9:40 PM
Upinzani
umekufa katika fikra zako tu. Labda na
Magufuli.em
2017-02-25 10:53 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kila mtu
mwenye ufahamu anafurahishwa na hilo. Ni kama
wachezaji
kumsikiliza mtazamaji. Ni busara kubwa. aliye nje ni
rahisi
kuona makosa.
----------------------------- - --------------
On Thu, 2/23/17, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA UPINZANI
TANZANIA: ZAMU
HII NANI MCHAWI?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 23, 2017, 9:32 PM
Huwa
nafurahi kuona ushauri kwa Chadema
kutoka kwa watu
wasio
wa Chadema.em
2017-02-23 5:27 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama kuna
nchi iliwahi kunufaika na siasa za vyama vingi
vya
siasa,
Tanzania ni moja kati ya hizo.
Nchi hii imekuwa chini ya Chama kimoja toka
miaka ya 60
hadi
92 vyama vya siasa viliporuhusiwa. Chama Cha
Mapinduzi,
chama chenye sera nzuri kiliharibika kwa sababu
ya
viongozi
wake kujisahau na kudhani hakuna wa
kuking'oa
madarakani.
Ufisadi ulilelewa na kujisahau huko, Upendeleo,
Rushwa,
matumizi mabaya ya mali za umma na pengine
kuhalalisha
jinai
vilijitokeza hapa nchini na viongozi wa CCM
hawakuonekana
kushtuka.
Watu walichoka. Watu waliamua. Bahati nzuri
kikajitokeza
Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuonekana
kuaminiwa
na
wananchi kiasi cha kuamua kukikabidhiwa taifa
kuliongoza
kupitia uchaguzi.
Huenda kiogozi wa kwanza kushtuka alikuwa
Speaker wa
Bunge
Samwel Sitta. Katika bunge la 2007 alijaribu
kubeza
hoja
zilizotolewaa na wabunge wa Chama hiki
(CHADEMA). Hoja
moja
ilitolewa na Zitto Kabwe ikihusu Kashfa ya
Buzwagi. Hoja
ya
List of shame ikitolewa na Dr. Slaa iliondolewa
bungeni
baada ya Sitta kuibeza. Baaada ya bunge hilo
kuahirishwa
wananchi walionekana wazi kuwakandia wabunge wa
CCM na
kuwatukuza wabunge wa Upinzani. Hapo ndipo
Sitta
alipoonyesha ukomavu kwa kuhakikisha wabunge
wachache
wa
upinzani wanasikilizwa. Sikumbuki vizuri kama
hakuna
wabunge
wa CCM waliotupiwa mayai mabovu. Watu
waliamua.
Wananchi
walizielewa hoja za CHADEMA na wakaziona ni
mtetezi
wao.
Hasira za wananchi zilijionyesha uchaguzi
uliofuata
2010.
Idadi ya wabunge wa upinzani iliongezeka; na
wanaojua
siri
za matokeo halali ya urais sina uhakika kama
wako huru
kusema ukweli na kuendelea kuwa huru.
Kipindi chote cha 2010 hadi 2015 ilidhihirika
kuwa hata
wahafidhina walioamini kuwa rais Tanzania lazima
atoke
CCM
walikuwa wamepungua na kuwa rais angeweza kutoka
nje ya
CCM
katika uchaguzi wa 2015 kwa mara ya kwanza.
Chama Cha
Mapinduzi kilishtuka. Yale mategemeo kuwa kila
mteule
wake
atashinda yalitoswa na kuamua kwenda na
mabadiliko.
Ndiyo
mabadiliko tunayoyaona sasa. Mabadiliko ambayo
kutokana
na
udhaifu wa Rais hayajaeleweka kwa wengi (Hili
nalo
naliandalia makala maalum).
Toka vyama vingi vya siasa vianze hapa nchini
tumeshuhudia
vyama vya siasa vikiibuka na kuzama. Tunakumbuka
jinsi
ambavyo NCCR Mageuzi kilivyotetemesha siasa za
vyama
vingi
1995. Mwaka ule ilibidi kutumia nguvu ya
akiba
kuhakikisha
CCM inashinda. Baadaye NCCR mageuzi iliyeyuka
na
kuishia.
Kikaibuka chama cha Wananchi-CUF. Hata kama
hakikufika
ilipofika NCCR Mageuzi lakini inafahamika kazi
yake
Bungeni
na mitaani. Vyama hivi kwa jinsi
vilivyodhoofika, CCM
haiwezi kujifanya takatifu. Kuna hisia baina
ya
watanzania
kuwa CCM imetumia hata vyombo vya dola
kudhoofisha nguvu
ya
vyama hivi. Nakubaliana na hisia hizo na
nilipendekeza
katiba mpya iliangalie hilo, (la taasisi moja
kudhoofisha
nyingine). Bado natafakari na sijaamini kuwa
mgogoro
unaoendelea ndani ya CUF ni njama za kupindisha
agenda
ya
CUF kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.
CHADEMA sasa inadhoofika. Udhaifu wake
unaonekana wazi
kwa
wanaotaka kuuona. Kitu kimoja tunachokubaliana
haraka
ni
hiki: CHADEMA haina inaloliongea linalohusu
wananchi.
Imejikita katika kutetea maslahi ya viongozi wa
chama,
na
kujitahidi kulumbana na uongozi (serikali)
uliopo
kazini
(madarakani). Huu ni udhaifu mkubwa sana. Lakini
ni
hujuma
kutoka wapi? Ni CCM inaihujumu CHADEMA? Ni
vizuri
kutoharakisha kujibu swali hili ila kwa hoja
makini.
Lakini ninataka kujielekeza mahala ninapoona
CHADEMA
imeanzia kuteleza. Toka 2010 mpaka muda mfupi
kabla ya
uchaguzi CHADEMA ilionekana kama chama chenye
raslimali
watu
wenye uwezo wa kuliongoza taifa. Kitendo cha
kujitokeza
kumchukua mgombea urais kutoka nje ya Chama
katika
uchaguzi
wa 2015; tena mgombea ambaye chama chenyewe
kiliwahi
kumshtaki kama mmoja wa mafisadi wakubwa. Na
sababu
hiyo
ikawa sababu ya CCM kumuendua. Sasa CHADEMA
kumchukua;
ilikuwa ishara kuwa chama hicho hakikiwa na
mtu
aliyestahili
kugombea urais. Kwa siasa za Tanzania hili ni
tatizo
kubwa
sana. Wakati uvumi ukipita kuwa CHADEMA
inaweza
kumtawaza
mtu nje ya wanachama wake kugombea urais
tulijitahidi
bila
mafanikio kuzuia janga hilo. Nakumbuka kuandika
mahala
kuwa
CHADEMA iliyoshindwa ikiwa imemsimika Dr. Slaa
itakuwa
imara
kuliko ile itakayoshindwa ikiwa imemsimika
mgombea
kutoka
CCM. Sijui viongozi walilewa nini?
Hawakusikia.
Katika kampeni za uchaguzi, watu walikuwa
wanakusanyika
kusikiliza sera. CHADEMA iliyokuwa imevuma
kwa
kuongelea
matatizo yanayogusa hisia za watu ilikosa
hicho.
Ikafika
mahala watu wakawa wanaangalia wingi wa watu
kwenye
mikutano
kuwa tumaini la ushindi, badala ya nini
kimeongelewa
kwenye
mikutano hiyo. CHADEMA ikashindwa. Kulikuwa na
hoja
zisemazo
kiongozi Fulani wa CHADEMA ameuza chama kwa
shilingi
bilioni
kumi. Badala ya kujibu hoja zikawa zinaachwa.
Hii
ikakigarimu chama kushindwa na kama kawaida
kuanza kelele
za
'nimeibiwa'.
Baada ya uchaguzi CHADEMA tuliyoizoea hatuioni
tena.
Busara
ya kujua watu wanataka nini na kusemea hilo
haionekani
tena.
Mikutano ambayo baadaye ilizuiliwa wala
haikulenga
kuongelea
wananchi wana shida gani. Bungeni mpaka
linaacha
kuonekana
live viongozi wetu walionekana kuikandia
serikali badala
ya
kuikosoa na kuisahoihisha. Wengine tukawa
tunauliza
kama
kuikashfu na kuishambulia serikali ni sehemu ya
kuishauri
na
kuisimamia? Mfano mmojawapo ni hali ya chakula
nchini.
CHADEMA inaona nchi itangaze janga na taifa
liombe msaada
wa
chakula baada ya ukame wa mwaka mmoja katika
sehemu za
taifa. Sudan Kusini ina myaka mitatu ya ukame
ndipo
inatangaza janga. Tanzania inao upungufu mkubwa
wa
chakula.
Kutokana na ukame. Mvua zinanyesha sehemu kubwa
ya nchi
hii.
Mvua hizi zinaweza kuwa chache. Serikali imesema
na
inahimiza watu walime mazao ya muda mfupi.
Upinzani
ulikuwa
na wajibu wa kuibana serikali kutoa mbegu.
Hii
ingeepusha
taifa kukabiliwa na njaa ambayo sasa haipo.
Haya. Kwa
sasa
viongozi Fulani wa CHADEMA wanaona fahari
kukamatwa na
Polisi na kuhojiwa. Matamshi yao ni wazi kuwa
wana
chuki
binafsi na watu Fulani ndani ya serikali. Kwa
herufi
kubwa
KAMWE HUU HAUWEZI KUWA NDIO UPINZANI.
Kama CHADEMA si mali ya mtu inatarajiwa kuwa
itakaa chini
na
kufanya tathmini. Mwisho wake tutaona
mabadiliko
makubwa
katika safu za uongozi wa chama hiki. Vingine
basi huu
ndio
mwisho wake. Hivi ni CCM kweli inahihujumu? Kama
jibu
ni
ndiyo basi ni ukaidi wa CHADEMA kukaidi ushauri
wetu
kutopokea wakimbizi. Nani anajua kama kati yao
kuna
waliotumwa kwa kazi maalum? Vinginevyo Mchawi wa
zamu hii
ni
njaa ya viongozi wake wakuu.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts
must be
presented
responsibly.
Your
continued membership
signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge
to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this
group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googleg
roups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment